Rais Magufuli unafanyiwa fitina na Utumishi

Kweli wewe ni JUHA kabisa kwani wenye 35 miaka ni wajinga ?? Ujuzi unajengwa mahala husika
Kwani wewe ulizaliwa unajua

Acha ubaguzi na wivu
Sipendi matumizi ya hili neno humu ila sina namna USIKURUPEKE/KUKURUPUKA
.
Miaka 35 ama 33 uajiriwe kwenye idara ya auditing kwa mfano kuna mwenzako toka ana 27 mwingine 25 yupo pale utaongeza kitu gani au ufanisi gani ofisini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo Chibu na Ostaz Samapa (ni ex-standard 7) wanaingiza npunga wa maana huku msomi wa Digriii unalilia ajira. Komaa dogo..
 
Habari ndugu zangu kuna jambo nimeona nilisemee mapema hasa kipind hiki ambacho Serikali imesema inajiandaa kumwaga ajira nyingi kwa vijana, kuna tangazo la Ajira nimeona limetolewa na TANAPA na kutangazwa na utumishi hili suala la kuweka umri ni ubabaishaji na udhulumaji wa kiwango cha juu, Serikali ambayo ndani ya miaka 5 hawajatangaza ajira kwa vijana wao unakuja kutoa ajira unaanza kutoa masharti ya umri kama sio uonevu ni nini

Nitoe mfano mdogo kuna mwanachuo yeyote alimaliza mfano 2015 akiwa na umri Wa miaka 26, 27, au 28 maana mfumo wetu wa elimu miaka ya nyuma inaeleweka watu waliingia na umri Mkubwa . Leo hii aje kukosa ajira kisa haya masharti yenu ya hovyo hovyo yasiyo na muhimu.
. (kwanini wasiweze limit ile kisheria ya 35 mwisho) ili kuwapa nafasi kubwa wanachuo wengi kunufaika na hizo ajira.

Bora ingekuwa mnaweka haya masharti mtaani sekta binafsi inafanya vizuri kwa kuajili wengi sasa sekta binafsi hakuna ajira ,wala hakuna fursa za biashara kusema watu wanaweza kujiajili au kupata mikopo ya kuweza kujiajili na kuweza kufanya maisha .

Jambo hili liangalieni kwa umakini Sana inawezekana Raisi Magufuli Ana lengo nzuri kuajili watu wengi ila kukawa na kundi la watu wanafanya mambo ya kumfitinisha na wananchi ili aonekane hajatoa ajira nyingi kwa wananchi wake (kwa Hili la umri wengi watakosa ajira hata Kama sifa wanazo)

Naomba wasaidizi wake Mheshimiwa Raisi wamfikishie ujumbe huu ili kuondoa hii fitina mbaya kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka huu sasa maadui wasiotaka kuona Rais aonekane ametoa ajira nyingi kwa vijana wameamua kuja na hili la kuweka umri na nina imani kila ombi la ajira za Serikali hiki kipengele kitakuwepo , mwisho wake ataonekana hajatoa ajira kwa wananchi wakati nafasi za ajira zilikuwepo nyingi tu na hao maadui watajaza watu wao wanaojua wao tu. Tunaomba hiki kipengele kitoeni fasta .

Watu Wa utumishi acheni kumfitisha Raisi wetu . tunahitaji vijana wengi waje kumchagua kipenzi hiki cha watanzania.

Mwisho niseme nikiwa Kama mwana CCM nina haki ya kusema ukweli hasa nikiona kuna mambo hayapo sawa.

View attachment 1326609View attachment 1326609View attachment 1326610
Sijui akili na mawazo haya yanatoka wapi.Kila kitu wanatupiwa lawama "wengine"wenye nia mbaya,wanamfitinisha" rais na upuuzi mwingine! Kauli ya kupuuza watumishi,kufanya watu waishi kama mashetani,anayeona mshahara hautoshi aache kazi na nyinginezo kede kede si zake? Iweje mambo yanapokuwa tofauti watupiwe wengine "zigo" la lawama?Uchumi kavuruga yeye,wateule anateua yeye kwa vigezo vya kwake! Akilikoroga alinywe!
Sharti la umri halijaanza leo,hata enzi ya Mwl. lilikuwepo.
 
Kwa uelewa wangu, ukizungumza kwa ujumla, umri wa kuajiriwa serikalini ni miaka 45 na sio zaidi. Sababu hasa za umri huo ni kulingana na sheria za pensheni. Hii inamaana, ukiajiriwa na miaka 45 utafanya kazi kwa muda wa miaka 15 hivyo kukufanya uwe na sifa za kupata pensheni.

Ikiwa zaidi ya 45 haiwezekani kwa sababu ni takwa la kisheria kuwa ili uwe na sifa za kupata pensheni lazima uwe umechangia kwa muda wa miaka isiyopungua 15. Watumishi wote wa serikali ni lazima wakatwe mshahara kuchangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Ni takwa la kisheria.

Hivyo basi, kama kuna umri uliowekwa kinyume na miaka 45 inayofahamika basi kutakua na shida au huo tunaweza kusema ni ubaguzi wa kiumri.

Japo, kuna mazingira ambayo nafasi za kazi huwa zinahitaji candidates wenye umri mdogo kama ilivyo polisi, jeshi n.k
 
Kweli wewe ni JUHA kabisa kwani wenye 35 miaka ni wajinga ?? Ujuzi unajengwa mahala husika
Kwani wewe ulizaliwa unajua

Acha ubaguzi na wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Juha wewe Zuzu.
Wenye miaka 35 hawahitajiki serikalini kuna damu changa mtaani na zinazomaliza vyuo ambazo zitaifanyia kazi serikali kwa muda mrefu na kwa ufanisi mkubwa.
.
Ujuzi unafundishwa ulikotoka serikali haiajili mtu ili imtrein aifanyie kazi. Nitakupa mfano mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi wa majengo nina miaka 33 na kuna mtu mwingine ana shahada ya uhandisi wa majengo ana miaka 26 kwa akili yako ya kizamani serikali itamuajili nani?
.
Note; wote tumekidhi vigezo vinavyohitajika
 
Duh!! We jamaa yaelekea hata wazazi wako wakifikia umri fulani mkubwa utatamani ukawatupe jalalani!! Siyo kwa chuki hiyo! Hivi mtu anayemaliza phd yake akiwa na 40+yrs inabidi akaitumie hiyo elimu yake kaburini? Au utakuwa umesotea ajira muda mrefu bila kupata ndiyo ukadhani labda hao wa umri mkubea ndiyo wamekuzibia? Kuna mtu anakuwa na umri huo wa 45 na zaidi,na anakuwa keshafanya kazi kwa miaka mingi na sehemu tofauti tofauti zenye mafanikio kuliko hapo,anakuja kuomba kazi hapo,wewe fresh graduate unasema huyu amekuja kuleta mzigo kwa shirika/taasisi wakati taasisi na hata nyie fresh graduate mnamuhitaji sana sana huyu mtu kwa kuwa ana uzoefu + exposure kuliko nyie, ila inategemea na aina ya ujuzi, nikimpata engineer aliyetoka ndani ya industry inayoheshimika,inayofanya vizuri kuliko yangu,mwenye elimu kama yako ila amekuzidi uzoefu kwa miaka zaidi ya kumi,basi nitamwajiri yeye badala ya wewe kama nafasi ni moja,au kama kuna nafasi ya ziada basi nitakuweka wewe na nitamuweka yeye kama consultant wako,si poa?
Hauko vizuri umeingiza ujinga serikalini na naimani wafanyakazi wenzako wapya mlioajiliwa nao waliku_isolate sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi matumizi ya hili neno humu ila sina namna USIKURUPEKE/KUKURUPUKA
.
Miaka 35 ama 33 uajiriwe kwenye idara ya auditing kwa mfano kuna mwenzako toka ana 27 mwingine 25 yupo pale utaongeza kitu gani au ufanisi gani ofisini?

hivi ni credible au ni umri, daaah mnanyanyasa raia mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh!! We jamaa yaelekea hata wazazi wako wakifikia umri fulani mkubwa utatamani ukawatupe jalalani!! Siyo kwa chuki hiyo! Hivi mtu anayemaliza phd yake akiwa na 40+yrs inabidi akaitumie hiyo elimu yake kaburini? Au utakuwa umesotea ajira muda mrefu bila kupata ndiyo ukadhani labda hao wa umri mkubea ndiyo wamekuzibia? Kuna mtu anakuwa na umri huo wa 45 na zaidi,na anakuwa keshafanya kazi kwa miaka mingi na sehemu tofauti tofauti zenye mafanikio kuliko hapo,anakuja kuomba kazi hapo,wewe fresh graduate unasema huyu amekuja kuleta mzigo kwa shirika/taasisi wakati taasisi na hata nyie fresh graduate mnamuhitaji sana sana huyu mtu kwa kuwa ana uzoefu + exposure kuliko nyie, ila inategemea na aina ya ujuzi, nikimpata engineer aliyetoka ndani ya industry inayoheshimika,inayofanya vizuri kuliko yangu,mwenye elimu kama yako ila amekuzidi uzoefu kwa miaka zaidi ya kumi,basi nitamwajiri yeye badala ya wewe kama nafasi ni moja,au kama kuna nafasi ya ziada basi nitakuweka wewe na nitamuweka yeye kama consultant wako,si poa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye miaka 45 hawezi kuomba kuajiriwa na serikali sheria inamkataa.
.
Hiki kimenichekesha sana
Hivi mtu anayemaliza phd yake akiwa na 40+yrs inabidi akaitumie hiyo elimu yake kaburini?
Mzee kweli unaufahamu wowote na elimu?
Mtu atasomaje hadi kufikia kiwango cha phd bila ajira au unafikiri ni kama kutoka darasa la kwanza hadi la saba?
 
Habari ndugu zangu kuna jambo nimeona nilisemee mapema hasa kipind hiki ambacho Serikali imesema inajiandaa kumwaga ajira nyingi kwa vijana, kuna tangazo la Ajira nimeona limetolewa na TANAPA na kutangazwa na utumishi hili suala la kuweka umri ni ubabaishaji na udhulumaji wa kiwango cha juu, Serikali ambayo ndani ya miaka 5 hawajatangaza ajira kwa vijana wao unakuja kutoa ajira unaanza kutoa masharti ya umri kama sio uonevu ni nini

Nitoe mfano mdogo kuna mwanachuo yeyote alimaliza mfano 2015 akiwa na umri Wa miaka 26, 27, au 28 maana mfumo wetu wa elimu miaka ya nyuma inaeleweka watu waliingia na umri Mkubwa . Leo hii aje kukosa ajira kisa haya masharti yenu ya hovyo hovyo yasiyo na muhimu.
. (kwanini wasiweze limit ile kisheria ya 35 mwisho) ili kuwapa nafasi kubwa wanachuo wengi kunufaika na hizo ajira.

Bora ingekuwa mnaweka haya masharti mtaani sekta binafsi inafanya vizuri kwa kuajili wengi sasa sekta binafsi hakuna ajira ,wala hakuna fursa za biashara kusema watu wanaweza kujiajili au kupata mikopo ya kuweza kujiajili na kuweza kufanya maisha .

Jambo hili liangalieni kwa umakini Sana inawezekana Raisi Magufuli Ana lengo nzuri kuajili watu wengi ila kukawa na kundi la watu wanafanya mambo ya kumfitinisha na wananchi ili aonekane hajatoa ajira nyingi kwa wananchi wake (kwa Hili la umri wengi watakosa ajira hata Kama sifa wanazo)

Naomba wasaidizi wake Mheshimiwa Raisi wamfikishie ujumbe huu ili kuondoa hii fitina mbaya kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka huu sasa maadui wasiotaka kuona Rais aonekane ametoa ajira nyingi kwa vijana wameamua kuja na hili la kuweka umri na nina imani kila ombi la ajira za Serikali hiki kipengele kitakuwepo , mwisho wake ataonekana hajatoa ajira kwa wananchi wakati nafasi za ajira zilikuwepo nyingi tu na hao maadui watajaza watu wao wanaojua wao tu. Tunaomba hiki kipengele kitoeni fasta .

Watu Wa utumishi acheni kumfitisha Raisi wetu . tunahitaji vijana wengi waje kumchagua kipenzi hiki cha watanzania.

Mwisho niseme nikiwa Kama mwana CCM nina haki ya kusema ukweli hasa nikiona kuna mambo hayapo sawa.

View attachment 1326609View attachment 1326609View attachment 1326610
Mambo ya mwenye shibe hamjui mwenye njaa hayo.. selfishness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye miaka 45 hawezi kuomba kuajiriwa na serikali sheria inamkataa.
.
Hiki kimenichekesha sana

Mzee kweli unaufahamu wowote na elimu?
Mtu atasomaje hadi kufikia kiwango cha phd bila ajira au unafikiri ni kama kutoka darasa la kwanza hadi la saba?

Maprofessor hawa au wale wanaombaga kazi za udirector huwa sio serikalini wanaomba kazi ? kwan serikalini ni wapi mkuu ??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maprofessor hawa au wale wanaombaga kazi za udirector huwa sio serikalini wanaomba kazi ? kwan serikalini ni wapi mkuu ??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mpaka anafikia hadhi hiyo ya uprofesa ni tayari alishakuwa mtumishi wa serikali kwa namna moja ama nyingine yani yuko kwenye system tayari.
.
Mfano ni profesa Kitila Mkumbo ameluwa mtumishi wa serikali kwa muda mreefu sana hata kabla hajawa profesa.
Hawa wanaotaka ajira wakiwa wamebakisha miaka michache kuwa wazee hatuwahitaji
 
Serekali haiwezi kuajiri wananchi wote
Sio lazima kila aliyesoma aajiriwe msitumie mda mwingi kujadili vitu visivo na tija
Nipo chuoni kimoja hapa nafanya kazi
Kama mda ambao wanafunzi wanautumia Kuanda part nakukesha Club mungekua munajifunza vitu nakuwekeza msingekua munalalama mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoelewa limit ya kuajiriwa serikalini ni miaka 45, sasa hiyo miaka 30 wameitoa wapi
 
Unaongea utafikiri wewe ndo sheria au utafikiri wewe ndo unaajiri watanzania wote katika sekta ya umma...
Acheni ubishi wa kijinga na sifa tu....watu wanaingia serikali na miaka tofauti inategemea na nafasi anayoitiwa..kuna jamaa kapiga private more than 10 years...juzi kati kaitwa mkurugenzi shirika la umma...miaka ni zaidi ya 40...
Kila mtu anaridhiki yake na maisha hayana formula..mwisho wa siku kila mtu mkono itaenda kinywani

Back
Top Bottom