Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

You just can't do that in front of someone you love. Ni sawasawa na kukata shingo mbele ya mkeo ukiona mwanamke mzuri akipita.

Kabisa. You can’t . Imagine Mama Janeth aanze kusema

wakati mwingine nikimuona Jk huwa sijiwezi. He is tall , handsomely with such small all the time , akisimama na yale matege yake he blows my mind wooow he is sooo cute , Oooh my God ! .......JK

Is he sure kwamba atafurahi kusikia haya maneno ? Na kama hatoumia basi ujue hana mapenzi nae. Yaani mke wangu amsifie mwanaume hivo mbele yangu sitolala home miezi 3.

Kabla ya kufanya kitu THINK, put your self in that position.
 
Si mara ya kwanza
Yaonekana anapenda wanawake weupe

Mbona ss kumuoa chocolate lady?..

Utajiskiaje mkeo mara kwa mara akisifia wanaume wenye ndevu ama vifua vizuri wkt we huna ndevu ukoo wenu ama una kitambi huna six packs?.
 
U-hovyo huo ni wa kweli na sio tu kwa mkewe bali kwa wanawake wengine amekuwa senseless. U-hovyo huo huo upo kwenye utendaji wake wa siasa na utumishi serikalini. Tunaongozwa na mtu hovyo ila anaonekana anafaa kwa sababu wengi wanaoongozwa ni hovyo pia.
 
Ila pia kina mama wa kitz ni wavumilivu sana na wana heshima ingekuwa nchi nyingine Rais kila hotuba lazima aongelee wanawake tena bila staha angeona moto wao. Mbona wangeandamana na hata kufanya vituko.
I salute Tanzanian ladies kwa kuwa wavumilivu
 
Mkuu,

Naona unataka kufananisha mahaba na mkeo kwa issue za kisiasa.
 
Kenge ww, nyie ndo mmepigwa malimbwata unaleta ujinga wako apa, kwanza hao taka taka kipindi cha yesu walikuwa hata awahesabiki acha upuuzi kenge ww
 
Magufuli kashawahi kumbaashia Salma Kikwete live kwenye hotuba.

Hayo ni mapungufu yake binafsi, usihusishe hizi habari na Wasukuma.

Kwa Wasukuma kuna washua wanaheshimika na kujiheshimu sana.
 
Tuseme ukweli anaboa sana na mimi nimshauri atumie written speeches vinginevyo hapana, he has to reflect a class of a president and diplomat, maneno ya kujitamkia bila mpangilio na staha haifai kbsa. Mi shabiki yake kindakindaki ila hapana hapana hili sikubali.
 
Hujui kitu kwenye mapenzi, au Hujawahi kupenda.

Kama hujawahi kupenda at the age of 20 to 30, hii itakuwa ngumu kuelewa. However sishangai sana Hii comment yako, as long as Wewe ni mTZ.

Nilishawahi ku date mwanamke wa Msumbiji , alikuwa haamini kuwa mimi ni MTZ, aliniambia watz wanaonekana wapole kwa sura but hawajui kupenda , they are so rough and not romantic , therefore wanawake wengi wa TZ wanapata shida sana kwenye mahusiano.

Yaani wanaume wapo Rude hata mkiwa kwa bed , they can’t make you feel kwamba you are loved.

Sasa alikuwa anashangaa snaa Character zangu so to speak.
Ulikuwa mshamba tu ww!
 
Utani. Kama ukuzoea utani, na mkeo na shauri yako. Nadhani utani alianza tangu mwazo wa mpenzi yao. Mama kamzoea mmewe kwa utani. Na nikweli wasukuma wanapenda sana wanawake weupe. Tangu zamani wasichana mweupe walitolewa Mahari kubwa sana kisa ni weupe
Unajua utani ni nini? Magufuli analamisha kuwafanya watu wacheke wakati hana hicho kipaji na anajikuta anaongea mambo yanayodhalilisha wanawake. Huyu mzee anaishi maisha ya karne mbili zilizopita, siyo mstaarabu na ni mshamba kweli kweli. Kwani lazima kulazimisha humour kwa kuwadhalilisha wanawake wakati kipaji huna?
 
Only fools will go against what you said
Majitu yenye kama hayo huwa yanaitwa ma-mbugwe. Ni mashamba ambayo ustaarabu umewapiga chenga na yanaishi kama yako karne mbili zilizopita. ''Vichekesho'' vya huyu mzee anavyojifanya kuchomeka wakati anahutubia vyote vinadhalilisha wanawake na havichekeshi. Hata wanaojifanya kucheka ni wanafiki tu.
 
It is no joke kuwa Rais Magufuli anakosa Fundamental Character Ethics za kuwa Gentleman. Sina hakika hili lina uhusiano wowote na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character .

Lazima wanaume tuelezane ukweli, no one is perfect na honestly nampenda Rais Magufuli, Ila Niseme wazi kwamba katika wanawake wasiokuwa na furaha ya kuwa First Lady basi ni huyu Mama Jannet JPM. Wanawake wapo very sensitive na language, na small things really matter to them na ni watu walioumbwa emotionally.

Udhaifu Mkubwa wa Watanzania ni they are not ROMANTIC, they are so rough na hawajui kuwa gentleman, hawajui kujali. Karne ya 21 bado kuna watanzania still wanapiga wanawake, wanatukana, wanafokea. Aibu sana.

1. Wakati Rais Magufuli anafunga Bunge la 11, alimshukuru Mungu na kuwashukuru watu woteee na mkewe kumuweka mwisho, my wife was very surprised with that. President Magufuli he might be a very good president to remember; but among the areas that he needs to work on , ni hili la kuwa Romantic kwa his woman.

Kama hushukuru wazazi wako, basi baada ya Mungu ni Mke wako tena unampamba na kumsifia.

Bila yeye Mimi sio Rais Magufuli, amenifanya kuwa Rais bora etc etc.

Hata kama kuna vimichepuko, that is your dark side, it doesn’t matter, we all have secrets. but when you are with her you pay all attention to her, and listening her all the time.

2. Kuna kipindi Rais Magufuli alienda kumpokea Rais wa nchi Fulani, yule Rais alihakikisha mke wake yupo begani kwake tena he was holding her hand, and the woman held his; As for Rais Magufuli, mke wake alikuwa yupo yupo tu mara mbele mara nyuma , hayupo karibu na husband and the President is not giving a damn about her; nilisikitika kwa sababu I know what love is

3 Leo ndio nimekufa kabisa Mkutano wa Halmashauri Kuu;
anasema wazi mbele ya mke wake kuwa yeye akiwa na stress na akiona white lady ( Maji ya kunde kwa tafsiri sahihi) huwa hata stress zinaisha, what does that mean kwa mke wake ? Anamsifia Samia Suluhu ni mzuri na mweupe( Maji ya Kunde) na akimuona stress wakati mwingine zinapungua ,

Umemsifia Mama Samia hadi kaona aibu na kugeuza jicho lake lile huku anatafuna chewing Gum kwa mbaaaaaaaaali

Sijawahi ona hii kitu Kwenye mahusiano ya mapenzi. Ninavyomjua mke wangu, huo ugomvi usingeishaaaaa, na hata mimi naanzaje kutamka hayo maneno in front of my lady, over my dead body. My Black Queen.

Nilishawahi kuulizwa na mdada mmoja napenda mwanamke wa aina gani , nilitoa sifa za mwanamke wangu, awe black ,short with long natural hair , asivae upupu (wigi) . Hizi ni sifa za mwanamke wangu.

ninapokaa popote lazima awe pembeni yangu na sifa zote na utukufu wote ziende kwake.
Mwanamke anayekuzalia, na ku open her legs for you, unatakiwa kuwa na nidhamu kwake za wazi kabisa hasa unapokuwa mbele za watu you need to show that.

it is no joke Mr President you need to work on yourself and keep your head up Mr President; be conscious unapokuwa mbele za watu, please you are offending this woman for God sake man.

Yaani unaoa chocolate lady Halafu unasema unapenda white lady na anakutoa stress!

I am Dead
Kwani hukumsikia alivyosema hakuja kuuza sura wala kutafuta mapenzi ikulu? Vivulana vya siku hizi bwana, tamthilia za kikolea zimeviharibu sana.
 
Magufuli kashawahi kumbaashia Salma Kikwete live kwenye hotuba.

Hayo ni mapungufu yake binafsi, usihusishe hizi habari na Wasukuma.

Kwa Wasukuma kuna washua wanaheshimika na kujiheshimu sana.
Nimecheka sana mkuu.
Naona unaruka kiunzi kuwekwa kundi moja.

Ukweli ni kwamba maeneo yale kuna watu wengi wana kawaida ya kuongea kauli/maneno kwa utani, au kugombeza/kukanya flani bila kuogopa kuwakwaza watu. Hutumia maneno makali sana wakati flani.
Hiyo kwa jinsia zote pande zile hasa wasukuma na wakerewe.

Si wote lakini wengi kuliko maeneo mengine.
 
Back
Top Bottom