Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,053
AiseeeYaani aende Dodoma then amwache bi'mdogo Bashite Dar?
Wewe ile tiGo ya Bashite siyo ya kuacha Dar hivi hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeYaani aende Dodoma then amwache bi'mdogo Bashite Dar?
Wewe ile tiGo ya Bashite siyo ya kuacha Dar hivi hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo yupo bado na anaweza asihamie kabsa mpaka wazungu watume Nyambizi usiku zije mpaka feri kumpiga chaboHaendi popote ng'o ni muongo kama waongo wengine,kwanza yeye ndie mpigadili wa kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hao wengine wameshatangulia, hapana shaka nae atafuata, huenda kuna baadhi ya mipango haijakamilika kama ilivyotarajiwa, dunia ni ya Mungu sio ya chama hii.
😂😂😂Yaani aende Dodoma then amwache bi'mdogo Bashite Dar?
Wewe ile tiGo ya Bashite siyo ya kuacha Dar hivi hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea kauli yake ya kwanza kabisa akisema yeye atahamia Dodoma mwanzoni mwa 2019. Hata hivyo unataka ahamie 2018 umepanga kuhamia Magogoni?Serikali ya CCM chini ya rais Pombe Magufuli ilitamba Sana na kupiga kelele kwamba kabla mwaka haujaisha rais atakua keshahamia makao makuu ya nchi mjini Dodoma kuungana na Makamu wake na waziri mkuu
Cha ajabu mwaka umebakiza dakika kadhaa uishe zile kelele na mbwembwe za rais kuhamia Dodoma kabla mwaka 2018 haujaisha sijui zimepotelea wapi
Wafia Chama na wajuvi wengine wa hii safari ya Dodoma mnijuze mmefikia wapi.
asante msemaji wa RaisiRejea kauli yake ya kwanza kabisa akisema yeye atahamia Dodoma mwanzoni mwa 2019. Hata hivyo unataka ahamie 2018 umepanga kuhamia Magogoni?
Ha ha ha..Mbona huko liliko kwa sasa si kama lililopita, litaminywa tuHahaha akihamia Dodoma nashauri Bunge lirudishwe Dar as Salaam. Maana hakutakuwa na mijadala yoyote, hasa wale wa ccm, watakuwa wanaitwa na kuambiwa wakae kimya.
Kwani yeye daktari.Huyo mzee dodoma ataenda haraka tuu.Hivi wewe mama yako mzazi yupo icu dar unamwacha uende Dodoma?kweli kuongoza hii nchi ni kujitoa muhanga kupambana na matakataka.Huyu ndiye raisi wa ahadi na utashangaa ataenda Dodoma na ndoto ya mwalimu nyerere itatimia.
Sent using Jamii Forums mobile app