Rais Magufuli: Nitahamia Dodoma mwaka huu, 2018

Rais Magufuli: Nitahamia Dodoma mwaka huu, 2018

Kama mzee-baba aliropoka tu, hii ngoma inakwenda kumpasukia kichwani. Atanangwa na kuzodolewa sana. Amezoea kukurupuka?
Wenzie wametangulia Dodoma yeye bado anangojea nini Dar?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama mzee-baba aliropoka tu, hii ngoma inakwenda kumpasukia kichwani. Atanangwa na kuzodolewa sana. Amezoea kukurupuka?
Wenzie wametangulia Dodoma yeye bado anangojea nini Dar?
Anatala kuhama na bahari aende nayo Dodoma
 
Mheshimiwa rais, nakukumbusha tu kwamba una siku nne tu zimebaki utimize ahadi yako ya kuhamia Dodoma. Tafadhali , usimsahau kipenzi chako Bashite. Nakushauri pia ukihamia Dodoma uhamie kwelikweli, sio kila leo kiguu na njia kurudi Dar. Sisi wananchi unaopenda kutuita wanyonge hatupo tayari kubeba gharama hizo. Labda mtumie mishahara yenu mkitaka kueudi Dar kujivinjari. Ni hayo tu Mh na Mrukufu sana Rais.
Mtukufu kuhama Dar ni kama hataki tena lakini njia rahisi ya yy kuhama Dsm ni kuwambia Marekani na ulaya watume Nyambizi zije baharini chini kwa chini zimchungulie zipige picha kisha wamtumie kwenye Whatsapp yake akiona picha za kijasusi toka baharini kesho yake atahama haraka sana tena kwa speed ya ajabu kweli kinyume na hapo hawezi kuhamia Dodoma ataendelea kuvuta harufu ya samaki wa Feri.
 
Kama mzee-baba aliropoka tu, hii ngoma inakwenda kumpasukia kichwani. Atanangwa na kuzodolewa sana. Amezoea kukurupuka?
Wenzie wametangulia Dodoma yeye bado anangojea nini Dar?
Anangojea kuchunguliwa na nyambizi za Marekani toka baharini usiku
 
Zimebaki siku 4 tu kwa mtu muongo kudhihirika uongo wake mwingine
Ni hatari sana kwa Rais kutoa ahadi ya Uongo na endapo hatahamia Dodoma 2018 ajue ahadi yake itakuwa feki na huenda wananchi wakaanza kukariri Uongo toka kwake na kuwa kisingizio
 
Ah ah ah mshamkumbusha,itakua breaking news atahamia before 2019
 
Nyambizi toka ulaya, Marekani zipo njiani zinakuja kuweka kambi chini kwa chini ili kumpiga chabo tokea baharini asipokuwa makini Siri zake zote zitakuwa wazi ni mara mia ahamie Dodoma haraka iwezekanavyo
 
DAR itabaki kuwa dar, mtu ni bora apange chumba kimoja na mke na watoto watatu ila akae dar, bora nishindie mihogo na miguu ya kuku na maji ya kandoro ila nikae dar. KWELI DAR ITABAKI KILELENI(in piere voice).
 
Ah ah ah mshamkumbusha,itakua breaking news atahamia before 2019

Asipohamia ujue msemo mpya na msamiati mpya unakuja yaani neno Dodoma litatumika ka ahadi ya Uongo, mfano utasikia jamaa akisema yule jamaa ni muongo sana akiwa na maana jamaa ni mdodoma sana, neno Mdodoma litasimama kama Ahadi feki ahadi ya Uongo yaani Udodoma maana yake ni Uongo kuanzia leo endapo mtukufu malaika toka chato hataenda Dodoma kabla ya 2019
 
  • Thanks
Reactions: BAK
DAR itabaki kuwa dar, mtu ni bora apange chumba kimoja na mke na watoto watatu ila akae dar, bora nishindie mihogo na miguu ya kuku na maji ya kandoro ila nikae dar. KWELI DAR ITABAKI KILELENI(in piere voice).

Hameni Dar mbona wengine tulishahama huko? Acheni kung’ang’ania Dsm
 
Wacha udodoma mkuu. Yote haya ya nini?
Asipohamia ujue msemo mpya na msamiati mpya unakuja yaani neno Dodoma litatumika ka ahadi ya Uongo, mfano utasikia jamaa akisema yule jamaa ni muongo sana akiwa na maana jamaa ni mdodoma sana, neno Mdodoma litasimama kama Ahadi feki ahadi ya Uongo yaani Udodoma maana yake ni Uongo kuanzia leo endapo mtukufu malaika toka chato hataenda Dodoma kabla ya 2019
 
Amegoma sasa, kwani mtafanya nini?
Cha kumfanya hakuna zaidi ya kucopy Uongo wake na kuwa ni Uongo wa kitaifa na kimataifa na pia neno Uongo litaitwa Udodoma, yaani ukipiga watu fix wanasema jamaa ana Udodoma hatari agome tu na kusaidia kuleta misamiati mipya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni hatari sana kwa Rais kutoa ahadi ya Uongo na endapo hatahamia Dodoma 2018 ajue ahadi yake itakuwa feki na huenda wananchi wakaanza kukariri Uongo toka kwake na kuwa kisingizio
Huu utakua uongo wake wa 4. 1 Sukari kua 5,000 kwa kilo, 2. Milioni 50 kila kijiji, 3. Kujenga SGR kwa fedha za ndani, 4. Kuhamia Dodoma
 
Back
Top Bottom