ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 8,046
- 2,931
Unatumia vizuri masaburi yako kufikiriKwa taarifa yako, kupambana na upinzani uchwara ni hatua muhimu sana katika kuiletea maendeleo ya kweli hii nchi...
Unatumia vizuri masaburi yako kufikiriKwa taarifa yako, kupambana na upinzani uchwara ni hatua muhimu sana katika kuiletea maendeleo ya kweli hii nchi...
kachanganyikiwa na lazima arudishe nyumba za serikali alizohonga
swissme
Tumechoshwa Na wazee wa lumumbaMaandamano ya Mbowe ndio yanaleta maendeleo. Hivi nyinyi vijana wa Ufipa street mkoje lakini?
tunajenga uwanja wa ndege chato kwanza..Hapa hofuu tuuu,viwanda vingapi vimejengwa?mwaka umekatika almost
Tunaisubiri million 50 ya kuleta maendeleo lakini hatuioni kiazi wewe.Maandamano ya Mbowe ndio yanaleta maendeleo. Hivi nyinyi vijana wa Ufipa street mkoje lakini?
Umepotea, labda tafuta mfano mwingine. Huo, hapana. Tenga muda, tafari na utagundua Tanzania ni nchi inayokua kwa kasi ikiongozwa na dhamira na dhamiri za maendeleo. Kama umekalia majungu! Ndg yatakushinda utabaki unalialia tu bila sababu, maana hujitambui.Sera ya awamu hii chama mbele, kupambana na upinzani, maendeleo hayana umuhimu wowote ule, plus kumkamua ng'ombe aliyrkonda hadi damu. Had miaka mitano iishe, uchumi utakuwa ka wa Zimbabwe.
tunajenga uwanja wa ndege chato kwanza..
ili mkatalii mila za kisukuma.
Kama umechoka si uende ukalale?Tumechoshwa Na wazee wa lumumba
Labda kiazi ni baba yako.Tunaisubiri million 50 ya kuleta maendeleo lakini hatuioni kiazi wewe.
Current exchange rate ni $1 = Tsh. 2300??? Phew...!!!Exchange rate USD/TZS:
Jan.2015 ilikuwa 1700,
July,2015 ilikuwa 1900,
Oct.2015 ilikuwa 2000,
Current rate ni 2300.
Ni kweli shilingi imekuwa stable tangu Feb mwaka huu lakini kwa nchi zetu zenye uchumi wa kuning'inia ukiyumba kidogo tu itaporomoka ajabu.
To cut the long story short tuambie wewe rate ya leo ni ngapi, halafu huo muda mrefu hauna kipimo,Current exchange rate ni $1 = Tsh. 2300??? Phew...!!!
Ndugu yangu, andika bila kukuza mambo. Angalia tena exchange rate, lakini pia nikuambie tu kuwa imekuwa stable kwa muda mrefu sasa.