Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Mange akisema kuna nyuzi zinasumbua kwenye muundo fulani,ana ambulia matusi ya uvccm tani kasoro ! Bora mmesema nyie,ili tufaidi wote tunaojiuliza bila kutambua tulipo na tunakoelekezwa.Asante sana mtoa Mada na wachangiaji,tutasaidika wengi, tulioelemewa na matendo,kauli,vituko,uonevu,dharau,kashfa,ubabe,matusi,mabavu toka kwa huyu mtu.mbarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Kwa hilo nitakukatalia hadi naingia kaburini hasa kwa awamu hiii,
Urais ni taasisi lakin ina kiongozi mkuu ambaye hana mpinzani akiwa huko hivyo nafasi itqbaki palepale kwamba kiongozi akiwa na mapungufu makubwa basi taasisi nzima imepwaya
 
CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Hahaha CCM iondoke madaraka kwa karatasi za kura!!!??? Hilo halita tokea hasa kwenye kiti cha urais
 
Uraisi sio kazi ndogo mkuu,... Si sawa kama wewe unaamka asubui unaenda chooni unarudi kulala,.. Being president requires sacrifices and great responsibility achane umasikin wa kufikiri nje ya mchezo,...Sit down niggahh!! Acha kuwashwa washwa,
 
Uraisi sio kazi ndogo mkuu,... Si sawa kama wewe unaamka asubui unaenda chooni unarudi kulala,.. Being president requires sacrifices and great responsibility achane umasikin wa kufikiri nje ya mchezo,...Sit down niggahh!! Acha kuwashwa washwa,
Sacrifice ya sacred Lissu!
Au sijakusoma vizuri katikati ya mistari yako!
 
tunampima kwa kazi nzuri anayo tufanyia watanzania ktk nyanja zote, Elimu bure hadi kidato cha nne imetekelezeka, ujenzi wa barabara, huduma za afya zimeimarika sana, urasimu umekwisha, ukusanyaji wa mapato umeongezeka mara dufu, uwajibikaji wa viongozi umeshuhudiwa kuliko wakati mwengine, udhibiti wa rasilimali zetu umesimamiwa kikamilifu, vitendo vya ufisadi vimedhibitiwa haswa hakunatmwanya. nk.
huo ni ushahidi tosha kuwa serikali hii iko makini na imara sana tena sana.
 
Maneno yanaumba wakati mwingine..nakumbuka tuliahidiwa kwamba tutalimia meno..au mmesahau? hah hah hah uvumilivu ndio msingi wa yote!
 
hii post aliandika kabla Trump hajashinda urais, lakin Trump aliposhinda huyu nyani kabadilika kwa hofu ya kufukuzwa US afu TZ ameshaharibu
 
Back
Top Bottom