Rais Magufuli: Nilipokuwa waziri niliwahi kuteua mtu wa darasa la 7 kuwa meneja wa mkoa

We get education in the class, we get knowledge in the field.
Wasomi wetu hawatofautishi education na knowledge. Wanapopata eduction wanaridhika na kuwadharau wale wenye knowledge bila education ya juu.
Hawa wenye knowledge bila elimu ya juu wanatakiwa kuwafundisha hawa wenye education tu na wenye education wanatakiwa kuwafundisha hawa wenye knowledge bila education ya juu.
Hawa wawili wakidharauliana je ngo au daraja halitajengeka.
Mtu mwenye knowledge bila education anaweza kujenga nyumba lakini mtu mwenye education peke yake hawezi kuisimamisha nyumba.
 
Back
Top Bottom