Rais Magufuli unafanyiwa fitina na Utumishi

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,064
Habari ndugu zangu kuna jambo nimeona nilisemee mapema hasa kipind hiki ambacho Serikali imesema inajiandaa kumwaga ajira nyingi kwa vijana, kuna tangazo la Ajira nimeona limetolewa na TANAPA na kutangazwa na utumishi hili suala la kuweka umri ni ubabaishaji na udhulumaji wa kiwango cha juu, Serikali ambayo ndani ya miaka 5 hawajatangaza ajira kwa vijana wao unakuja kutoa ajira unaanza kutoa masharti ya umri kama sio uonevu ni nini

Nitoe mfano mdogo kuna mwanachuo yeyote alimaliza mfano 2015 akiwa na umri Wa miaka 26, 27, au 28 maana mfumo wetu wa elimu miaka ya nyuma inaeleweka watu waliingia na umri Mkubwa . Leo hii aje kukosa ajira kisa haya masharti yenu ya hovyo hovyo yasiyo na muhimu.
. (kwanini wasiweze limit ile kisheria ya 35 mwisho) ili kuwapa nafasi kubwa wanachuo wengi kunufaika na hizo ajira.

Bora ingekuwa mnaweka haya masharti mtaani sekta binafsi inafanya vizuri kwa kuajili wengi sasa sekta binafsi hakuna ajira ,wala hakuna fursa za biashara kusema watu wanaweza kujiajili au kupata mikopo ya kuweza kujiajili na kuweza kufanya maisha .

Jambo hili liangalieni kwa umakini Sana inawezekana Raisi Magufuli Ana lengo nzuri kuajili watu wengi ila kukawa na kundi la watu wanafanya mambo ya kumfitinisha na wananchi ili aonekane hajatoa ajira nyingi kwa wananchi wake (kwa Hili la umri wengi watakosa ajira hata Kama sifa wanazo)

Naomba wasaidizi wake Mheshimiwa Raisi wamfikishie ujumbe huu ili kuondoa hii fitina mbaya kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka huu sasa maadui wasiotaka kuona Rais aonekane ametoa ajira nyingi kwa vijana wameamua kuja na hili la kuweka umri na nina imani kila ombi la ajira za Serikali hiki kipengele kitakuwepo , mwisho wake ataonekana hajatoa ajira kwa wananchi wakati nafasi za ajira zilikuwepo nyingi tu na hao maadui watajaza watu wao wanaojua wao tu. Tunaomba hiki kipengele kitoeni fasta .

Watu Wa utumishi acheni kumfitisha Raisi wetu . tunahitaji vijana wengi waje kumchagua kipenzi hiki cha watanzania.

Mwisho niseme nikiwa Kama mwana CCM nina haki ya kusema ukweli hasa nikiona kuna mambo hayapo sawa.

Screenshot_20200118-131118.png
Screenshot_20200118-131118.png
Screenshot_20200118-131006.png
 
Attachments

  • AJIRALEO.COM_TANGAZO-LA-NAFASI-ZA-KAZI- TANAPA 17-01-2020.pdf
    389.3 KB · Views: 2
Tabu ya Watanzania ni u-selfish tu, akipata yeye haoni kama kuna mwingine anastahili kupata ile nafasi!

Anakwenda kubeba zege au tofali?
Sio umimi ni ukweli miaka 35 uje serikalini kama muajiriwa mpya unakuja kufanya nini?
.
Mtu mwenye miaka 35 tayari ana familia hata kama hana mke basi ana mtoto japo kuna wachache hawana vyote hadi huu wakati unakufikia bado una akili za kichuochuo za kusubiri uajiriwe wewe mzima kweli?
.
Serikali inapotoa ajira na kusema haitaki watu wenye umri mkubwa hawakosei ndio maana majeshini huajiriwi kama una mtoto au mke tayari.
Fanya kazi zingine tena utakuwa huru zaidi
 
Usikurupuke huo ndiyo umri wa mwisho kwa serikali kuajili yaani ipo kisheria .nimesema iwe 35 ili wenye umri wa miaka 31,32,33 nao wapate fursa ya kujikwamua kwa kupata ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi matumizi ya hili neno humu ila sina namna USIKURUPEKE/KUKURUPUKA
.
Miaka 35 ama 33 uajiriwe kwenye idara ya auditing kwa mfano kuna mwenzako toka ana 27 mwingine 25 yupo pale utaongeza kitu gani au ufanisi gani ofisini?
 
Sio umimi ni ukweli miaka 35 uje serikalini kama muajiriwa mpya unakuja kufanya nini?
.
Mtu mwenye miaka 35 tayari ana familia hata kama hana mke basi ana mtoto japo kuna wachache hawana vyote hadi huu wakati unakufikia bado una akili za kichuochuo za kusubiri uajiriwe wewe mzima kweli?
.
Serikali inapotoa ajira na kusema haitaki watu wenye umri mkubwa hawakosei ndio maana majeshini huajiriwi kama una mtoto au mke tayari.
Fanya kazi zingine tena utakuwa huru zaidi

Kuna watumishi wapo tangu wana miaka 24 serikalini lakini hawana walichoongeza, wapo kusubiri mishahara na kupiga porojo!

Sijakuelewa unachoogopa wewe ni familia, umri au ufanisi wa kazi?

Kuna watu wana miaka 35+ na wana familia wapo wananyanyasika kwa wahindi/wachina wanapiga kazi za hatari! Sasa chukua hiyo weka ofisini!

Familia, umri plus uchungu wa kuvuja jasho jingi na kulipwa kidogo na wadosi, wanafanya maajabu makubwa!

Kazi kama za Rangers (Wanajeshi) hizo sina tabu na umri, lakini si kazi za ofisini!
 
Soma maoni yangu #9 mzee
 
Umri ambao mtu haruhusiwi kuajiriwa ni miaka 46 ukiwa na chini ya hapo sheria inaruhusu uajiriwe.
Habari ndugu zangu kuna jambo nimeona nilisemee mapema hasa kipind hiki ambacho Serikali imesema inajiandaa kumwaga ajira nyingi kwa vijana , kuna tangazo la Ajira nimeona limetolewa na TANAPA na kutangazwa na utumishi hili suala la kuweka umri ni ubabaishaji na udhulumaji wa kiwango cha juu , Serikali ambayo ndani ya miaka 5 hawajatangaza ajira kwa vijana wao unakuja kutoa ajira unaanza kutoa masharti ya umri kama sio uonevu ni nini

Nitoe mfano mdogo kuna mwanachuo yeyote alimaliza mfano 2015 akiwa na umri Wa miaka 26, 27, au 28 maana mfumo wetu wa elimu miaka ya nyuma inaeleweka watu waliingia na umri Mkubwa . Leo hii aje kukosa ajira kisa haya masharti yenu ya ovyo ovyo yasiyo na muhimu . (kwanini wasiweze limit ile kisheria ya 35 mwisho) ili kuwapa nafasi kubwa wanachuo wengi kunufaika na hizo ajira.

Bora ingekuwa mnaweka haya masharti mtaani sekta binafsi inafanya vizuri kwa kuajili wengi sasa sekta binafsi hakuna ajira ,wala hakuna fursa za biashara kusema watu wanaweza kujiajili au kupata mikopo ya kuweza kujiajili na kuweza kufanya maisha .

Jambo hili liangalieni kwa umakini Sana inawezekana Raisi Magufuli Ana lengo nzuri kuajili watu wengi ila kukawa na kundi la watu wanafanya mambo ya kumfitinisha na wananchi ili aonekane hajatoa ajira nyingi kwa wananchi wake (kwa Hili la umri wengi watakosa ajira hata Kama sifa wanazo)

Naomba wasaidizi wake Mheshimiwa Raisi wamfikishie ujumbe huu ili kuondoa hii fitina mbaya kumbuka tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka huu sasa maadui wasiotaka kuona Rais aonekane ametoa ajira nyingi kwa vijana wameamua kuja na hili la kuweka umri na nina imani kila ombi la ajira za Serikali hiki kipengele kitakuwepo , mwisho wake ataonekana hajatoa ajira kwa wananchi wakati nafasi za ajira zilikuwepo nyingi tu na hao maadui watajaza watu wao wanaojua wao tu. Tunaomba hiki kipengele kitoeni fasta .

Watu Wa utumishi acheni kumfitisha Raisi wetu . tunahitaji vijana wengi waje kumchagua kipenzi hiki cha watanzania.

Mwisho niseme nikiwa Kama mwana ccm Nina haki ya kusema ukweli hasa nikiona kuna mambo hayapo sawa

Mk ssutumishii kunawasanii wameonaa wataulizwaa ajira MBONA hamatangazi. WANASEMA umri wakijua hapatikan MTU kha
WACHA nijiproud na ujsirimli
 
Kama kitambulisho cha Taifa tu wameweka expire date unashangaa hapo Utumishi kuweka mwaka huo mkuu.

Nchi hii imejaa watu ambao wanafikiri kwa kutumia makalio mmoja wapo ni huyo hapo juu.

Atakuwa msengerema tu. Shwayn...!
 
Unataka ligi za kijinga tu kasome vizur kikomo cha serikali kuajili na hizo blabla zingine unaongea ni mtazamo wako hujazuiliwa . tufuate hiyo Sheria wanasemaje na nimeliongelea hapa kulingana na hali halisi serikali kwa Muda hawakutoa ajira na Mh Raisi kaamua kutoa ajira kwa wananchi wake wote
Sipendi matumizi ya hili neno humu ila sina namna USIKURUPEKE/KUKURUPUKA
.
Miaka 35 ama 33 uajiriwe kwenye idara ya auditing kwa mfano kuna mwenzako toka ana 27 mwingine 25 yupo pale utaongeza kitu gani au ufanisi gani ofisini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ligi za kijinga tu kasome vizur kikomo cha serikali kuajili na hizo blabla zingine unaongea ni mtazamo wako hujazuiliwa . tufuate hiyo Sheria wanasemaje na nimeliongelea hapa kulingana na hali halisi serikali kwa Muda hawakutoa ajira na Mh Raisi kaamua kutoa ajira kwa wananchi wake wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubishi wako ndio umekuponza unazeeka huku una manung'uniko ya kupata ajira serikalini.
Hadi umekuwa na uandishi wa hovyo kabisa.
.
Endelea kusubiri iko siku itakuajiri alafu utuletee ufanisi unaofanana na namna unavyoandika wazee wa fitna tukufundishe kazi.
Lia sanaaa
 
Mbona mimi nimeingia serikalini ni 35+ nanipo vizuri
Sio umimi ni ukweli miaka 35 uje serikalini kama muajiriwa mpya unakuja kufanya nini?
.
Mtu mwenye miaka 35 tayari ana familia hata kama hana mke basi ana mtoto japo kuna wachache hawana vyote hadi huu wakati unakufikia bado una akili za kichuochuo za kusubiri uajiriwe wewe mzima kweli?
.
Serikali inapotoa ajira na kusema haitaki watu wenye umri mkubwa hawakosei ndio maana majeshini huajiriwi kama una mtoto au mke tayari.
Fanya kazi zingine tena utakuwa huru zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom