Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Maendeleo ni ya watu, si ya vitu!
 
Ukiwa na "verified Id" lazima uwe na maandiko ya aina hii. Lakini kwa kutumia ile "Id fake" nadhani Roho yako inakusuta kwa kuandika kile usichokiamini.
Aliyeandika uzi huu anaonenaka ni mtu mzima na anayejitambua..mzalendo wakweli..lakini wewe uliye comment hapa unaonekana bado ni mtoto, hujajitambua na huelewi unatoka wapi, uko wapi na unatakiwa kwenda wapi...uko katikati unayumbayumba unapelekeshwa na mafisadi tuu...huna la kutueleza bad kinda sana..hujielewi...subiri ukue ndio utaweza kujenga hoja yakinifu
 
Ma elfu ya Graduate hawana ajira unakuja kuleta cheap politics

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mama hujui uchumi wa dunia ukoje..nenda kwanza darasani basi..kabla hujaja kutoa ushuzi hapa...nilisema mambo mengine mkiwa mna comment ulizeni kwanza..tuambie unemployment rate kwa nchi zilizopiga kasi kiuchumi lete hapa..anza South Africa, Nigeria, egypt, UK, German, USA, India na Brazil, halafu linganisha na Tanzania kwa sasa...fanya haraka tunasubiri......na nikuulize..hivi watu wote wanatakiwa waajiriwe... na tuambie nchi gani ambayo imeweza kuajiri watu wake wote ambao wamehitimu chuo kikuu. Kwa hili nadhani wewe ndie unaleta cheap politics..jitambue kuanziq sasa
 
Kweli ajira ngumu. Namba za simu kwa ajili ya nini?? Kumbe bado ulikuwa hujateuliwa. 
Hakika this time hukosi na ukikosa watakuwa wamekosea. Ila mnamjulia jiwe kinoma
 
Binafsi nimevua kofia kwenye utawala wake; risasi 38 mtu mmoja,kufanya elimu kuwa nadharia, kubomoa utaifa,kufanya ufisadi wa zaidi ya 1.5T kwa miaka mitatu tu n.k

Mungu tunaomba usikie maombi yetu.
Hivi unajua risasi wewe...unajua inakufumuaje ikikuingia...mwilini..acha mchezo..wewe kijana umekua ndio unaota vindevu eti unajifanya unajua kila kitu..uliza wakubwa zako wakueleze..elimu gani imekuwa nadharia..fafanua..ufisadi huo hatujauona tunaoujua ni ule wa Chadema ambao uliibuliwa na CAG..wa mabilioni ya fedha za ruzuku ambazo hazijulikani zmeenda wapi...na ndio maana vyama vya upinzani vinapinga mabadiliko ya sheria ya vyama kuhusu ufuatiliaji wa matumizi ya fedha..zamapato..
 
Ukikaa Dar es salaam huwezi kukosa kusifia ila ukirudi kijiji kwenu unaweza kujutia andiko lako
 
Hivi keshateuliwa huyu?

Sent using my Nokia Torch
 
Binafsi nimevua kofia kwenye utawala wake; risasi 38 mtu mmoja,kufanya elimu kuwa nadharia, kubomoa utaifa,kufanya ufisadi wa zaidi ya 1.5T kwa miaka mitatu tu n.k

Mungu tunaomba usikie maombi yetu.
Kweli mkuu, lakini nafikiria huyu anatafuta kazi ya mkuu wa mkoa
 
Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Endelea kujikomba huna lolote
 
Eti kimwanaume kinaamka kutoka kwenye godoro lake la sufi ambalo limetota kwa mkojo wa mtoto wake kichanga halafu kinakuja kumsifia mwanaume mwingine.Very and very hopeless indeed!
 
Back
Top Bottom