K Kamundu Platinum Member Nov 22, 2006 6,609 8,753 Feb 14, 2021 #101 johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine... Click to expand... Imekuwaje tena mbona wacheleweahaji walikuwa Chadema na upinzani ππ
johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine... Click to expand... Imekuwaje tena mbona wacheleweahaji walikuwa Chadema na upinzani ππ
Mromboo JF-Expert Member Jan 25, 2012 2,928 6,467 Feb 16, 2021 #102 Mamndenyi said: Acha awasukume, Yule mama wa elimu kachoka acha. Na bado. Ugonjwa tujikinge wenyewe haki hamna namna. Click to expand... Nayeye kachoka tena Mamndenyi ?
Mamndenyi said: Acha awasukume, Yule mama wa elimu kachoka acha. Na bado. Ugonjwa tujikinge wenyewe haki hamna namna. Click to expand... Nayeye kachoka tena Mamndenyi ?
M MANILABHONA JF-Expert Member Apr 1, 2015 462 348 Feb 22, 2021 #103 peno hasegawa said: Unataka kugusa Nyati sehemu za siri sasa Click to expand... Ukiona hivyo ujue watu wamekuchoka jirekebishe vinginevyo watakurekebisha wao
peno hasegawa said: Unataka kugusa Nyati sehemu za siri sasa Click to expand... Ukiona hivyo ujue watu wamekuchoka jirekebishe vinginevyo watakurekebisha wao
fimboyaasali JF-Expert Member Jan 14, 2011 8,416 7,969 Feb 22, 2021 #104 johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.... Click to expand... Aache vitisho
johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.... Click to expand... Aache vitisho
Said Cosmetics JF-Expert Member Sep 4, 2017 2,001 1,586 Feb 22, 2021 #105 kichomiz said: Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatu Click to expand...
kichomiz said: Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatu Click to expand...