Rais Magufuli: TLS ni mali ya umma, isigeuzwe mali binafsi

Nadhani kinachomuuma bwana juma ni kushindwa ku control TLS. Kidheria TLS iko independent na haingiliw na muhimili wowote.
Sasa yeye anatoa kauli kama vile TLS ni chama cha siasa.. maanayake ni nn?
 
Yaani huyu Mh hapendi mtu yoyote aseme chochote kupinga mambo anayoyafanya. Kilichomkera ni Bi Karume kusema kuhusu bajeti ya mishahara ya majaji kupungua wakati idadi yao itaongezeka. Hiyo ndio nongwa, sasa anatafuta dawa ya hiyo TLS. Siku si nyingi mtaona "malaika" wake wakija na solutions
 
Huyu Jamaa anahitaji msaada wa kuangaliwa akili, kila akifungua domo lake anajiaibisha. TLS wanapewa fungu kutoka Serikalini? Huyu Babu hajitambui asaidiwe
kwanza hata kirefu cha TLS alikuwa hakijui,hadi kafinywa eti tanzania law society
 
Raisi Magufuli anajua mengi ya nchi hii kuliko wewe takataka, anaelewa anachokisema, hiyo tls wewe unaisikia tu lkn undani wake hauufahamu, kama unafikiri Serikali haihusiki ni kwa nini Mwanasheria Mkuu aliwapangia jinsi ya kuiendesha?
Unafikiri Serikali inaweza kuioangia IPP au azam jinsi ya kujiendesha na kuchagua Kiongozi wake?
Acha kudanganya watu bwana, TLS is a public entity but not a government institution. It receives no government subsidies nor does its president been appointed by the state president.

Hata Public Transport, haimaanishi kuwa ni ya serikali kwamba unaweza kupata huduma pasipo kulipia, public kwa maana ni huduma inayoihusu jamii yote bila kubagua.

TLS ni ya wanachama na wanasheria wake ni wanataaluma wote binafsi na walioajiriwa na serikali, in other words, ni sawa na bodi yoyote ya wanataaluma hivyo serikali haina "Leverage" yoyote kwao. Wao sio Tanroads, Tra au TBC.

I'm sure hata rais anaelewa vizuri hili ila tu ni mtu ambaye hupenda sana ku-politicize mambo kwa maslahi ya kisiasa kuliko uhalisia.
 
Akiwa Ikulu baada ya kuapisha majaji 10 na viongozi wengine, Rais Magufuli alimuuliza Jaji Mkuu "Tena kwa kama TlS iko chini yake naye akajibu " Ni association iko chini ya ofisi yangu, iko chini ya mwanasheria Mkuu; ni mali ya umma ile."

Rais Magufuli aliendelea kuzungumza na kusema TLS ni mali ya umma hivyo isiwe mali binafsi. Awataka AG na Jaji Mkuu wasiache mali ya umma ikakosa control.

Awataka majaji kuwashughulikia wale wote wanaowasemea mambo mbalimbali ikowemo mishahara kuwa midogo maana yeye anashindwa kujua endapo wametumwa au wamejituma wenyewe. Asema haiwezekani wasemewe na kila mtu.
Hivi huyu mzee huwaga hawasikilizi kwanza washauri wake kwanza kabla ya kuongea?nikweli TLS anajimilikisha eti ni mali ya umma?
 
Raisi Magufuli anajua mengi ya nchi hii kuliko wewe takataka, anaelewa anachokisema, hiyo tls wewe unaisikia tu lkn undani wake hauufahamu, kama unafikiri Serikali haihusiki ni kwa nini Mwanasheria Mkuu aliwapangia jinsi ya kuiendesha?
Unafikiri Serikali inaweza kuioangia IPP au azam jinsi ya kujiendesha na kuchagua Kiongozi wake?
Wewe bwege kabisa nilini TLS imefuata huo upuuzi wenu mnaojitia kuutoa?fuatilia kama kuna agizo lenu lililofuatwa ukitoka huko ndio akili itakurudia
 
Kwa sisi tunaompenda rais wetu,tunaopenda taasisi ya urais iendelee kuheshimika tumeomba sana wamuandalie hotuba kuliko hii hali.

Wakati mwingine mtu anaongea mpaka unaona aibu.
Ccm hoyeeeeeee
 
Raisi Magufuli anajua mengi ya nchi hii kuliko wewe takataka, anaelewa anachokisema, hiyo tls wewe unaisikia tu lkn undani wake hauufahamu, kama unafikiri Serikali haihusiki ni kwa nini Mwanasheria Mkuu aliwapangia jinsi ya kuiendesha?
Unafikiri Serikali inaweza kuioangia IPP au azam jinsi ya kujiendesha na kuchagua Kiongozi wake?
Takataka katika ubora wako!
 
Wewe bwege kabisa nilini TLS imefuata huo upuuzi wenu mnaojitia kuutoa?fuatilia kama kuna agizo lenu lililofuatwa ukitoka huko ndio akili itakurudia

Tundu Lisu alikatwa kugombea kwa shauri ya marekebisho yaliyofanywa na Serikali!
 
Back
Top Bottom