Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

Nakubaliana na mleta uzi kuwa ni kweli mh Bashe anazo sifa zote za kuweza kuwa waziri mzuri sana kwa namna anavoelewa matatizo mengi ya mkwamo wa nchi yetu lakini nabaki nashangaa kwanini wanateliwa watu kama akina Waitara na Shonza. Wakati umefika wakateuliwa watu wa kusaidia kuleta maendeleo badala ya uteuzi kuwa zawadi kwa baadhi ya watu kuwafurahisha wao binafsi.
 
Mosi:
Uwezo wake ni wakawaida tu

Pili:
Madaraka ya kisiasa & Nafasi nyeti si za kuwapa wageni

Wasomali, Waarabu & Wahindi wajikite tu kwenye biashara - siasa na uongozi watuachie wenye nchi 'makabila 125'
 
mimi ni mkazi wa nzega mjini jimboni kwa bashe, unaambiwa jamaa tayari ameshaanza fanyiwa zengwe mwaka ujao jamaa hapiti ameshaandaliwa kijana wao happi(ally)
Kisa ni nini? Kama hali ndiyo hiyo, itakuwa vigumu kwa Rais Magufuli kutekeleza sera yake ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na ya uchumi wa Kati.
 
Mosi:
Uwezo wake ni wakawaida tu

Pili:
Madaraka ya kisiasa & Nafasi nyeti si za kuwapa wageni

Wasomali, Waarabu & Wahindi wajikite tu kwenye biashara - siasa na uongozi watuachie wenye nchi 'makabila 125'
Naamin ni tumbo lako linaongea ila si uzalendo kama taifa katika mambo aliyo ongea kuna mengi ya kuchukua na kuyafanyia kazi isije baada ya magufuli kutoka tukawa wa kwanza kumponda
 
Ni mda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo,
Waziri Kigwangala
na Waziri Doto na Biteko. https://images.app.goo.gl/Tisnw5TDd9uHMzuS7

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn https://images.app.goo.gl/axPBDS5R2BAoMBj8A
ambaye alikuwa machachali sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.
Tatizo mzee alishasema hamfikiriii kwenye uteuzi na alishasahau km yupo bungeni kisa michango yake ina itikadi ya kiupinzani
 
Tatizo la rais wetu ni kwamba anapenda sana uongo na kudanganywa....angalia kama Mama Angela Kairuki kavuruga utumishi pale lakini kaondoka na kuwaacha watu kama akina Paul Makonda wezi wa vyeti......Bashe hataweza kufanya kazi na Rais wetu wetu maana Bashe ni mkweli
 
Nakubaliana na mleta uzi kuwa ni kweli mh Bashe anazo sifa zote za kuweza kuwa waziri mzuri sana kwa namna anavoelewa matatizo mengi ya mkwamo wa nchi yetu lakini nabaki nashangaa kwanini wanateliwa watu kama akina Waitara na Shonza. Wakati umefika wakateuliwa watu wa kusaidia kuleta maendeleo badala ya uteuzi kuwa zawadi kwa baadhi ya watu kuwafurahisha wao binafsi.
Utii zero, alimtukana JK mchana, hata uwe na akili vipi lakini kama huna heshima ni bure
 
Mosi:
Uwezo wake ni wakawaida tu

Pili:
Madaraka ya kisiasa & Nafasi nyeti si za kuwapa wageni

Wasomali, Waarabu & Wahindi wajikite tu kwenye biashara - siasa na uongozi watuachie wenye nchi 'makabila 125'
Hiyo pia ni argument nzuri asante sana. Nilikuwa sija elewa tatizo ni nini? Asante kwa kunifungua macho.

Nawaonea kama akina Mo Dewji nao ni typebhiyo hiyo. Wanautajiri lakini hawataki kutumia utajiri wao kuwawezesha wazawa kama Mzee wetu Mengi alivyo fanya.
 
Utii zero, alimtukana JK mchana, hata uwe na akili vipi lakini kama huna heshima ni bure
Heshima umetufikisha wapi? Heshima nabutendaji Kati kufikia malengo lipi Bora?

Kama kutoa watanzania wameishauri sana. Kama heshima watanzania wamejaa hesimu sana. Matokeo ya utii na heshima yetu imetufanya tuwe mbumbumbu. Maendeleo hilft da na challenges na acknowledgement. Mwenye akili kubwa atabali kuwa na akili kubwa hata iwe vipi.
 
Bashe ni mnafiki na dawa ya wanafiki ni kuwawekea tinted. Acha aendelee na ubunge wake akitegemea makofi na porojo za nyumbu wa Ufipa.

Hapana, bashe hajipendekezi kwa jiwe ndio maana. Anamtaka mtu anayejipendekeza Kama Profesa Kabudi.
 
Bashe ni mnafiki na dawa ya wanafiki ni kuwawekea tinted. Acha aendelee na ubunge wake akitegemea makofi na porojo za nyumbu wa Ufipa.
Nani asiyewajua kuwa watu wenye mitizamo chanya kwenu awamu ya tano na wapambe wenu ni maadui wakubwa?? Nikupe tu mf ulio wazi, Kwanini mnamuona Prof. Mussa Assard kama ndiye adui mkubwa wa maendeleo ya nchi yetu?? Jibu ni rahisi sana, kwakuwa ni Mkweli ahongeki na wala ayumbishwi na utawala huu. Niliwahi kusema watu kama ninyi wenye mawazo mfu siyo makosa yenu bali tatizo liko pale JUU.
 
Ni mda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo,
Waziri Kigwangala
na Waziri Doto na Biteko. https://images.app.goo.gl/Tisnw5TDd9uHMzuS7

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn https://images.app.goo.gl/axPBDS5R2BAoMBj8A
ambaye alikuwa machachali sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

Kuongea siyo kutenda, kuna masuala ya kisheria, uchunguzi na upelelezi wa jambo au mwekezaji anayetaka fursa fulani kama anauwezo au la.
 
Back
Top Bottom