Utabiri unakaribia kukamilikaNa kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Utabiri unakaribia kukamilika[/QUOT
Mwanzisha thread anaomba Mungu hizi post zifutwe maana hivi sasa ni Mwanakijiji no 2
Anapayuka sana ...Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
---
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa rais wetu huyu, mheshimiwa mtukufu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli si kiongozi mzuri hata kidogo, hususan katika ngazi ya urais.
Hilo nimekuwa nikilisema kwa muda mrefu sasa. Nakumbuka hata ile siku alipoteuliwa kuipeperusha bendera ya CCM nilisema hivyo humu humu JF.
Kwa kiasi fulani namkubali kwenye usimamizi lakini si kwenye uongozi. Hana kabisa haiba ya kiuongozi. Pia hana sifa za kuweza kuwa kiongozi mzuri.
Ni mtu mwenye jazba. Ana jeuri. Mwenye kuongea bila kufikiria athari za maneno yake[nyakati zingine]. Wengine wanasema eti kuwa hashauriki. Kwa ufupi ni mengi sana yanasemwa juu yake kiasi kwamba mengine ni vigumu kwa watu wa mbali kama sisi kujua kama ni ya kweli au la. Hivyo kwa sisi wa mbali tunaenda na yale tuyaonayo na tuyasikiayo toka kwake yeye mwenyewe.
Sasa kwa jinsi vile mambo yanavyoenda sasa hivi kuna kila dalili huenda nchi imeshamshinda kuiongoza. Hivyo ndivyo niuonavyo mwelekeo.
Hata ndani ya chama chake ukiangalia vizuri utaona nyuso nyingi tu za manung'uniko toka kwa wakereketwa. Wengi wao siku hizi wanashindwa hata kumtetea. Wapo kimyaaaa utadhani wagonjwa. CCM hawana furaha kabisa.
Naamini asipojiangalia na kujifanyia tathmini basi hiyo kazi itamshinda kabla hata hajafikia nusu ya muhula wa hii miaka mitano.
Niliwahi kuandika kuhusu 'a police state'. Jikumbushe....
A Police State

Hili liNyani Ngabu liko wapi lije lisome uzi wake hapa!!! Sasa siku jinsi anavyojinasibu kumpenda JPM!!! Ama kweli njaa haijawahi kumuacha Mtu salama.
Ooh...Unasema maadui wa Magufuri ni wengi wakiwemo CHADEMA, je!! Nawewe sio adui yake ? unajua we Ni mnafiki sana,, unajipendekeza sasaivi ili wasije kukunyakua hapo kwenu tandale, maana sasaivi upo TZ
Unasema maadui wa Magufuri ni wengi wakiwemo CHADEMA, je!! Nawewe sio adui yake ? unajua we Ni mnafiki sana,, unajipendekeza sasaivi ili wasije kukunyakua hapo kwenu tandale, maana sasaivi upo TZ
Nikuone me nipo huko kwa dikteta kwani? njo Mogadishu hukuNipo Tanzania sasa hivi? Umeniona?
Nikuone me nipo huko kwa dikteta kwani? njo Mogadishu huku
Wametia pamba maskio,wanadhani kuwa rais ni sawa na kuongoza saccoss,rais haropoki hata akiropoka bas kuna mantiki ya uropokaji.info ni nyingiNyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Uwe wapi we masikini wa akili NA kipato,,Shut your mouth then.
You don’t know where I am.
Ni tajiri wa laana huyuUwe wapi we masikini wa akili NA kipato,,
HahahahHuyu ndo raisi wetu wa milele. tutamuomba awe raisi wa maisha kama Nkurunziza wa Burundi.
Njaa inakuonesha dhahiri uko wapi, tulia uzisome namba kwa kirumi.Shut your mouth then.
You don’t know where I am.
Njaa huwa haina baunsa wala kificho.Akili ndogo hamna uwezo wa kunielewa!