Rais Magufuli: Nilipokuwa waziri niliwahi kuteua mtu wa darasa la 7 kuwa meneja wa mkoa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Rais Magufuli amesema alipokuwa waziri wa ujenzi aliwahi kuteua mtu wa darasa la saba kuwa meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera.

Dr Magufuli amesema alifanya hivyo baada ya kuona performance ya lasaba huyo ilikuwa ni nzuri kupita wale graduates aliokuwa nao.
Rais Magufuli amewasisitiza mainjinia na wasomi wengine kuwaheshimu watu wenye vipaji na ubunifu ili kwa pamoja tuweze kuyasongesha mbele maendeleo ya taifa letu.

Source Channel ten tv!
 
Nimependa sana ile wale watendaji wa serikali walivyokuwa wanajikanyaga!

Hapa ndo huwa namkubali jpm mambo mengine hayahitaji yatumie mda mrefu kiasi hicho kisa hatuthamini vya kwetu!

Yule mzee na zile pump zake za maji si angesaidia vijiji vingi sana kupata maji!

Kwa hili big up jpm!!
 
Sa mbona la saba kibao wamepigwa chini kisa fom Foo!
Rais Magufuli amesema alipokuwa waziri wa ujenzi aliwahi kuteua mtu wa darasa la saba kuwa meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera.

Dr Magufuli amesema alifanya hivyo baada ya kuona performance ya lasaba huyo ilikuwa ni nzuri kupita wale graduates aliokuwa nao.
Rais Magufuli amewasisitiza mainjinia na wasomi wengine kuwaheshimu watu wenye vipaji na ubunifu ili kwa pamoja tuweze kuyasongesha mbele maendeleo ya taifa letu.

Source Channel ten tv!
 
Rais Magufuli amesema alipokuwa waziri wa ujenzi aliwahi kuteua mtu wa darasa la saba kuwa meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera.

Dr Magufuli amesema alifanya hivyo baada ya kuona performance ya lasaba huyo ilikuwa ni nzuri kupita wale graduates aliokuwa nao.
Rais Magufuli amewasisitiza mainjinia na wasomi wengine kuwaheshimu watu wenye vipaji na ubunifu ili kwa pamoja tuweze kuyasongesha mbele maendeleo ya taifa letu.

Source Channel ten tv!
Ameamua kuwawashia taa ya njano wasomi ambao alikua ana waamini. Inaonekana anafikiria kupiga u-uturn
 
Back
Top Bottom