Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

Kuongea siyo kutenda, kuna masuala ya kisheria, uchunguzi na upelelezi wa jambo au mwekezaji anayetaka fursa fulani kama anauwezo au la.
Duuh! Mbona ni kasheshe? Kama kila mwekezaji lazima achunguzwe kama ni Terrorist? Tutafika kweli na sera yetu ya viwanda?
 
Acha akae na ubunge ili aonyeshi changamoto kama hizo ,maana akiwa waziri hatokuwa na uwanja wa kusema kama alivyo kwa sasa
 
N

Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

Ni mmoja wa vijana aliyepita juu kwa juu bila maadili ya CCM hakupikwa vya kutosha. Haaminiki.
 
Bashe ni mzuri na anautendea haki ubunge wake, wananchi wa jimbo lake na watanzania wote. Bado naamini michango yake kama mbunge ikiwa serikali itazingatia itakuwa na faida kubwa kwa Taifa. Tatizo kuwa waziri ukiwa muoga utageuka kuwa mtetezi wa maovu hata kama yapo wazi.
Huyu Bashe anatoka uzao ule wa kale kawimbo"tuna imani na lowa......."
 
Ukiangalia kwa makini sana serikali ya mh. Magufuli utaona yafuatayo 1. Mh rais ana vision nzuri itakayotatua matatizo ya Watanzania.
2. Anaongoza chama chenye wasomi wengi wenye uzoefu. 3. Kimsingi anaungwa mkono na watu wengi.
4. Ana mikakati mizuri ya kutekeleza vision yake isipokuwa mikakati yake imefubazwa na mapenzi ya chama chake yaliyopitiliza, ambayo amejishuhulisha sana na juhudi za kuvifuta vyama vya upinzani na hivyo kupoteza rasilimali nyingi na muda mwingi.
5. Mapenzi na chama chake yaliyopindukia yamefanya CCM kuwa serikali na serika kuwa CCM hivyo haijulikani nani anamsimamia nani?
6. Mapenzi na chama chake yamefanya wale wanaowatahadharisha kuonekana ni maadui.
7. Kutokana na mapenzi ya chama chake yaliyopindukia mipaka hasikii tena ushauri wa akina Zitto, Mdee, Heche, Bashe, Serukamba nk.
8. mawaziri wake utagundua ni wale wenye siasa kali za CCM, na sio wale wanaoweza imba vision moja na mheshimiwa. Ni wale ambao hawawezi fanya kazi na wapinzani ukiacha wachache kama waziri mkuu, na waziri wa ardhi ambao kimsingi wanafanya vizuri.
9. Kutokana na CCM na serikali kuwa kitu kimoja utagundua hata wabunge wa CCM hawawasemei tena wapiga kura wao bali wanakitukuza chama tu, ndio maana hata taarifa ya CAG imewapa ukakasi watu wa CCM. kwa hiyo bashe ni ngumu kuwa waziri.

Ni mda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo,
Waziri Kigwangala
na Waziri Doto na Biteko. https://images.app.goo.gl/Tisnw5TDd9uHMzuS7

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn https://images.app.goo.gl/axPBDS5R2BAoMBj8A
ambaye alikuwa machachali sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.
 
Bashe anafaa kuwa WAZIRI WA FEDHA, sema dhambi ya kuwa mpambe wa Lowasa inamtafuna. Ila kijana yupo vizuri sana kichwani. Hata kwenye kilimo Bashe anafiti. Tatizo la hawa jamaa wakishapewa uwaziri huwa wanageuka kabisa, utadhani sio wao!
 
Duuh! Mbona ni kasheshe? Kama kila mwekezaji lazima achunguzwe kama ni Terrorist? Tutafika kweli na sera yetu ya viwanda?

Nchi zote duniani huendi tu ukafika ukasema we mwekezaji wasikuchunguze uwezo wako na mambo mengine ya kiusalama, usifikirie ugaidi tu katika usalama kuna ishu nyingi.
 
Bashe anafaa kuwa WAZIRI WA FEDHA, sema dhambi ya kuwa mpambe wa Lowasa inamtafuna. Ila kijana yupo vizuri sana kichwani. Hata kwenye kilimo Bashe anafiti. Tatizo la hawa jamaa wakishapewa uwaziri huwa wanageuka kabisa, utadhani sio wao!
Waziri wa nini eti?yaani fedha zetu ziishie somolilondo kweli?acha utani wewe, kama ana haraka na uwaziri awahi somolilondo
 
Mh rai.....si anapenda watu waongo na wanafiq wapenda kuabudu

Si unaona wasema ukwel wakina Asad prof wanapita kwenye mawimbi makali kisa kusimamia anachokiamin
Prof. Assad ni kitu kingine. Prof. Assad hana uzalendo. Ni mtanzani ambaye ni hatari sana. Wajibu wake ni kupiga mahesabu na kuwasilisha Report na sio kwenda nje ya nchi na kuanza kulikandia Bunge letu tukufu, wakati watendaji wake karibu wote wako kwenye kamati ambazo ziko chini ya mamlaka ya Bunge.

Prof. Assad ni traitor. Alitakiwa awe amesha tolewa zamani. Nashangaa kwa nini Rais Magufuli amemwacha mpaka sasa hivi.

Watu kama hao Marekani wanahukumiwa kunyongwa. Haiwezi kwenda nje na kuilipakaza Bunge lako. Hakuna nchi au Bunge au serikali litamvumilia mit wa namna hiyo ulimwenguni.

Matatizo ya nchi hutatatuliwa na wananchi wenyewe internally na sio karibu anaye kwenda nje na kuaza kutukandia.

La Prof. ASSAD SIKUBALIANI NALO!
 
Waziri wa nini eti?yaani fedha zetu ziishie somolilondo kweli?acha utani wewe, kama ana haraka na uwaziri awahi somolilondo
Anafaa kuwa waziri wa Viwanda na Biashara. Ni Mbuge ambaye anafuatilia sana ukweli wa mambo na anaonekana kuwa ni kijana makoni Sana wa kutaka kuelewa mambo yalivyo.

Rais Magufuli wakishirikiana naye tuta kuwa na mawaziri kabambe wa kujivunia na ambao wata lijenga Taifa letu.

Tuna taka watu kama hawa na sio walala hoi. Watu ambao wako wako tu na kupata vyeonvya bahati nasibu.

Huyu kijana ni mtu ambaye anajiamini na anajua anacho kisema na kukifikiri. Sio mbahatishaji na mpiga porojo za mpunga.

He is really determined!!!
 
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.
Kwa huu uzi ndio umemuharibia kabisa Bashe,kwasasa kwenye utawala huu cheo chake cha mwisho ni ubunge.
Huo mchango wake angeweza kuutoa kwa maandishi ungefika pia,

"Zilongwa mbali zitendwa mbali"
 
Ataleta mchango mkubwa sana katika kuhimiza Mambo yanayo husu uchumi wetu.

Kangi Lugola alikuwa anaenda mpaka na vinyago bungeni, kuichachafya serikali.. Alipopewa uwaziri tu, amepiga u-turn.. Bashe nae akienda tu kule, atafanya kama Kangi.. Kule kuna collective responsibility ukumbuke Mkuu.. Unachotakiwa utetee kilichotoka, na sio kupinga..
 
Naona mwenye kiti wa ile kamati maadili umekuja kuhalirisha maumiz yenu juu ya prof kiukwel mnayumba sana

Back
Top Bottom