Wervemarcel
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,293
Ni Chama Cha Mawakili Sio Wanasheria Wote Ni TLS Member.Kweli kabisa! Tawi la wanasheria ambalo wanasheria wa serikali, mahakimu na majaji wote ni wanachama!
Ni Chama Cha Mawakili Sio Wanasheria Wote Ni TLS Member.Kweli kabisa! Tawi la wanasheria ambalo wanasheria wa serikali, mahakimu na majaji wote ni wanachama!
Hahahaha msg fupi lkn nimecheka sana mkuuAmeshindwa kupenyeza mamluki wake sasa anapiga miayo tu.
haahaa kila kitu anataka akicontrol yeye. hii ni hatariii
Mbona chenga nyingi?Soma post no. 63 kuna Mzalendo Kakutafunia ujue athari zake
Wabongo ujuaji kupita uwezo unawaponza! Unajua hata membership qualifications za TLS kweli wewe!Ni Chama Cha Mawakili Sio Wanasheria Wote Ni TLS Member.
Yajayo kama hayafurahishi basi yanatia hofuMagufuli anachanganya mambo ni mali ya umma toka lini? Kuna fungu wanapewa na serikali? Aache wanasheria wafanye yao mbona kuingilia kila jambo?
Uongozi si talanta uliyopewa na Bwana labda Ubwana na Utanwa ndio unakufaa maana kha hizi amri kila kukicha Tuonee huruma na wenzio mbona tumekuchoka mapema hivi kila siku wewe tu kila siku wewe tu WHY? WHYYYYYYYY?
TULIKUKOSEA WAPI MBONA KUTUTESA HIVI KILA SIKU. Unataka tuhame ubakie mwenyewe au ni aje maana hueleweki ujue!!!!
Siasando maisha ya kilansiku we nenda kafanye kz tuachie mitandaosiasa zinatupotezea muda kweli. Tungewekeza nguvu tunazotumia kwenye mitandao na siasa zisizo na tija kuboresha maisha yetu, naamini kabisa watanzania tungeongoza Afrika kwa kuwa mabilionea.
Tumelala na siasa wenzetu wanachukua vyetu kama sisi hatupo.
Kuna mtu humu kakushika usifanye kazi?siasa zinatupotezea muda kweli. Tungewekeza nguvu tunazotumia kwenye mitandao na siasa zisizo na tija kuboresha maisha yetu, naamini kabisa watanzania tungeongoza Afrika kwa kuwa mabilionea.
Tumelala na siasa wenzetu wanachukua vyetu kama sisi hatupo.
So what kama hataki ajiuzuluKasema ukweli...maana CHADEMA mmeigeuza TLS kama tawi lenu
Wewe Sio Mbongo?Wabongo ujuaji kupita uwezo unawaponza! Unajua hata membership qualifications za TLS kweli wewe!
Na ikiwa tawi la CHADEMA, itapoteza maana kabisa. Mfano ilipokuwa chini ya Tundu Lissu aliifanya TLS kuchukua nafasi ya Mzee Yusuph na kundi lake!Kasema ukweli...maana CHADEMA mmeigeuza TLS kama tawi lenu
Hii iko sawa walikuwa wanalipishwa sh 600.000kwa mwaka.Sasa hivi Mawakili wa Mahakama kuu wanakubaliwa kuendelea Na kazi zao Hata bila ya kulipia subscription fees kule TLS tofauti Na zamani
Kuandika kwenyewe hujuiTls inaongozwa na wauni wauni