Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

Very good article Pascal Mayalla, wenye akili watakuelewa ila wababishaji na wasio na uchungu na nchi yao watakasirika na kukuita majina ya kejeli. Sasa naelewa kwanini rais mstaafu Mkapa anawatukana watanzania kila kukicha. Yaani hii nchi imejawa na wananchi wapuuzi sana kwani hawapendi ukweli na wala kuhamasika.
 
MKUU Pascal Mayalla ENDELEA KUGONGELEA MSUMALI MPAKA IKIFIKA 2020 KITAELEWEKA TU.
MAANA DALILI ZA UTEUZI KWA UPANDE WETU NAONA KAMA ZINAPOTEZEWA TU. WE GONGA MISUMARI...
 
Umesahau tunajenga salenda briji kwa fedha zetu wenyewe,TUKO VIZURI.......Hawa mabeberu wasitutishe JPM awachane kabisa kwamba wakafie mbele.....#NEXT_SADAM/GADAF.
 
Hatukatai sgr na stigle,kimsingi siasa imemshinda wakati wa kikwete,mkapa hata nyelele ushoga ulikwepo,wanafunzi wazazi hawakuruhusiwa kuendelea na masomo,kwa nini yeye??amembeba bashite mgongoni seeeeeeh!!!siasa imemshinda,na we we acha kutete uongo huo sio uzalendo Hivi unafurahia kutekwa akina mo,issue ya tundulisi,mbowe yupo ndani na sasa mwalimu,kwa nini ccm hawafungwi ila chadema?kukatwa mafao ya watumishi,mishahara kiduchu,ajira hakuna,wakulima hali mbaya unafurahia tuu na kutuletea mada ya uongo??sema ukweli use huru
 
'Tumeamua mikutano ya siasa ifanyike wakati wa kampeni tu na chaguzi' wakina nani wameamua au watanzania wote?
 
Hii inaitwa Jaza Ujazwe...uzuri Jiwe akijazwa anajaa!
 
acha urongo wewe taja hata mkataba mmoja wa madini ambao kasaini ?
 
kwani, miaka yooote walitupatia misaada. kama nchi na sisi watanzania tulinufaika na nini? kawaida ya wazungu wakimwona kiongozi anadiri na wananchi wake huwa hawafurahi. wao wanajali masilahi ya nchi zao, RAIS MAGUFULI songa mbeli wananchi tuko nyuma yako
 
Nikikusoma kama nakuelewa unachoongea vile ila inabidi mtu avae miwani ya makengeza kupata message hasa uliyokusudia. Sina uhakika sana kama hiki nilichokielewa ndio wasomaji wote wamekielewa.
 
yaan tumekuwa tukifundishana san maswala ya kujitegemea individiual lakin leo linapo kuja swala la taifa kuitaji kujitegemea tumekuwa tukitoa sababu dhaifu na hafifu why? et sisi sijui ni maskin sijui nn mbona mtu akija na uzi wakumtegemea mtu au wazazi ingawa amekua huwa tunamponda san san tena na matusi juu so kumbe tumekuwa wanafiki nasema ivi huu ndio muda halisi wa sisi kujitegemea kwa kila kitu sheria yetu,burdget yetu na kila kitu
 
Democracy ya mzungu never work in africa ndo maana nchi zinazoamua kuwa na mifumo yake zinabreakthrough kinachoniuma ni ukuadi wa waafrika wenzetu . Miongo kadhaa tunafuata directives zao hakuna linalobadirika watuache kama ni disadvantages ni za kwetu
 

Most countries with worse human rights and very bad democracy than us are either in rich and powerful countries ( China, Russia, Saudi Arabia etc) or are under heavy sanctions (Venezuela, Zimabbwe etc).

We can not have our cake and eat it. If we have decided to ignore all western standards of human rights and democracy, its time to ignore their wallets as well. And when they decide to not want to deal with us all together (Sanctions), we shall be ready for the consequences that will follow. Which President Magufuli should understand very very cleary, that will lead to his removal from office, either "voluntariy" like how Nyerere did after his failed IMF showmanship, or through a coup, like how Mugabe was removed.

Either way history is not on the side of any poor nation that goes against EU and US.

JPM should mark those letters as the day his administration was forced out.

Unless of course he gives in and undo most of his rhetoric and actions. I do not see him do that.
 
Muandishi wa makala hii usimdaganye Rais wetu kuhusu tamko la AU.Nami namuomba Rais wetu kwamba tenda kwa akili kwa maana ya hekima na maarifa upate majibu sahihi.Huyu aliyeleta mada nina wasiwasi naye kwamba anataka ubebe ushauri wake ili matokeo yakitoka ushindwe!!,unawezaje kutolea mfano kwa nchi zilizoendelea zisizo na demokrasi?,Huyu jamaa anaweza kuwa anataka ukiingia kichwa kwenye maoni yake hesabu zake utakwama miradi yote uliyoanzisha mizuri kwa kutegemea wahisani na hapo ndio itakuwa furaha yake ili aweze kujinasibu kwenye kampeni ya kumpata rais baada ya miaka 5.Angalia sana na utende kwa akili sana.
 
Psycophancy at its best! Sovereignty does not translate to Isolationism. The Robbinson Crusoe reincarnate is bound to be still born! Sovereignty must be paired with constructive Engagement. Combative, balistic diplomacy in the absence of strong economic base is a non starter under our circumstances, if The Tomaso doctrine is anything to go by; let us take a leaf from the Robert Gabriel Mugabe memoirs! Beggers have no choice, the way forward is constructive engagement, kujifanya masikini jeuri tutaishia ilikofika Zimbabwe kwa kuchapisha noti za milioni 10;
Quo Vadis Tanzanie?!
 
Well stated; I can not agree more, EU and US have little to lose; so squeezing us for a decade or more is no big deal; the question is are we ready to go back to stone age for political grandstanding and chest thumping; is it worth it?! Quo Vadis Tanzanie!!!
 
Bwana Pascal Samahani lakini do u think your thread support government? Sikia kuna mambo ni mazito sana hata kuandika thread unabidi uwaze mara Mia ask me why?
Je trade balance yetu ipoje ktk Africa mashariki tu? Ukijuwa hili hata mkuu mwenyewe akisoma thread yako anatetemeka maana upo ukweli na ukweli ktk uchumi ni demand and supply kwa kila kitu unafanya.
As a nation we need trade balance ndipo tuwe na ubavu kuwavimbishia hawa jamaa. Bad thing we import more than export then we have poor BOT I mean balance of trade.
Naili uwe na powerfull purchasing power as nation fx reserve yako lazima iwe kubwa na iwe sio ya mashaka.
This guy place on our government time boom on our economy just FYI na ndio maana kama mimi ningeishahuri serikali kutumia genius kuteguwa hiki kitendawili maana hii miradi mkuu kaianzisha inakula pesa na hawa jamaa wakijuwa what next wamekuja na hii kitu watutegue.
Wametupulizia sumu ambayo ikachukua mwaka au miaka kuharibu uchumi wetu wewe subiri kama hali hii haitobadilika utaona budget ya 2019/2020 nadhani bunge litasimama let pray for president and nation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…