Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 710
- 1,365
Safi sana Rais wetu. Yaani i cant wait umeme wa Rufiji. JPM oyeeee .Kama nawaona wanavyonuna..........Na bado yaani. Mtaipandika. Hapa maendeleo kwa kwenda mbele.
Safi sana Rais wetu. Yaani i cant wait umeme wa Rufiji. JPM oyeeee .Kama nawaona wanavyonuna..........Na bado yaani. Mtaipandika. Hapa maendeleo kwa kwenda mbele.
Serikali ilitoa 15 billion kununua vichwa vya bubea mizigo,Juzi Mh Rais Magufuli katoa maagizo Wizara ya Fedha kufuatlia na pia wanataka kibadalisha sheria ili kila Nchi mshirika achangie ipasavyoHii reli Waafrika tulishindwavkuiendesha mpaka Wachina wamerudi wanaiendesha wenyewe.
Yap,zinatumika ipasavyo,sio kipindi kile zinaishia kuwakopesha kina January.Utendaji wa serikali unapimwa kwa ukuaji wa uchumi na utengenezwaji wa ajira.....hayo mambo mengine ni wajibu wa serikali (hizoni kodi zetu)
Safi sana Rais wetu. Yaani i cant wait umeme wa Rufiji. JPM oyeeee .Kama nawaona wanavyonuna..........Na bado yaani. Mtaipandika. Hapa maendeleo kwa kwenda mbele.
Huyu Kiongozi wa kuigwa Barani AfricaBoss Alex Fredrick Mh. Rais ni Mzalendo.
Zilondwa mbali zitendwa mbaliMama Kilango Malecela alitumbuliwa kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa wkt Ole Sabaya amekula rushwa na kulazimisha kupewa hela kibabe na hakuna kitu atafanywa.
Kweli haya ni maendeleo.
Hii reli Waafrika tulishindwavkuiendesha mpaka Wachina wamerudi wanaiendesha wenyewe.
Unakubali ila Uchadema unakusumbua.hahaha stone tangawizi bana
ila uzuri wake huwa kuna muda ana maono mazuri [baadhi sana]
Ukimzoea sana mbwa atakufuata mpk msikitini.Zilondwa mbali zitendwa mbali
Makamanda watakuambia unatafuta uteuzi wa wilaya iliyo wazi; walivyo na akili fyongo.Huyu Kiongozi wa kuigwa Barani Africa