Rais Magufuli ndani ya Treni ya Tazara

Rais Magufuli ndani ya Treni ya Tazara

Utendaji wa serikali unapimwa kwa ukuaji wa uchumi na utengenezwaji wa ajira.....hayo mambo mengine ni wajibu wa serikali (hizoni kodi zetu)
[/QUOTE
Ni kweli kabisa hizo ni kodi zetu lakini ukumbuke nchi hii haijaanza kukusanya kodi awamu hii tu... Pia hata mwenye wajibu hupongezwa.. Na kupongeza ni hatua nzuri ya kushukuru na kutiana moyo ili mtu apate nguvu ya kutenda mengine makubwa zaidi.. Ikiwa hatuwezi kupongezana hata kwa madogo basi pia hata yakifanyika makubwa vipi hatutaweza kuyaona wala kuyathamini..
 
Back
Top Bottom