Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

Naona mwenye kiti wa ile kamati maadili umekuja kuhalirisha maumiz yenu juu ya prof kiukwel mnayumba sana
Hatuyumbi je is really a traitor. Hata kama ni ukweli anacho Sema ambako kuwa ni Traitor.

Judas Askariot kumsaliti Yesu mpaka Leo anakunbukwa kwa usaliti wake Hao japo kuwa Yesu alimsamehe.

Binadam mwenye upendo na nchi yake na watanzania wenzake hawezi kwenda kwa maadua na kuyaeleza Wellness zetu. Lengo lake lilikuwa ni nini?

Mke wako akichepuka na kuyaeleza ukweli huyo jamaa anayechepuka naye kuhusu maumbile yako na jinsi unavyofanya kazi uki yasikia utapenda?

No no no no no Prof. Assad ni msaliti wa nchi na sio mzalendo hata kama ana akili kuliko sisi wote na hata kama ni mwkweli kupindukia. Hatuwezi waamini traitors. Traitor atabaki kuwa ni traitor!!!
 
Bunge lijikite kujibu mapungufu yaliyopo kwenye ile ripoti na kuhisimamia serikali kwa mujibu wa katiba haya mengine sio mhimu sana dhaif au si dhaifu

Those with power they don't have ability and those with ability they don't have power.
 
Prof. Assad ni kitu kingine. Prof. Assad hana uzalendo. Ni mtanzani ambaye ni hatari sana. Wajibu wake ni kupiga mahesabu na kuwasilisha Report na sio kwenda nje ya nchi na kuanza kulikandia Bunge letu tukufu, wakati watendaji wake karibu wote wako kwenye kamati ambazo ziko chini ya mamlaka ya Bunge.

Prof. Assad ni traitor. Alitakiwa awe amesha tolewa zamani. Nashangaa kwa nini Rais Magufuli amemwacha mpaka sasa hivi.

Watu kama hao Marekani wanahukumiwa kunyongwa. Haiwezi kwenda nje na kuilipakaza Bunge lako. Hakuna nchi au Bunge au serikali litamvumilia mit wa namna hiyo ulimwenguni.

Matatizo ya nchi hutatatuliwa na wananchi wenyewe internally na sio karibu anaye kwenda nje na kuaza kutukandia.

La Prof. ASSAD SIKUBALIANI NALO!
Wewe ndio traitor, siamini kama umewahi kusikia prof asad alisemaje kuhusu bunge. Nadhani umelishwa maneno ya vijiweni.
 
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

Kwa awamu hii ni sawa na kupoteza mda kumshauri kichaa avae nguo wakati yeye hajioni kuwa yuko uchi
 
Bashe anatakiwa kutambua hii nchi iko kwenye sikio la kufa.
Bashe anatakiwa akae kimya ale posho zake bila jasho alishatekwa na kuambiwa anyamaze lakini wapi.

Siasa ziko upinzani huko aliko kumejaa wanafiki na wababe wa kivita.
 
Bunge lijikite kujibu mapungufu yaliyopo kwenye ile ripoti na kuhisimamia serikali kwa mujibu wa katiba haya mengine sio mhimu sana dhaif au si dhaifu
Prof. Assad alikuwa out of the NORM! Katika kukagua mahesabu ya Business manegement hakuna neno "Dhaifu" au "Weak". Na isitoshe hiyo sio kazi yake ambayo analipwa kuelezea Status za bunge letu Tukufu na mhimili ambao umemwajili. Yeye hajaajiliwa na Rais ameajiliwa na Bunge. Rais amefanya kazi moja tu ya kumteua. Malipo yake yanalipwa na Bunge na yuko katika kitengo cha fedha cha Bunge na sio serikali au Mahakama.

Kwa hiyo alitakiwa kunyamaza na kufanya kazi yake kama inavyo paswa. Halipwi kwa kulisaliti Bunge letu tukufu na wala nchi yetu.
 
Bashe anatakiwa kutambua hii nchi iko kwenye sikio la kufa.
Bashe anatakiwa akae kimya ale posho zake bila jasho alishatekwa na kuambiwa anyamaze lakini wapi.

Siasa ziko upinzani huko aliko kumejaa wanafiki na wababe wa kivita.
Mkuu inawezekana unacho sema kikawa na substance. Zingatia wasomi wetu wengi wamesoma Urusi na warusi hawajui Mambo ya kidiplomasia. Wao kila kitu ni ubabe.
 
Kwa awamu hii ni sawa na kupoteza mda kumshauri kichaa avae nguo wakati yeye hajioni kuwa yuko uchi
Sikubaliani na wewe. Ina maana sisi tuna tawaliwa na kichaa? Si dhani?
 
Wakishapewa vyeo wanabadilika hawa

mifano ipo kibao
 
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

team Lowasa aka mafisadi according to myopic Magu!!
 
Ndio Bashe alivyokutuma?
Mwambie Magufuli alisham delete, asubiri Raisi mwingine.
Bashe ni Msomali wa Tanzania. Kuna siku aliwahi kuhojiwa na idhaa moja ya Somalia kwa kisomali, kama wewe ungekuwa rais ungemteuwa msomali serikalini kweli? Hivi ikitokea mbunge mwingine wa JMT akahojiwa na idhaa ya Burundi kwa Kihutu kesho mtaandamana mitandaoni wengi na hakuna atakayependekeza ateuliuwe uwaziri.
 
Bashe ni mzuri na anautendea haki ubunge wake, wananchi wa jimbo lake na watanzania wote. Bado naamini michango yake kama mbunge ikiwa serikali itazingatia itakuwa na faida kubwa kwa Taifa. Tatizo kuwa waziri ukiwa muoga utageuka kuwa mtetezi wa maovu hata kama yapo wazi.
Tarakilishi- ikilinganisha ubunge na urais utachakaa
 
Mkuu inawezekana unacho sema kikawa na substance. Zingatia wasomi wetu wengi wamesoma Urusi na warusi hawajui Mambo ya kidiplomasia. Wao kila kitu ni ubabe.
Ubabe kwenye uchumi hahahah!!
 
Mimi ndiyo nashangaa zaidi yako. Hivi ni kwa nini H. Bashe hajateuliwa kuwa Waziri ili amsaidie Mhe. Rais kwa mawazo mazuri ya kiuchumi. Mawazo na ushauri anaoutoa ukiyasikiliza utajua huyu kijana kweli ana nia ya kuisaidia Serikali. Nitakuja kumtafuta mimi binafsi kwa ushauri kuhusu biashara fulani ninaotaka kuanza.
 
Jiwe huwapa teuzi wale wanaomsifu na kumtukuza! BAhati mbaya sana Bashe hana hulka hiyo.
 
Back
Top Bottom