Rais Magufuli ni mchochezi

Siasa zimekwisha. Tujielekeze kwenye utendaji kama mhusika anafanya kazi au la. Ambaye haoni umuhimu wa uwepo wa Wakuu wa Mikoa au Wilaya hajafanya kazi katika sekta ya umma. Ni muhimu kujiongeza kwa kusoma sheria zinazowapa Mamlaka ya kiutendaji. Aidha, kama wasingekuwepo majukumu yao yangetekelezwa na nani
 
duh Kuna watu hamnazo kabisa, Dr Lwaitama hajapewa udr WA heshima. Watu wamesoma acha udandara arifu
😡
 
Soma kilichopo ndani nafikiri unataluma kama mimi
 
jaman mwenye picha ya hyo dr aitume, maana m nmemsahau, huenda maneno mengine nikayaacha baada ya kumuona.. plz tupia picha hapa
 
Sheria zinatungwa na Bunge kwa hiyo hata Bunge linaweza kutengua pia
 
Soma kilichopo ndani nafikiri unataluma kama mimi
Heading ya habari yako inaweza kuchafua hata maana nzima ya ujumbe uliotarajia kuupeleka kwa jamii. Kichwa cha habari kipo too harsh, ndio kitu ninachotaka kukueleza. Neno uchochezi ni kali sana, ungejaribu kutafuta njia ya kupunguza makali hata kama ujumbe ukibakia ulivyo.
 
Mpaka siku mmoja akimtwanga na yeye makofi ndo atajua kunguru hafugiki
 
Wacha meya na mkuu wa mkoa washindane kupiga kazi,mwenyenguvu na adumu! by the way ajira ni muhimu so serikali isifute izo nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa Ila wazifanye ziwe za kuwatumikia wananchi bila uchama mwiingi ndani yake.
Mbona nikama watu washamgwaya Makonda? Kilamtu asimamie malengo yake kikamilifu bila kuwazana.Yote kwa yote kuiongoza dar kunahitaji hekima,uzoefu,kujiamini na jitihada nyingi hivyo meya na mkuu wa mkoa wakae sawa
 
Critical thinker katika ubora wake.
Lakini pia Mh.Rais he may be also among the critical thinkers
we have.What we need is time and space other dimensions may be
questionable.
Issues za umeya na ukuu wa mkoa should be remain constant
provided that 5years in office is nearby.(a mix of time and events sometime may useless,let time pass and event follow).
 
Hiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
wewe kula futari ulale mmeharibu nchi kwa miaka 10
 
Sikutegemea wewe mwandishi mwenzangu kuja na hoja nyepesi namna hiyo anyway ndio muonekano wako lakini
 
Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
Ni kweli lakini ninachoona mimi kuna wakati anakuwa na uswahili ambao kwa hali ya kawaida watu wa bara huwa hawana kauli za vijembe. Kutoongea kwake kiingereza kizuri naweza kuvumilia, vijembe kwa Rais havifai. Tunaomba abadilike.

Kuhusu Makonda mimi binafsi sioni ubaya, na hata kabla rais hajatamka nilihisi aliteuliwa ili counter act nguvu za Ukawa Dar. Meck Sadik angepandwa kichwani. Ninachotaka kuona pande mbili zikifanya kazi pamoja.
 
magufuli ni mnafiki mkubwa. kama kweli amelenga kubana matumizi ya serikali kwanini aendelee kuwa na wakuu wa mikoa, wilaya na tarafa wanaotumia matrilioni ya fedha za umma bila sababu za msingi?
Kuwa na adabu kwa mheshimiwa rais .huko kwenu huna wazazi
 
Mimi ambaye namfahamu Dr Lwaitama nashangaa sana hata kidogo huyu mwalimu kusema

Ukiona mwanafalsafa anatoa conclusion kutoka katika false premise ujue huyo kaishiwa eti “Kuteuliwa kwa Makonda inatafsiri mpambano utakaokuwepo baina ya Meya mpya na yeye (Makonda) kwa kuwa, wanaoteuliwa na rais siku zote huwa wanajiona kuwa juu,” Kama kweli Dr Lwaitama kafikia hatua hii basi ni wazi anahitaji msaada wa haraka, tena msaada wa kwanza ni wa kujengewa nyumba kule kijijini kwao Bugabo akapumzike kwani uwezo wa kufikiri tena hana na sehemu ya kumalizia maisha yake hajaiandaa. Kwa mawazo haya anafaa akaanze uganga
 
“Hata Makonda nimemuacha Dar es Salaam ili wabaya wake wamuone akipanda cheo, wenye chuki wajinyonge zaidi,” amenukuliwa Rais Magufuli wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi namba mbili.

hivi kumbe na wasukuma nao wana mipasho kama ya msoga.
 
Tanzania kwa hapa ilipofikia inahitaji wasomi kama DR. Lwaitama. Ni msomi pekee TZ kwa sasa anaejitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…