Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

Rais wetu ni mtendaji na si muongeaji sana
Ni muongeaji, tena muongea hovyo. Sijui Ana mtazamo gani kwa wanawake, nilisoma alipomtimua jamaa Wilaya ya Ndugu Mwegelo kwa kutembea na wake za watu, kampachika mwanamke kwenye hicho cheo, anamwambia pamoja na mkuu wa Wilaya 'haya mkapiaganie (mkagombee) wanaume sasa'. Yaani kauli iliniacha hoi, haoni kwamba anadhalilisha watu.
 
Sometimes what is said is not the meaning others should know and if translated destroyed what meant.
What you have said are right, but not true for others to believe and if they do it is for their own minds.
Watu ambao ni critical thinkers they do ignore small issues and respect others opions positively without affecting what they believe.
Kila mtu anayostaili yake ya kuishi ilimradi haivurugi/kusumbua wengine.
 
Kuna umri ukifika kumrekebisha mtu ni ngumu sana, tuwajibike kuwalea watoto na vijana wetu inavyopaswa.
 
It is no joke kuwa Rais Magufuli anakosa Fundamental Character Ethics za kuwa Gentleman. Sina hakika hili lina uhusiano wowote na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character .

Lazima wanaume tuelezane ukweli, no one is perfect na honestly nampenda Rais Magufuli, Ila Niseme wazi kwamba katika wanawake wasiokuwa na furaha ya kuwa First Lady basi ni huyu Mama Jannet JPM. Wanawake wapo very sensitive na language, na small things really matter to them na ni watu walioumbwa emotionally.

Udhaifu Mkubwa wa Watanzania ni they are not ROMANTIC, they are so rough na hawajui kuwa gentleman, hawajui kujali. Karne ya 21 bado kuna watanzania still wanapiga wanawake, wanatukana, wanafokea. Aibu sana.

1. Wakati Rais Magufuli anafunga Bunge la 11, alimshukuru Mungu na kuwashukuru watu woteee na mkewe kumuweka mwisho, my wife and I were very surprised with that. President Magufuli might be a very good president to remember; but among the areas that he needs to work on , ni hili la kuwa Romantic kwa his woman.

Kama hushukuru wazazi wako, basi baada ya Mungu ni Mke wako tena unampamba na kumsifia.

Bila yeye Mimi sio Rais Magufuli, amenifanya kuwa Rais bora etc etc.

Hata kama kuna vimichepuko, that is your dark side, it doesn’t matter, we all have secrets so it is okay

2. Kuna kipindi Rais Magufuli alienda kumpokea Rais wa nchi Fulani, yule Rais alihakikisha mke wake yupo begani kwake tena he was holding her hand, and the woman held his; As for Rais Magufuli, mke wake alikuwa yupo yupo tu mara mbele mara nyuma , hayupo karibu na husband and the President is not giving a damn about her; nilisikitika kwa sababu I know what love is

3 Leo ndio nimekufa kabisa Mkutano wa Halmashauri Kuu;
anasema wazi mbele ya mke wake kuwa yeye akiwa na stress na akiona white lady ( Maji ya kunde kwa tafsiri sahihi) huwa hata stress zinaisha, what does that mean kwa mke wake ? Anamsifia Samia Suluhu ni mzuri na mweupe( Maji ya Kunde) na akimuona stress wakati mwingine zinapungua ,

Umemsifia Mama Samia hadi kaona aibu na kugeuza jicho lake lile huku anatafuna chewing Gum kwa mbaaaaaaaaali

Sijawahi ona hii kitu Kwenye mahusiano ya mapenzi. Ninavyomjua mke wangu, huo ugomvi usingeishaaaaa, na hata mimi naanzaje kutamka hayo maneno in front of my lady, over my dead body. My Black Queen.

Nilishawahi kuulizwa na mdada mmoja napenda mwanamke wa aina gani , nilitoa sifa za mwanamke wangu, awe black ,short with long natural hair , asivae upupu (wigi) . Hizi ni sifa za mwanamke wangu.

ninapokaa popote lazima awe pembeni yangu, ananifanya najiamini hatari. sifa zote na utukufu wote ziende kwake.

Mwanamke anayekuzalia, na ku open her legs for you, unatakiwa kuwa na nidhamu kwake za wazi kabisa hasa unapokuwa mbele za watu you need to show that.

it is no joke Mr President you need to work on yourself and keep your head up Mr President; be conscious unapokuwa mbele za watu, please you are offending this woman for God sake man.

Yaani unaoa chocolate lady Halafu unasema unapenda white lady na anakutoa stress!

I am Dead
Mzee ni mcheshi kuna muda inatokea tu maneno yamemtoka.ko hakuna namna.

Nadhan tutasema haya nikwasababu pia hatumjui .wanaomjua .wanamjua.
 
1000%
 
Kenge ww, nyie ndo mmepigwa malimbwata unaleta ujinga wako apa, kwanza hao taka taka kipindi cha yesu walikuwa hata awahesabiki acha upuuzi kenge ww

Limbwata ndio nini ? Hayo Maneno hata sijui maana yake.

Tell me, umeona nini kwenye hii picha, ?

IMG_2471.jpg
 
Sometimes what is said is not the meaning others should know and if translated destroyed what meant.
What you have said are right, but not true for others to believe and if they do it is for their own minds.
Watu ambao ni critical thinkers they do ignore small issues and respect others opions positively without affecting what they believe.
Kila mtu anayostaili yake ya kuishi ilimradi haivurugi/kusumbua wengine.

Sikutofautishi na watu wa dini. Vitu ambavyo haviingii akilini watavifanya viingie akilini no matter what.

Dunia nzima ilijaa maji; it does not make sense, I don’t know how did they know Tanzania pia ilikuwa imejaa Maji wakati huo; lakini wenzetu watakuambia kuwa for as long as huna roho Mtakatifu, you will never comprehend that.

It is all about justification for whatever we believe MUST BE RIGHT at any COST

HIVYO YOU ARE RIGHT!
 
Ndoa yako Ina umri gani? Nyie ndo mnapoteza mda kwenda kwenye na seminar ya ndoa na hayawasaidii!

Ina Miaka 8 . It is all about Commitment.

Nina maturity and I have seen the world. Sijawahi ku cheat wala sitokuja kujaribu over my dead body.

I have genuine love , and this love shall prevail forever on earth no matter what. It is the truth evidence support.

My wife is my best friend, popote nilipo lazima awepo, the world would understand; I don’t give a damn how life sucks me, for as long as I have my wife................ so far so good.

jifunzeni kuwapenda wake zenu waTZ acheni u Neutral; U Neutral ni Unafiki . Ukijiona Una cheat my friend..... something is missing, jitafakari maana hauwezi kuwa na good end ..........

https://jamii.app/JFUserGuide the world , nilikutana na case ya ajabu hapo TZ, jamaa anasema inamlazimu kuchepuka kwa sababu akiwa na mke wake ndani hawezi ku erect yaani hajisikii kabisa kushiriki sex na mke wake; Ila akitoka nje ni hatari ....
Sasa hilo ni tatizo, matokeo kama hayo huwezi kuonesha upendo kwa mwenzio uta act tu

Guys kama unaoa be sure you will stand and protect her at all times.
 
Kama ni hivyo, Watanzania wengi tu mbona wako hivyo. Na hilo ni jambo la class. Jambo la malezi, jambo la tamaduni.

Lakini, ningetegemea mtu ambaye amepata dhamana ya kuwa rais, awe na staha za kirais, mbona hata Nyerere alikuwa anachekesha watu kwa utani mwingi kwenye hotuba, lakini hotuba zake zilikuwa hazipotezi staha na utani wa kijinga?

Kunatakiwa kuwe na tofauti kati ya utani wa babu mjingamjinga tu ambaye hajasoma na rais wa nchi.

Magufuli utani wake umekaa ki babu jinga, haujakaa ki rais wa nchi.

Lakini labda ndiyo Watanzania wanafurahia hivyo, na wengine mpaka ukisema huu si utani mzuri wanakwambia ni utani tu.

This is what I have been singing Mkuu all along; lots of ways to make people laugh and smile. I wonder those people who were saying that the man was just Joking , how do they think

Your wife is your best friend , you will never try to make such a joke publicly while you know for sure woman are offended emotionally: this isn’t acceptable on all grounds.

Ninavyojua wanawake wanavopenda kuonekana kuwa wanapendwa na kujaliwa; I am Pretty sure IMEMUUMIZA.
 
Una tofauti sana na Magufuli na Watanzania wengi.

Magufuli na Watanzania wengi, hizo habari za "Your wife is your best friend" kwao ni uzungu.

Kibongobongo mke ni property tu.

Ndiyo maana Magufuli alivyokuwa anampongeza yule Mmasai aliyepiga Tanzanite, aliuliza kama jamaa ataongeza mke.

Kwa Magufuli mke ni property tu. Old habits die hard, hawa wazee wamejiweka Ukristo, Ukatoliki, lakini misingi ya kuona mke kama property tu bado ipo deep sana hawajaifuta mpaka sasa.

Na Watanzania wengi wako hivyo. Ndiyo maana unaweza kusema hili jambo si la kufanya utani, halafu wao wakakushangaa wewe, kwamba "wewe viipi, mbona jambo dogo hili unaona hatari?".
 
Ina Miaka 8 . It is all about Commitment.

Nina maturity and I have seen the world. Sijawahi ku cheat wala sitokuja kujaribu over my dead body.

I have genuine love , and this love shall prevail forever on earth no matter what. It is the truth evidence support.

My wife is my best friend, popote nilipo lazima awepo, the world would understand; I don’t give a damn how life sucks me, for as long as I have my wife................ so far so good.

jifunzeni kuwapenda wake zenu waTZ acheni u Neutral; U Neutral ni Unafiki . Ukijiona Una cheat my friend..... something is missing, jitafakari maana hauwezi kuwa na good end ..........

**** the world , nilikutana na case ya ajabu hapo TZ, jamaa anasema inamlazimu kuchepuka kwa sababu akiwa na mke wake ndani hawezi ku erect yaani hajisikii kabisa kushiriki sex na mke wake; Ila akitoka nje ni hatari ....
Sasa hilo ni tatizo, matokeo kama hayo huwezi kuonesha upendo kwa mwenzio uta act tu

Guys kama unaoa be sure you will stand and protect her at all times.

8 years bado! Take my avatar and user name, utakuja niambia Siku moja, Guys Stand by her always! Ngoja utakuja nambia!

We stood by them for 15 years and they didn’t live by the standard, mwanamke anataka kitu haumpi.....
 
but always I have positive thoughts!
 
It is no joke kuwa Rais Magufuli anakosa Fundamental Character Ethics za kuwa Gentleman. Sina hakika hili lina uhusiano wowote na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character .

Lazima wanaume tuelezane ukweli, no one is perfect na honestly nampenda Rais Magufuli, Ila Niseme wazi kwamba katika wanawake wasiokuwa na furaha ya kuwa First Lady basi ni huyu Mama Jannet JPM. Wanawake wapo very sensitive na language, na small things really matter to them na ni watu walioumbwa emotionally.

Udhaifu Mkubwa wa Watanzania ni they are not ROMANTIC, they are so rough na hawajui kuwa gentleman, hawajui kujali. Karne ya 21 bado kuna watanzania still wanapiga wanawake, wanatukana, wanafokea. Aibu sana.

1. Wakati Rais Magufuli anafunga Bunge la 11, alimshukuru Mungu na kuwashukuru watu woteee na mkewe kumuweka mwisho, my wife and I were very surprised with that. President Magufuli might be a very good president to remember; but among the areas that he needs to work on , ni hili la kuwa Romantic kwa his woman.

Kama hushukuru wazazi wako, basi baada ya Mungu ni Mke wako tena unampamba na kumsifia.

Bila yeye Mimi sio Rais Magufuli, amenifanya kuwa Rais bora etc etc.

Hata kama kuna vimichepuko, that is your dark side, it doesn’t matter, we all have secrets so it is okay

2. Kuna kipindi Rais Magufuli alienda kumpokea Rais wa nchi Fulani, yule Rais alihakikisha mke wake yupo begani kwake tena he was holding her hand, and the woman held his; As for Rais Magufuli, mke wake alikuwa yupo yupo tu mara mbele mara nyuma , hayupo karibu na husband and the President is not giving a damn about her; nilisikitika kwa sababu I know what love is

3 Leo ndio nimekufa kabisa Mkutano wa Halmashauri Kuu;
anasema wazi mbele ya mke wake kuwa yeye akiwa na stress na akiona white lady ( Maji ya kunde kwa tafsiri sahihi) huwa hata stress zinaisha, what does that mean kwa mke wake ? Anamsifia Samia Suluhu ni mzuri na mweupe( Maji ya Kunde) na akimuona stress wakati mwingine zinapungua ,

Umemsifia Mama Samia hadi kaona aibu na kugeuza jicho lake lile huku anatafuna chewing Gum kwa mbaaaaaaaaali

Sijawahi ona hii kitu Kwenye mahusiano ya mapenzi. Ninavyomjua mke wangu, huo ugomvi usingeishaaaaa, na hata mimi naanzaje kutamka hayo maneno in front of my lady, over my dead body. My Black Queen.

Nilishawahi kuulizwa na mdada mmoja napenda mwanamke wa aina gani , nilitoa sifa za mwanamke wangu, awe black ,short with long natural hair , asivae upupu (wigi) . Hizi ni sifa za mwanamke wangu.

ninapokaa popote lazima awe pembeni yangu, ananifanya najiamini hatari. sifa zote na utukufu wote ziende kwake.

Mwanamke anayekuzalia, na ku open her legs for you, unatakiwa kuwa na nidhamu kwake za wazi kabisa hasa unapokuwa mbele za watu you need to show that.

it is no joke Mr President you need to work on yourself and keep your head up Mr President; be conscious unapokuwa mbele za watu, please you are offending this woman for God sake man.

Yaani unaoa chocolate lady Halafu unasema unapenda white lady na anakutoa stress!

I am Dead
Kumbuka usemi wake wa kwanza alioteuliwa kugombea urais, alisema kwao usukumani mwanamke hakai barazani na wanaume, hivyo ndivyo ilivyo na ndivyo itaendelea kuwa.
 
Una tofauti sana na Magufuli na Watanzania wengi.

Magufuli na Watanzania wengi, hizo habari za "Your wife is your best friend" kwao ni uzungu.

Kibongobongo mke ni property tu.

Ndiyo maana Magufuli alivyokuwa anampongeza yule Mmasai aliyepiga Tanzanite, aliuliza kama jamaa ataongeza mke.

Kwa Magufuli mke ni property tu. Old habits die hard, hawa wazee wamejiweka Ukristo, Ukatoliki, lakini misingi ya kuona mke kama property tu bado ipo deep sana hawajaifuta mpaka sasa.

Na Watanzania wengi wako hivyo. Ndiyo maana unaweza kusema hili jambo si la kufanya utani, halafu wao wakakushangaa wewe, kwamba "wewe viipi, mbona jambo dogo hili unaona hatari?".

This is true man. On the other hand hizi dini nazo zimechangia sana mwanamke kuwa ni less. Yaani kwa sehemu kubwa mwanamke is less na baadhi ya wanawake wanaamini kuwa wao ni less.

Mfumo ambao JPM anaamini kwa kweli ni old version na sio Mfano bora kwa generation yetu.

Lazima ajifunze kwetu kumthamini mke wake mbele za watu nae ajisikie mtu. Mapenzi ni kama ushabiki wa mpira. Ushabiki haujifichi; tumeona Mbwembwe za wana simba, hakunaga kificho, kila mtu anajua you are happy ! Kumpenda mtu nako ni hivo hivo , kila mtu atajua kuwa the woman is loved.

Pia, wanawake wa Kiafrica kuna haja ya kujifunza na kutambua haki zao za msingi ikiwa ni pamoja na kujiamini. Kwa Mfano kwa maisha ya sasa unakuta mwanamke anafanya kazi na mwanaume anafanya kazi na wote wana contribute kwa ajili ya familia, Sasa inakuwaje mwanamke ushindwe kujua kuwa wewe ni mtu muhimu na kimsingi mwanaume ndio anapaswa kukubabaikia na kukuheshimu. If he does not respect you, then he is worthless, piga chini you are not slave.

Mfano kama Mimi; Mke. wangu analipwa Salary kubwa zaidi yangu, mbali na allowance anazopata ambazo nazo zina boost monthly income yake:

However Sina mpango na pesa zake hata kidogo lakini she Understands the essence of contribution na anahakikisha ana Play part yake kwenye familia bila ya kuambiwa wala kushurutishwa. She is very open to me na every move anayofanya ana hakikisha I am in ; I have to accept kwamba amenizidi kwa kipato, deep down I know that is the truth.

I respect her she respects me. Maisha ya Sasa hakuna mfumo dume, tunaona hata ofisini tunasaidiwa na wanawake to understand small things; Sasa inakuwaje humuheshimu mwanamke tena mke wako!

Hii mambo waafrica yatupasa kubadilika, Na wadada nao wabadilike wajiamini. Wanasema If you can’t believe in yourself, who will ? Tuache haya mambo kuwa dini zinasema mwanamke hapaswi kuwa juu ya mwanaume; ni uwendawazimu katika Level za juu; kwanini asiwe juu kama yupo juu na amekuzidi; Huwa nabaki what ......
 
Kama anaweza Sifia wanawake wengine hadharani bila kujali hisia za mke wake... Imagine anayo mwambia wakiwa wawili...ndo maana yule Mama hanaga Furaha... Kabisa... Kutabasamu kwa nadra Sana.
 
Utani. Kama ukuzoea utani, na mkeo na shauri yako. Nadhani utani alianza tangu mwazo wa mpenzi yao. Mama kamzoea mmewe kwa utani. Na nikweli wasukuma wanapenda sana wanawake weupe. Tangu zamani wasichana mweupe walitolewa Mahari kubwa sana kisa ni weupe
Kwanini alioa MWEUSI... Ili aje asifie ambao kashindwa kuwapata.
 
Back
Top Bottom