Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Rais Magufuli nimekuvulia kofia

Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Inabidi umvulie boxer kabisa.maana umemwachia na namba ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape akiharibu inafaa aachwe tu? Yeye ni muhimu kuliko watanzania zaidi ya million 55? Muwe mnafikiri sio kufata ushabiki wa hovyo. Hata mimi ninastahili kuwajibishwa kulinda watanzania walio wengi.
Ndio maana kila siku lissu anakuwa msindi mwenye wajinga kama nyinyi,wewe tumiwa kama condom kuna siku akili ikiwa sawa utakuwa kama nape na january kwa wakati huu?

Je wewe akili ili zinaweza kukukaa sawa hata dakika moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
1550839606396.png
 
Hata mimi nimemvulia kofia kwa mambo kadhaa kama kuipiga ile 1.5Tril bila chembe ya aibu na kummiminia risasi zote zile Lissu.
 
Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.
Do you really believe this shit? Kwamba kukacha some very strategic meetings ambazo hazingechukua hata siku 3 ni dalili ya "uzalendo"? Hivi anapohepa mikutano ile na kukimbilia Chato kumsalimia mama yake, zile shida za wajomba, mashangazi zako huko kijijini huwa zinakuwa zimetatuliwa?
 
unaongea unaongelewa huyu aliyeharibu nchi kila sekta ,uchumi ,ajira ,demokrasia ,haki za binadamu ,utawala bora ,kuwapa watanzania umaskini wa kutupa ,mtaani pesa Hakuna we mataga Vipi .
 
Umejitahidi sana kujitangaza na kuweka namba za simu. Tatizo lako ni uraia tu.

Akuonee huruma basi akupeleke hata kule kijijini kwake ukawasaidie hata kutengeneza shamba lake liwe safi. Maana umezidi na mabandiko yako.
 
Rais Magufuli is the real deal Mungu alitupa tunamuombea kila siku alifikishe Taifa hili kwenye nchi ya ahadi yenye maziwa na asali.

Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie.

Na wote tuseme Amen.
 
Na

Augustino Chiwinga

0756810804.

Naandika haya nikiwa ni mwingi wa furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa letu likipata maendeleo siku baada ya siku.

Rais Magufuli umekua ni mkombozi wa wanyonge walionyanyasika kwa muda mrefu haswa wachuuzi wadogo wadogo, tazama sasa umewaletea vitambulisho vitakavyowasfanya wasisumbuliwe tena na mgambo au watoza ushuru waliokosa utu.

Rais Magufuli kila napopita eneo la GEREZANI Kariakoo damu yangu ya kizalendo huwa inachemka kwa kasi pale napolion Daraja lililobeba reli ya kisasa ya Standard Gauge hakika huwa najisemea mwenyewe moyoni Tanzania imezaliwa upya.

Unazo sifa zote za uongozi bora kila mtu nchi nzima ana imani wewe, umekua ni kimbilio na msaada mkubwa kwa wananchi.Tangu ulipotangaza vijiji vilivyo ndani ya maeneo ya hifadhi visiondolewe ujue kwamba umegusa maisha ya jamii nyingi za kifugaji na wakulima zilizokua zinaishi kwa hofu ya kuondolewa katika maeneo hayo muda wowote. Shukrani zao kwao ni Baraka tosha kwako na ndio maana unalolifanya linafanikiwa.

Siku na nyakati za mateso kwa Watanzania zimeisha msaada kwa Wanachi unataka kwako wewe Rais wetu uliyeamua kuvaa mabomu na kujitoa muhanga mbele ya mabebebru na majahili majizi ili Raia wako wapone.Hakuna hakuna cha kukurudishia zaidi ya kukujazia kura nyingi pale mwaka 2020.

Ni mwaka wa tatu huu haujaenda nchi za nje, kwa sababu unataka utumie muda mrefu kushughulika na shida za Wananchi wa hapa nyumbani ambao ndio waliokuchagua.Huu ni uzalendo wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini kwetu.

Usiogope wala kutetereka na maneno ya vibaraka waliokubali kununulika na kutumika na mabeberu kwa vipande vya fedha. Hakuna nchi ya kibeberu itakayokubali kuona Tanzania inakua nchi yenye uchumi wenye nguvu ndio maana wanawatumia vibaraka kama kina Tundu Lissu na Zitto Kabwe kuwapotosha wananchi ili kukupunguza kasi. Kwa msaada wa MUNGU umekua unashinda kila vita wanayokupiga watashindana lakini hawatashinda.

Chapa kazi onesha njia vijana hodari na wazalendo tupo pamoja na wewe katika kukuunga mkono kujenga nchi yetu nzuri Tanzania. Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Hakika ungekua unafanya vibaya wasingekua wanakusema kwama wanavyofanya sasa hivi lakini kwa vile unafanya vizuri wanakusema ili wakutoe kweny right track yako.

Mambo mazuri unayofanya ni ushahidi mzuri kwa vizazi vya sasa mpaka vijavyo unaacha alama itakayoishi milele.

Songa mbele Rais Magufuli!
Njaa tu imekutia upofu, kila rangi unaona nyeupe..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom