SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,843
- 1,841
- Thread starter
- #41
Hapa ndo huwa napata wasiwasi na the so called wasomi was TanzaniaHapa tu ndio unajifunza humu JF watu hawaumizi vichwa ni kutia fitna na halafu anaungwa mkono na manyumbu wenzie kibao, inawezekana upo wizi lakini lazima ujenge hoja basi. unaweza google conditional cash transfer s (CCT) ystems ujifunze Zaidi ukweli.
Hivi uki google Tax, si utapata every explanation about tax, je is that a sufficient factor to affirm that Tanzania is the best tax collector??
Swala si maelezo, swala ni namna project inavyotekelezwa, imekuwa ikitumika na watu kupiga pesa, period.
Hamna MTU aliyeomba maelezo ya ziada kuhusu huo mradi hapa