Wakati Anne Garia Mwenyekiti wa UVCCM anateuliwa kuwa Mbunge wa CHADEMA tena siku hiyo akiwa ofisini wakiandaa party ya kumpongeza Mbunge wa CCM kwa kuipokonya kiti CHADEMA Mbulu alikuwepo Dr Slaa madarakani?Umeruka hoja, Dk Slaa ni tatizo zaidi!
Kikubwa zaidi after election..that was a big miscalculation by Freeman Mbowe.
..cdm ilikuwa inataka kwenda ikulu kwa njia ya mkato.
..hata Dr.Slaa naye alikuwa na matatizo yake. Mojawapo ni kutoshaurika. He did a lot of good for the party though.
..lingine chama kinatakiwa kiwe na mwanachama zaidi ya mmoja mwenye sifa na anayekubalika kugombea uraisi.
..pia tulijielekeza mno kwenye Uraisi tukasahau ubunge. Hapa uongozi wote unapaswa kubeba lawama.
..pia hoja zetu ni za kuokoteza-okoteza. Kitengo cha UTAFITI na SERA, pamoja na kitengo cha HABARI vinahusika.
Hiv kuna mwana Lumumba alishawah kuiona chadema iko imara. Au unatafuta stail ya kualalisha hoja yako.CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Mm sio mwana LumumbaHiv kuna mwana Lumumba alishawah kuiona chadema iko imara. Au unatafuta stail ya kualalisha hoja yako.
Makonda yupo bado kwenye futar
wewe ndio umeshindwa kutoa tafsiri nzuri yakinachoendelea #HAPA KAZI TUHivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
kumbe kuna wanao nunuliwa washangilie kipindi hiki cha kubana matumizi? hayo yatakua MapovuShangwe zakununuliza izo nazo niza kujisifia?
Je unamjua mteuliwa wa CCM wa nafasi ya urais na baada ya kusimikwa hapo ambaye hajamaliza 5? au 10?
Kwa tume ipi ya uchaguzi? Ya Kivuitu?
Uchaguzi mkuu Tz ni changa la macho tu. Wenyewe wanateuana, kusimikana na kupokezana kijiti tu.
Malafyale, tukubaliane kutokukubaliana. Mimi sina kadi ya chama chochote cha siasa hivyo huwa sifuati mihemko ya wanasiasa wala vyama. Ukiniuliza leo kuhusu Dk Slaa jibu langu ni moja-kwamba ni miongoni mwa wanasiasa walioshamirisha siasa za upinzani lakini akaja kuharibu sana alipotumia mbinu chafu kuondoka Chadema. Zoezi la kuondoka kwake Chadema lilimwondolea heshima aliyokuwa nayo!Wakati Anne Garia Mwenyekiti wa UVCCM anateuliwa kuwa Mbunge wa CHADEMA tena siku hiyo akiwa ofisini wakiandaa party ya kumpongeza Mbunge wa CCM kwa kuipokonya kiti CHADEMA Mbulu alikuwepo Dr Slaa madarakani?
CHADEMA ilipo iruka slogan yake iliyowapa maarufu ya MAFISADI alikuwepo Dr Slaa madarakani?
CHADEMA inayopokea mabilion kwa mwaka lkn ikashindwa kuleta hata senti Kyela kumtoa Dr Mwakyembe alikuwepo Dr Slaa?
MkuuMalafyale, tukubaliane kutokukubaliana. Mimi sina kadi ya chama chochote cha siasa hivyo huwa sifuati mihemko ya wanasiasa wala vyama. Ukiniuliza leo kuhusu Dk Slaa jibu langu ni moja-kwamba ni miongoni mwa wanasiasa walioshamirisha siasa za upinzani lakini akaja kuharibu sana alipotumia mbinu chafu kuondoka Chadema. Zoezi la kuondoka kwake Chadema lilimwondolea heshima aliyokuwa nayo!
Rafiki yangu Malafyale, unaweza kuthibitisha hayo? Kweli? Bado mimi naona hapo ndipo Dk Slaa alitakiwa ajitofautishe kwa kuachana na Chadema kwa ustaraabu kuliko kujaribu kuibomoa!Mkuu
Aliondoka kwa hasira baada ya Mbowe,Lissu na Msigwa kuvuta mpunga kutoka upande ule kumfukuza Dr Slaa!Watu watatu tu ndiyo walikutana kumfukuza Dr Slaa
Na yy Dr Slaa akaamua sababu wao wamemwaga mboga na yy akaondoka na ugali!
Mkuu kwa hiyo Lowassa alikaribishwa bure tu CHADEMA?Chama kilitoa bei gani kumpa Lowassa za kampeni?Rafiki yangu Malafyale, unaweza kuthibitisha hayo? Kweli? Bado mimi naona hapo ndipo Dk Slaa alitakiwa ajitofautishe kwa kuachana na Chadema kwa ustaraabu kuliko kujaribu kuibomoa!
Heshima gani unayoizungumzia?mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,