black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,146
- 1,227
Tunaendelea na ujenzi wa miundombinu iliyobomolewa na tetemeko kama shule na hospitali, tumetoa mabati thelathini na mifuko kadhaa ya cement kwa wananchi wawili tofauti waliothubutu kujenga nyumba zao bila kuisubiria serikali, tumefungua akaunti ya mfuko wa maafa ya Kagera, nkNikuulize wewe niambie misaada ipi?