Ni kweli mkuu Marais wengi wa Afrika walinzi wasioonekana huwa wengi zaidi ya wale wanaoonekana live , mila na desturi huzingatiwa zaidi.Raisi hulindwa na walinzi wanaoonekana na wasioonekana.Wasioonekana ni wengi kuliko wanaoonekana.Hapa naona wengi wanaongelea tu ulinzi unaoonekana!!!!!
Wataanza na NSSF kisha NHC na kuendelea mpaka Wizara zote pesa zote zilizoibiwa zitarejeshwa na Safari hii Serikali itapata nyumba nyingi za kutaifisha toka Kwa Mafisadi huenda watumishi wa umma wakarejea Oyesterbay na Masaki Kwa style ingine kabsa,Magufuli anawatesa kila mtu kwa moja kwa moja au indirect..... mambo mtaani magumu .... biashara haziend... mzigo hautoki kama zamani dukani... ni miez sita tu kashika hatamu na mambo yashaanza kuzingua.
wadhamini wetu washaanza kusepa, bandarini shughuli za kibiashara zinashuka kwa asilimia kubwa tu....
niko nje ya mada lakini Rais wangu inabidi aangalie vizuri kuhusu kupunguza government expenditure kuna athali gani kwa sekta binafsi
Teknolojia ya kiafrika iko juu kuliko hiyo teknolojia ya wazungu kwenye maswala ya ulinzi hasa wa binafsi.mleta mada yupo sahihi wanavamiwa france ukiona wale makomandoo na teknologia walionayo still inakua shida kuzuia uhalifu wa kiwango cha juu..
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
Vipi zile pen zao za kupigia kura kwenye uchaguzi wa Meyas!!Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.
Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.
Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?
CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Ni kweli mkuu ndiyo maana Afrika Mizimu huwekewa Mbele zaidi , mfano Kwa Sasa kule misituni kuna Koboko Kama 1000 wapo wanalinda akikatiza mwenye nia mbaya anagongwa kimya kimya anapotea , Mizimu imeimarisha Ulunzi usioonekana Kwa speed ya radi .mleta mada yupo sahihi wanavamiwa france ukiona wale makomandoo na teknologia walionayo still inakua shida kuzuia uhalifu wa kiwango cha juu..dunia haipo salama sana Mh. tunakupenda badili na hayo magari pis sio salama kuriko ndege ni mbingu na ardhi..
Umeshaanza story za vijiweni!!Mkuu nenda kajaribu kujificha kichakani na propela lako kesho uje utupe mrejesho! kama kabla ya kutoka nyumban kwako ushakalishwa chini ya ulinzi
msituni atafika lakini atakutana na walinzi wasioonekana Yaani koboko watazaa nae Kwa kasi ya ajabu .Mkuu nenda kajaribu kujificha kichakani na propela lako kesho uje utupe mrejesho! kama kabla ya kutoka nyumban kwako ushakalishwa chini ya ulinzi
Walinzi hawateseki, hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea, tofauti na unavyofikiri, wanafurahia kazi yaoTabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
yehodaya nazungumzia ulinzi wa rais sio wako huo wa kuchanjiwa usilogwe harafu unakufa kwa kipindupindu au malaria..
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?
Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.
Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.
Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?
Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
duuh! we jamaa haufai!! hapo mwishoni umenivunja mbavu kinyama!Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.