Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mbwembwe zote zile za kuhamia dodoma kumbe jamaa anahamia 2020.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Sasa sijui kulikuwa na ulazima gani wa kuhangaisha watu kiasi kile?