Rais Magufuli, vipi ndoto ya kuzikopesha nchi nyingine duniani imeishia wapi?

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,527
Salaam!

Ni moja ya Kauli alizotumia kwenye Kampeni zake kuwa Tanzania siyo ya Kulia lia na Misaada maaana ina pesa ya Kutosha. Lakini ajabu deni la Taifa linazidi kupaa na mpaka sasa Serikali inahangaika Kukopa tena takribani 2Trillion kwaajili ya Ku Finance Bajeti ya Nchi 2016/2017.

Je, Mh Rais Kunani tena, Kauli na imani hiyo imefia wapi?
Pili, Je, tuendelee kuziamini kauli zako nzito kama hizi?
Na tatu, Je, Kweli Nchi yetu kwenye Utawala wako wa awamu ya 5 unaamini Tanzania itakuja Kuwakopesha Nchi zingine kama Ulivyotuaminisha?
 
tumejitosheleza kiuchumi?
 
Back
Top Bottom