Sasa kama ni binadam na anakosea ni Kwa nini akatae kukosolewa?na nyie wanafiki wake Kwa nini mnashangilia hata akikosea?Sasa mbona unauliza na kujijibu mwenyewe? Kwani ulitegemea yawe mazuri kwa 100% ? Hata yeye Raisi Magufuli si ni binadamu tu kama wengine ambaye pia hufanya mazuri na pengine hukosea pia kama mimi na wewe tulivyo?
Kukua ni kuimarika pia. Chadema ime undergo certain growth in terms of population, votes and constituencies. Meli imeelea na kusonga mbele katika mawimbi mazito. mashambulizi ni mengi hasa kutoka Kwa watu ambao hawaamini katika demokrasia bayana. kani makabala has beeen too strong everywhere. Kilichobaki si mikakati pekee bali ni uelewa wa watu wote kuhusu demokrasia ya kweli. Pale tutakapoelewa wote na kukubali kuwa tanzania ni ya vyama vingi and any party ca lead basi kila kitu kitakuwa sawa.CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Badala ya kulia trekta tulimie meno ni hatari mno, pia tutaishi kama mashetani, sijui huwa yanàishi vipi?Mwenyewe kasema tutalimia meno. Watu wakafikiri anatania.
???Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Rais anaropoka kupita Mzaramo aliyenyimwa togwa ngoma ya Cholesamvula.Badala ya kulia trekta tulimie meno ni hatari mno, pia tutaishi kama mashetani, sijui huwa yanàishi vipi?
Mbona lowassa alikimbia mdaharoNimependa maoni yako.
Kweli Magufuli si kiongozi. Hana sifa za ukiongozi. Anafaa tu kuwa mtendaji, basi.
Hapo kwenye midahalo ni pazuri sana. Midahalo huwa ina faida nyingi sana.
Good mkuu,Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
na huwa tunawaonea bure Wazaramo aisee kumbe hata wa ziwani wana mipasho na wapiga dongo hatari.Rais anaropoka kupita Mzaramo aliyenyimwa togwa ngoma ya Cholesamvula.
Mbona lowassa alikimbia mdaharo
Nadhani mkuu hatakiwi apewe microphone kwan akipewa tu yeye hufikiri kutisha watu na matamko yasiyona tija kwa taifa. Kuna kitu nimekinotice, nafikiri mawaziri wake wameshamjua ndio maana wengi wako kimya sio kama walivyoanza.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Huyu jamaa katuaibisha sana Wasukuma. Sitaki kuwa mkabila, nasema tu kwa sababu kabila ni identity kubwa Afrika.na huwa tunawaonea bure Wazaramo aisee kumbe hata wa ziwani wana mipasho na wapiga dongo hatari.
TunajutaaaaNilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Wewe ni muongo nani kakutuma kutusemea? Tumuache Raisi afanye kazi yake punguzeni maneno ya umbeaUkipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Kwa mawazo yako unafikiri Uraisi ni kuzungusha mikonoNilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Goma mbona ndo kwanza linaanza hata mwaka halijamaliza.Tunajutaaaa
Usisahau pia kuwa Rais ana uwezo wa kulivunja bunge. Hii ndio sheria yetu. Inaonekana hapo atakayemuwahi mwenzie ndiye atakayefanikiwa.Bunge linaweza mfukuza kazi Rais
Lkn Bunge hili la TZ ambalo Rais anaogopwa hata kuhojiwa kwa kauli zake za hovyo kama hizi?
Ukiona hawana raha jua walizoea ujanja ujanja makaziniI agree with you. Hata wafanyakazi wengi wa umma hawana furaha na staili hii ya Magu. Na hili la kuhamia Idodomya fasta ndio usiseme.