Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Binafsi nimevua kofia kwenye utawala wake; risasi 38 mtu mmoja,kufanya elimu kuwa nadharia, kubomoa utaifa,kufanya ufisadi wa zaidi ya 1.5T kwa miaka mitatu tu n.k

Mungu tunaomba usikie maombi yetu.
Umesahau deni la taifa kukua kutoka Trillion 40, mpaka Trillion 60 kwa miezi 36 tu. Hapa hata mimi namvulia saruali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeandika uzi huu anaonenaka ni mtu mzima na anayejitambua..mzalendo wakweli..lakini wewe uliye comment hapa unaonekana bado ni mtoto, hujajitambua na huelewi unatoka wapi, uko wapi na unatakiwa kwenda wapi...uko katikati unayumbayumba unapelekeshwa na mafisadi tuu...huna la kutueleza bad kinda sana..hujielewi...subiri ukue ndio utaweza kujenga hoja yakinifu
Huo utoto umeupimaje?Hao mabeberu walipitia mpaka gani kumfikia?Acha kuongozwa kwa hisia za kipuuzi na kujipendekeza.Umekula jana usiku?Njaa inakusumbua.Akili za kimaskini.
 
MIMI KJIJI CHANGU BADO HAKIJAPOKEA ZILE MIL 50 za KILA KIJIJI KAMA ALIVYOAHIDI.

Badala yake wamekuja watu wanadai Wapewe Elfu 20. Wakati tulikuwa tunangojea zile mil 50 tukopeshwe kwa riba ndogo tukuze mitaji.
 
Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Kusifia Machinga wa Kariakoo ni ushenzi.Machinga wa Kariakoo wanaharibu biashara ya wenye Frem pia wanafanya nafasi ya kupita kariakoo inakuwa finyu,mji unakuwa mchafu

ni mtu mpuuzi kama wewe tu ndiye anayeweza kuamini kwamba RAISI wA NCHI KUTOSAFIRI NALO NI LA KUJIVUNIA
hawa mabeberu mnaowatukana kila siku ndio hawa hawa wakati mwingine wanakuwa wafadhili wa maendeleo? inakuwaje nchi huru kama Tanzania inapeleka mabalozi wake kwa mabeberu sasa?
 
Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Ndugu Augustino Chiwinga mwenye nba 0756810804, naomba nikuulize tu swali moja. Hivi ubingo wako uko kichwani au kwenye njia ya kutolea taka ngumu???

Eti umemvulia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kimwanaume kinaamka kutoka kwenye godoro lake la sufi ambalo limetota kwa mkojo wa mtoto wake kichanga halafu kinakuja kumsifia mwanaume mwingine.Very and very hopeless indeed!
Kimwanaume kama hichi ndotoni huwa nakiona kimenona sana makali .. o hahahaaa
 
Back
Top Bottom