Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,178
- 143,982
- Thread starter
-
- #541
Subiri spin doctors kutoka mtaa wa lumumba waonyeshe mafanikio makubwa kabisa ya kihistoria ya raisi huyu ambaye taifa hili lilimhitaji kwa miaka mingi 😀😀😀
Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadiMagufuli ni adui wa maendeleo!
Hafai kabisa kuwa rais.
Mkuu pole sana kwa kuchelewa kulijua hili,wakati ule tulipokuwa tunapiga kelele ulitukebehi sana. Ila nakupongeza kwa ujasiri wako huu.Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu rasi Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.
Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
unadhani kila mtu CHADEMA?Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadi
yo right meenExposure ni muhimu sana
Endelea hivyo. Mtasugua sana safari hiiMafanikio ya kufyatua watoto?
Hahaaa jamaa ni bomu sijapata kuona!
Heri mimi sijasemaBusara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu MTUKUFU rais Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.
Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadi
Atatafutwa huko huko aliko. Asijifanye hajulikaniBahati yako umejificha huko ughaibuni, ungekuwa bongo kesho mapeema ungeswagwa kisutu.
Well said bro.Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu MTUKUFU rais Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.
Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
wananchi wa wapi?Mkuu, hii sentensi yako ndio mambo ambayo Wananchi walimpa kura ili ayatekeleze?
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Heshimu mamlaka iliyopo kwani kila mamlaka imewekwa na Mungu.Sheria ya mtandao itakutafuna....! Ngoja ...!
so kweli...hujui kuwa shetani naye ana mamlaka?Heshimu mamlaka iliyopo kwani kila mamlaka imewekwa na Mungu.