Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,997
3,932
It is no joke kuwa Rais Magufuli anakosa Fundamental Character Ethics za kuwa Gentleman. Sina hakika hili lina uhusiano wowote na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character .

Lazima wanaume tuelezane ukweli, no one is perfect na honestly nampenda Rais Magufuli, Ila Niseme wazi kwamba katika wanawake wasiokuwa na furaha ya kuwa First Lady basi ni huyu Mama Jannet JPM. Wanawake wapo very sensitive na language, na small things really matter to them na ni watu walioumbwa emotionally.

Udhaifu Mkubwa wa Watanzania ni they are not ROMANTIC, they are so rough na hawajui kuwa gentleman, hawajui kujali. Karne ya 21 bado kuna watanzania still wanapiga wanawake, wanatukana, wanafokea. Aibu sana.

1. Wakati Rais Magufuli anafunga Bunge la 11, alimshukuru Mungu na kuwashukuru watu woteee na mkewe kumuweka mwisho, my wife and I were very surprised with that. President Magufuli might be a very good president to remember; but among the areas that he needs to work on , ni hili la kuwa Romantic kwa his woman.

Kama hushukuru wazazi wako, basi baada ya Mungu ni Mke wako tena unampamba na kumsifia.

Bila yeye Mimi sio Rais Magufuli, amenifanya kuwa Rais bora etc etc.

Hata kama kuna vimichepuko, that is your dark side, it doesn’t matter, we all have secrets so it is okay

2. Kuna kipindi Rais Magufuli alienda kumpokea Rais wa nchi Fulani, yule Rais alihakikisha mke wake yupo begani kwake tena he was holding her hand, and the woman held his; As for Rais Magufuli, mke wake alikuwa yupo yupo tu mara mbele mara nyuma , hayupo karibu na husband and the President is not giving a damn about her; nilisikitika kwa sababu I know what love is

3 Leo ndio nimekufa kabisa Mkutano wa Halmashauri Kuu;
anasema wazi mbele ya mke wake kuwa yeye akiwa na stress na akiona white lady ( Maji ya kunde kwa tafsiri sahihi) huwa hata stress zinaisha, what does that mean kwa mke wake ? Anamsifia Samia Suluhu ni mzuri na mweupe( Maji ya Kunde) na akimuona stress wakati mwingine zinapungua ,

Umemsifia Mama Samia hadi kaona aibu na kugeuza jicho lake lile huku anatafuna chewing Gum kwa mbaaaaaaaaali

Sijawahi ona hii kitu Kwenye mahusiano ya mapenzi. Ninavyomjua mke wangu, huo ugomvi usingeishaaaaa, na hata mimi naanzaje kutamka hayo maneno in front of my lady, over my dead body. My Black Queen.

Nilishawahi kuulizwa na mdada mmoja napenda mwanamke wa aina gani , nilitoa sifa za mwanamke wangu, awe black ,short with long natural hair , asivae upupu (wigi) . Hizi ni sifa za mwanamke wangu.

ninapokaa popote lazima awe pembeni yangu, ananifanya najiamini hatari. sifa zote na utukufu wote ziende kwake.

Mwanamke anayekuzalia, na ku open her legs for you, unatakiwa kuwa na nidhamu kwake za wazi kabisa hasa unapokuwa mbele za watu you need to show that.

it is no joke Mr President you need to work on yourself and keep your head up Mr President; be conscious unapokuwa mbele za watu, please you are offending this woman for God sake man.

Yaani unaoa chocolate lady Halafu unasema unapenda white lady na anakutoa stress!

I am Dead
 
Utani. Kama ukuzoea utani, na mkeo na shauri yako. Nadhani utani alianza tangu mwazo wa mpenzi yao. Mama kamzoea mmewe kwa utani. Na nikweli wasukuma wanapenda sana wanawake weupe. Tangu zamani wasichana mweupe walitolewa Mahari kubwa sana kisa ni weupe
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom