Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

Unamsifia mkeo kwa ajili ya nani?

Hujui kitu kwenye mapenzi, au Hujawahi kupenda.

Kama hujawahi kupenda at the age of 20 to 30, hii itakuwa ngumu kuelewa. However sishangai sana Hii comment yako, as long as Wewe ni mTZ.

Nilishawahi ku date mwanamke wa Msumbiji , alikuwa haamini kuwa mimi ni MTZ, aliniambia watz wanaonekana wapole kwa sura but hawajui kupenda , they are so rough and not romantic , therefore wanawake wengi wa TZ wanapata shida sana kwenye mahusiano.

Yaani wanaume wapo Rude hata mkiwa kwa bed , they can’t make you feel kwamba you are loved.

Sasa alikuwa anashangaa snaa Character zangu so to speak.
 
Yule Mama Janeth Magufuli inaonekana anavumilia mengi kwa Mh. Rais sura yake inaongea kila kitu.
Labda hajui kuna maisha mazuri zaidi ya hayo mahali pengine, Ukiwa kwenye mahusiano cha muhimu ni amani, Kama hana amani anavumilia ujinga
 
Umemchana makavu live jamaa ana ushamba ushamba flani hivi, hata kama kuna wanawake unawakubali kuliko mkeo huwezi kuwasifia vile mbele ya mkeo kufanya hivyo ni sawa tu na kumtukana mke wako
 
Acha ujinga mkuu..
una uhakika huyo aliyemchoma moto mke wake hakuwa ROMANTIC kama mleta uzi anavyotaka?

Kama alikuwa Romantic kwanini alimchoma moto;

Gentleman sio kunukia mapafume ya Givernch, Blue Channel, Emporio Armani, Strong With You , Creedy etc etc .

Gentlemen inaanzia kwenye roho ? Unakuwa na huruma na mpenzi wako, hata kama Akiwa na makosa there is a way to talk to her , na Kama kosa halivumiliki, for God sake man Unamuomba mke wako muachane aendelee na maisha yake kwa sababu you are no longer comfortable with her kwa makosa aliyofanya.

Atabaki kujilaumu mwenyewe. This is Gentleman things.

Kuua ni teso kubwa sanaaaaa kwa binaadamu, na ni JINAI , yaani ni ukatili wa level za juu kabisa, sidhani kama kuna ukatili zaidi ya huo.

Mimi hata kuku siwezi kuua( kwa maana iliyohalalishwa KUCHINJA), i cannot and I feel sorry for that natamani kusingekuwa na haya mambo ya kuua wanyama for foods:

sasa leo unaenda kumchoma mtu moto Halafu unasema he was Gentleman

Please choose your words carefully, pleaaaaaase
 
Wako pamoja zaidi ya miaka 25 alafu anatokeza mtu kama wewe anasema awe romantic kwa mke wake, hivi huoni aibu?
Mwanamke ukimbeleleza sana shida
Bora uishi nao kwa style hiyoooo
Ajue mwanaume ndy incharge

Ova
 
Back
Top Bottom