Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

Uko na ushaidi inaonekana
 
Mbona alipokuwa mgombea Uraisi wakati ule hamkumchagua kuwa Rais wa Tanzania?acheni unafiki.
 
Huyo ndio katibu mkuu wa ccm,
Yupo Jirani na dodoma akisubiriwa kuitws
Samahani naota tuu
 
sitashangaa. Siasa ya Tnz aliye adui wa adui yako ndo aweza kukusaidia japo ktk mazingira hatarishi upande wake na wako. Pls go ahead! How is Polepole doing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…