ahame na jembe lakeSafari njema kwake mzee baba
Akifika huko mwambie afanye mabadiliko kidogo kwenye teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya.
Itapendeza sana.
nimeona wazo lako atalitendea kazi dab[emoji848] [emoji848] Nimewaza kitu ila naamini kitakuwa vile nilivyowaza.
Mkuu usitoe pongezi hadi umuone kahamia hapo Idodomya.Pili ipite miezi zaidi ya sita bila kukanyaga Dar.Hili zoezi la kuhamia Dodoma lilikua mtihani mkubwa sana. Pongezi kwa Mheshimiwa raisi kwa kufikia hatua hii.
Mkuu usitoe pongezi hadi umuone kahamia hapo Idodomya.Pili ipite miezi zaidi ya sita bila kukanyaga Dar.
Sisi ni mashuhuda wa kuhamia Dodoma miaka ya 73,74,75.Nyerere alimsukumia Waziri mkuu na makamu wa pili wa raisi Mzee Rashidi Kawawa akahamia,lakini Mzee mwenyewe Mwl.Nyerere licha ya kujengewa Ikulu huko Chamwino alichomoa dakika za majeruhi.Na kufanya dhana ya kuhamia Dodoma kituko.
Usishangae Dodoma ikageuka House warm up kwa muda mrefu,huku Dar ikibaki ni" Capital per se"
Wapande miti mingi sana,na kuboresha huduma ya maji kwa kiwango kikubwa katika eneo lote la Central Tanzania.Kwa Nguvu anaayotumia naamini Kabisa atakwenda. Alishasema angehamia 2020 lakini kama amerudisha siku za kuhamia nyuma ni dalili nzuri kwamba ataenda.
Ila tukubali tukate ni kazi kubwa sana imefanyika kwasababu tangu mwanzo hakuna aliyeamini hili.
Pia kuna kazi kubwa sana mbele yatu/yake kuifanya DODOMA iwe kama Dar ilivyosasa.
Inategemeana na wajihi wako sasa, kama fyampa nani wa kutazama?Nakuja sasa hivi
Thubutuuu. Hivi kuna mawazo yeyote ya sirikali hii yamewahi kuwa na matokeo chanya ? tusubiri tu ila nahisi hakuna cha maana kitakochookea. Il kwa Dar tutapumua sanaHivi anategemea US Embassy ihame Dar kwenye logistical support kubwa?
Nimeipenda hii. Keli kabisa ushamba ndo lilikuwa tatizo kubwa hapa na ulimbukeni wa bushiAfadhali hali huenda ikarudi km zamani afanye mpango amchukue na Bashite, Dar hatutaki ushamba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Halimhusu DABnimeona wazo lako atalitendea kazi dab
Sana yani. Sasa akiondoka na msukuma mwenzie Dar yetu itabakia salama kabisa. Uzwazwa utaishia kwa wagogoNaona Mzee Baba amekufurahisha sana kwa teuzi za pale Kisarawe na Manyoni.