Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Sijasema Mimi, Rais atajua amtengue yupi na atampa kazi gani.Unataka kusema Abdala B atenguliwe? Kila nikiangalia naona yeye tu ndio anafaa kutolewa mjengoni.
Wewe humtakii mema Bulembo maana ubunge wake unanyemelewa na wengi akiwemo yule kijana almaarufu wa jiji la Mzizima anayetajwatajwa kwenye new cabinet!Habari zenu familia ya JF. Mi sio mnafiki wala sina undugu na wala ukabila na Agrey Mwanry. Wote mtakubali hii ni nyota iliyozimwa na Mafuriko ya UKAWA. Sahivi ni RC Tabora na anafanya mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na mkoa wake kuvuka lengo ktk kutengeneza Madawati kwa shule za Msingi. Pia alipokuwa Naibu waziri TAMISEMI alikuwa akifanya kazi vizuri sana kuliko hata waziri Kasim Majaliwa aliyekuwa juu yake. Hivyo kwa heshima na taadhima namshauri Rais kama atapita humu, atengue uteuzi wa Mbunge mwanaume na kumpa Mwanry nafasi hiyo ili baada ya hapo ateuliwe Waziri wa Nishati na Madini. Nafasi ya RC Tabora apewe mtu mwingine na Mbunge aliyetenguliwa uteuzi wake apewe pia kazi nyingine. Agery Mwanry alikuwa Mbunge wa Siha- Kilimanjaro kabla ya kusombwa na mafuriko ya UKAWA mwaka 2015. Naomba ushauri wangu ufanyiwe kazi. Naomba kuwasilisha.
Teh Teh! Amemwachia yule Binti yke Awe anawakilisha Hoja Kwa niaba ya Mzee, namtaman yule Binti sema tu nashindwa kitu kimoja Eti aliniambia Nisile Nguruwe.Unataka kusema Abdala B atenguliwe? Kila nikiangalia naona yeye tu ndio anafaa kutolewa mjengoni.
Wewe ni nani haswa mpaka umuelekeze cha kufanya?Habari zenu familia ya JF. Mi sio mnafiki wala sina undugu na wala ukabila na Agrey Mwanry. Wote mtakubali hii ni nyota iliyozimwa na Mafuriko ya UKAWA. Sahivi ni RC Tabora na anafanya mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na mkoa wake kuvuka lengo ktk kutengeneza Madawati kwa shule za Msingi. Pia alipokuwa Naibu waziri TAMISEMI alikuwa akifanya kazi vizuri sana kuliko hata waziri Kasim Majaliwa aliyekuwa juu yake. Hivyo kwa heshima na taadhima namshauri Rais kama atapita humu, atengue uteuzi wa Mbunge mwanaume na kumpa Mwanry nafasi hiyo ili baada ya hapo ateuliwe Waziri wa Nishati na Madini. Nafasi ya RC Tabora apewe mtu mwingine na Mbunge aliyetenguliwa uteuzi wake apewe pia kazi nyingine. Agery Mwanry alikuwa Mbunge wa Siha- Kilimanjaro kabla ya kusombwa na mafuriko ya UKAWA mwaka 2015. Naomba ushauri wangu ufanyiwe kazi. Naomba kuwasilisha.
Hapa nimekuelewa, japo hekima kiasi yahitajika hapa kueleweka ulichosema.Inawezekana wazo zuri lakini mimi ni msomaji mzuri sana wa katiba! Sijaona sehemu inayompa mamlaka rais kutengua uteuzi wa mbunge ingawaje, wanasheria nao, katika mazingira kama haya hawakawii kusema "hakuna kipengele kinachomzuia kufanya hivyo!"
Lakini shida yote hiyo ya nini?! Si wanaweza tu kutumia kale kamchezo kao ka "eliminate the threat" kama ambavyo yule wa kule walivyotaka kum-eliminate juma moja lililopita lakini Mungu akagoma kutoa funguo kwa shetani!
Lakini katika hili, badala ya kuwa "eliminate the threat" inakuwa "eliminate the barrier!" Unachinja Kondoo asiye na kosa na kuwapa mizimu damu ili hatimae shughuli za jadi zifanyike! Lakini nadhani hili lingeweza kufanyika zaidi kama ushauri wako ingekuwa ni kwa kum-favor yule Zirail aliyeonekana karibu na Segera akielekea kule kwenye mlima mrefu zaidi Afrika!
Katika hili nasikia hawa jamaa ni wazuri kweli! Huo ushauri wako ni wa kibinadamu zaidi lakini utahojiwa uhalali wake kisheria! Chambilecho mimi muumiani mnywa damu, ya nini kuniletea matembele ili nikufanyie shughuli yako! Nawe si ni muumiani mwenzangu bhana! Tuchinje tu mbuzi, tunywe damu, tupongezane na hatimae karamu ipite! Simple!
Mmoja wa wananchi millioni 50 wanaongozwa na Rais Magufuli ambaye nimeamua kutumia Uhuru wa kuongea tuliopewa kumshauri.Wewe ni nani haswa mpaka umuelekeze cha kufanya?
Rejea kwa Dr Abdalah PosiWabunge wa kuteuliwa na Rais kisheria na kikanuni wanaweza kusitishiwa Ubunge wao na Rais kweli? Baada ya kuapishwa?
Alikuwa juu yake kipindi cha mwisho cha JKMwanry na Majaliwa wote walikuwa manaibu, sio kweli kuwa Majaliwa alikuwa juu yake.