kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
No kawaida wadada huwa na hisia Kali,at a akichumbiwa na jambazi Julia kwa furaha.Huu uzi umenifanya nibubujikwe na machozi ya furaha.
JPM ni nomaaaaaa
Kiufupi ningesifu iwapo angefanya yafuatayo.
- kuboresha kilimo has a cha umwagiliaji na ufugaji was kisasa.
- kuchochea uwekezaji na viwanda hasa vyakuchakata tunacholima/kufuga/kuvua.
- angeboresha elimu hasa ile ya ufundi na sayansi.
- angeijenga amani na maelewano bila kujali tofauti za itikadi nk.
- angekuza ajira kwa vijana wasomi na wasokuwa wasomi ktk migodi,kilimo,viwanda nk.
- angeifungua Tanzania na namna inavyoweza kufaidi masoko duniani kwa kushiriki kikamilifu mijadala ya kimataifa.
- angewajali watumishi wa serikali na kuwahakikishia stahiki zao kwa wakati.
-angepambania usafiri wa treni zaidi kuliko midege yenye mahasara na nishati yenye tija kupatikana haraka zaidi.
- angejenga taifa la watu wenye matumaini na hari ya kujenga nchi badala ya taiga la watu waoga,wasio na matumaini na kazi zao kila waiwazapo kesho. Etc.
Hivi sasa vitu vinafanyika not technical bali ili kwenye kampeni tuwe na meeengi yakutaja hatakama hayajaleta tija yoyote kwa taifa. Tujitafakari