Tabia haina dawa alishasema kauli za ajabu ajabu toka enzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu Ben huyu mzee wa push up sasa katoka kitambi sijui kama ataziweza tena.Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Mkuu Benjamin huogopi kuitwa na policcm kuhojiwa?lolNa kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Mzee hafikirii kama kuna watu wameshawekeza maisha yao Dar sasa hafla anataka wahamie dodoma. Sijui wangapi watawacha kazi na wangapi watakwenda dodomaI agree with you. Hata wafanyakazi wengi wa umma hawana furaha na staili hii ya Magu. Na hili la kuhamia Idodomya fasta ndio usiseme.
Mimi nineondoka Tanzania Tangu mwaka 1999. Na sijanufaika na utawala wa Kikwete. Na naona mabaya ya Magufuli.Naongelea uwanja wote, ambao rais anaruhusiwa kucheza! Magufuli ana mapungufu lakini Kikwete alikuwa ni zaidi. BTW wanaopiga kelele Tanzania sasa hivi kumlaumu Magufuli ni wale watu waliokuwa wanafaidika na mfumo dhaifu wa Kikwete. Watu wa kawaida maisha bado ya yale yale na hakuna kilicho badilika.
BTW mimi sikubali kabisa kabis kwamba Kikwete alikuwa anaheshimu demokrasia. Kikwete hakuheshimu demokrasia ila alikuwa legelege na anaachia mambo yajiendee. Hiyo sio demokrasia!Obviously Heisenberg's Uncertainty Pronciple hujaifahamu ama hujaelewa inaenda mpaka kwenye kukinganisha marais.
Ni hivi, jinsi inavyozidi kuwa general ndivyo unavyozidi kuwa inaccurate. Ndiyo unavyozidisha margin of error.
Ili kuwa accurate zaidi inabidi uwe soecific zaidi.
Kwa mfano, Kikwete kampita sana Magufuli kwenye kuheshimu demokrasia na uhuru wa habari.
Magufuli anaweza kuwa kampita Kikwete kwenye kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma na kukusanya kodi.
Watu wasio na uhuru wa demokrasia hata kuwa na nidhamu yabkweli ni shida. Hivyo Magufuli anaweza juwa anaendesha nchi kwa kutia watu woga zaidi.
Hapo utapimaje nani zaidi ya mwenzake bika kutaja specifics?
Kaaa kimya boss au utafute supportive doc za multiplier effect... zinaongelewa effects na syo unavyodhani.
Swala siyo kuhamia Dodoma ila hiyo bajeti kaitoa wapi?anakurupuka kama kwamba tayari fedha ilisha pangwa na miundo mbinu yote muhimu tayari kaazi ipo.Mzee wa kukurupuka hafikirii kama kuna watu wameshawekeza maisha yao Dar sasa hafla anataka wahamie dodoma. Sijui wangapi watawacha kazi na wangapi watakwenda dodoma
That sounds like a careless whisper, slow down mkuu...Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Mimi sikusema Magufuli hana mabaya. Na sipingi watu kuona mabaya yake kwani hata mimi nayaona tena ni mengi tu! Ninachosema ni kuwa wengi wa wanaopiga kelele sasa wakati wa Kikwete (ambao alikuwa mbovu mara milioni moja kuliko) walikuwa kimya lakini sasa wanapiga kelele. Kulikoni?Mimi nineondoka Tanzania Tangubmwaka 1999. Na sijanufaika nanutawala wa Kikwete. Na naona mabaya ya Magufuli.
Utasemaje wanaoona mabaya ya Magufuli ni wale waliofaidika na utawala wa Kikwete?
Aliyekataa kuiba kwa sababu ni mwoga na legelege na aliyekataa kuiba kwa sababu anaheshimu haki kwangu mimi hakimu naona wote wawili wamekataa kuiba na nikiulizwa huyu kaiba au hajaiba nitasema hajaiba.BTW mimi sikubali kabisa kabis kwamba Kikwete alikuwa anaheshimu demokrasia. Kikwete hakuheshimu demokrasia ila alikuwa legelege na anaachia mambo yajiendee. Hiyo sio demokrasia!
Kauli zake hizi Dr Rais Magufuli tumuiteje?
Usiogope wewe
Beleshi iitwe Beleshi wala sio Kijiko kikubwa
"Mikutano ya kisiasa hadi 2020"
Lkn yy anafanya mikutano
DIKTETA UCHWARA huyu
Mimi sikusema Magufuli hana mabaya. Na sipingi watu kuona mabaya yake kwani hata mimi nayaona tena ni mengi tu! Ninachosema ni kuwa wengi wa wanaopiga kelele sasa wakati wa Kikwete (ambao alikuwa mbovu mara milioni moja kuliko) walikuwa kimya lakini sasa wanapiga kelele. Kulikoni?
Silaha zake kuu ni hizo...sasa ana sababu gani ya kujifanya anajali mwelekeo Wa nchi...?Laiti kama tungekuwa na chaguzi huru na haki
laiti kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi....
na vingekuwepo hivyo vyote hata yeye asinge endesha mambo hivi
angekumbuka wapiga kura wanamsubiri 2020...
right now hata tufanyaje....atabaki Rais hadi 2025 unless itokee 'intervention'
Wengi kina nani?Mimi sikusema Magufuli hana mabaya. Na sipingi watu kuona mabaya yake kwani hata mimi nayaona tena ni mengi tu! Ninachosema ni kuwa wengi wa wanaopiga kelele sasa wakati wa Kikwete (ambao alikuwa mbovu mara milioni moja kuliko) walikuwa kimya lakini sasa wanapiga kelele. Kulikoni?
Mlimtaka wewe na nani? Ulifanya utafiti? Tupia hapo basi...watanzania tulitaka rais wa aina ya magufuli, tulitaka rais ambaye ana maamuzi magumu, mwenye kutoa amri na kusimamia anachokiamini,ndiye huyu sasa tumempata! M ungu alisikiliza sala zetu! wewe na vulijimaswali lako kama ulishatumbuliwa au ndugu zako wa karibu wamekubwa pole sana!..mimi niko na magufuli 100% hapa kazi tu! kaandamane uone cha mtema kuni!
Astaghafillulah !Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani