kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Habari ndugu zangu kuna jambo nimeona nilisemee mapema hasa kipind hiki ambacho Serikali imesema inajiandaa kumwaga ajira nyingi kwa vijana, kuna tangazo la Ajira nimeona limetolewa na TANAPA na kutangazwa na utumishi hili suala la kuweka umri ni ubabaishaji na udhulumaji wa kiwango cha juu, Serikali ambayo ndani ya miaka 5 hawajatangaza ajira kwa vijana wao unakuja kutoa ajira unaanza kutoa masharti ya umri kama sio uonevu ni nini
Nitoe mfano mdogo kuna mwanachuo yeyote alimaliza mfano 2015 akiwa na umri Wa miaka 26, 27, au 28 maana mfumo wetu wa elimu miaka ya nyuma inaeleweka watu waliingia na umri Mkubwa . Leo hii aje kukosa ajira kisa haya masharti yenu ya hovyo hovyo yasiyo na muhimu.
. (kwanini wasiweze limit ile kisheria ya 35 mwisho) ili kuwapa nafasi kubwa wanachuo wengi kunufaika na hizo ajira.
Bora ingekuwa mnaweka haya masharti mtaani sekta binafsi inafanya vizuri kwa kuajili wengi sasa sekta binafsi hakuna ajira ,wala hakuna fursa za biashara kusema watu wanaweza kujiajili au kupata mikopo ya kuweza kujiajili na kuweza kufanya maisha .
Jambo hili liangalieni kwa umakini Sana inawezekana Raisi Magufuli Ana lengo nzuri kuajili watu wengi ila kukawa na kundi la watu wanafanya mambo ya kumfitinisha na wananchi ili aonekane hajatoa ajira nyingi kwa wananchi wake (kwa Hili la umri wengi watakosa ajira hata Kama sifa wanazo)
Naomba wasaidizi wake Mheshimiwa Raisi wamfikishie ujumbe huu ili kuondoa hii fitina mbaya kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka huu sasa maadui wasiotaka kuona Rais aonekane ametoa ajira nyingi kwa vijana wameamua kuja na hili la kuweka umri na nina imani kila ombi la ajira za Serikali hiki kipengele kitakuwepo , mwisho wake ataonekana hajatoa ajira kwa wananchi wakati nafasi za ajira zilikuwepo nyingi tu na hao maadui watajaza watu wao wanaojua wao tu. Tunaomba hiki kipengele kitoeni fasta .
Watu Wa utumishi acheni kumfitisha Raisi wetu . tunahitaji vijana wengi waje kumchagua kipenzi hiki cha watanzania.
Mwisho niseme nikiwa Kama mwana CCM nina haki ya kusema ukweli hasa nikiona kuna mambo hayapo sawa.