Rais Magufuli na msafara wa magari 4

Rais Magufuli na msafara wa magari 4

Kama hay a anayafanya Kwa dhati kutoka moyoni mwake,basi haihitaji ulinzi kwani anao tayari kutoka Kwa Mola mwenyewe
Hili sio jambo la kushangilia wala kuendekeza!
Mwambieni yupo vitani kuikomboa Nchi dhidi ya mafisadi!
Ulinzi kwake ni mhimu kuliko maono aliyonayo juu ya Tanzania yake.
 
mi natamani asiwe anatuzengua ntamshukurusqqqqna ikibidi katiba ibadilishwe aongoze miaka mia kama ile mikataba ya.gas
 
Amina! Usiogope Mkuu Nakuhakikishia HAKUNA MTU YOYOTE MWENYE JEURI YA KUMDHURU au KUMTOA ROHO YA UHAI Rais Wetu MKOMBOZI Na KIPENZI Chetu Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Iwe Ndani Ya Tanzania au Nje Ya Tanzania KWANI ANALINDWA SANA NA DUA ZETU SISI WANYONGE AMBAZO KWAKE NDIYO KINGA KUU. Sijawahi KUMPENDA MTU HALAFU AKADHURIKA KWA CHOCHOTE au LOLOTE. Mapenzi Yangu Ya KUTUKUKA Kwa Rais Wangu Dr. MAGUFULI Na Jinsi Ninavyomweka Ktk MAOMBI Yangu Kila Uchao Ni KINGA YAKE TOSHA. Mwenyezi Mungu AMETUSHUSHIA Rasmi MRITHI Wa Nyerere Na Sokoine Hivyo Kwa Pamoja TUSHIKAMANE Na TUMUOMBEE KISAWASAWA!

Mungu amekushushia kekima.. Nitamlinda hata kama nitaupoteza uhai wangu kabla yake.. Naamini nitakufa ktk Tabasamu
 
Nchi yetu ni ya AMANI, maadui wake watakuwa mafisadi ambao ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya raia wema watakaomlinda! Msafara mkubwa ni matumizi mabaya ya pesa za uma!
Hakuna ulinzi imara kama wa raia wema wa tabaka la chini!
 
Ulinzi wake ni juu yetu sisi wananchi wake kuliko hayo magari mengi yatakayomzunguka. Inawezekana wengi wao wakamlinda kinafiki ila sisi tutamlinda kwa dhamira thabiti.. wanachotakiwa kujua maadui wake ni kwamba ALIPO TUPO WANANCHI wake. Tutamlinda kwa nguvu zote, hiki ni kiapo na hakivunjwi.. songa mbele Mr. Presodent.

Acha porojo mkuu!
Ikitokea ukawa naye Rais msafara mmoja kwenye mataa ya ubungo na "akadunguliwa" kutokana na uzembe wa kiulinzi, wewe utasaidia nini pengine hapo kama sio kujificha kwenye stelingi ya hicho kijipasso chako!!??
Rais asidharau ulinzi coz waliozoea kuitafuna Nchi hawafurahishwi na harakati zake!
 
Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!

Mungu amekusikia
 
Naanza kuelewa kwanini kila hotuba yake anasisitiza "...naomba mniombee na Mungu anisaidie"

Mdau hii nchi ilikuwa ya kishirikina sana inabidi tufunge na kuomba kuvunja vunja maagano yote ya kishetani.
 
Mh. Magufuli. Hii vita dhidi ya wakwepa kodi wakubwa na wauza unga, inabidi ulinzi uwe mara dufu kuliko ule wa Kikwete.

Please tunahitaji uwepo wako kwa miaka mitano hadi uchaguzi ujao. Maombi yatakuwepo lakini kila tahadhali ichukuliwe.

Inawezekana Mkwere alikuwa na uminzi mkubwa usio na toja. Ulinzi wa Magufuli unaweza kuwa mdogo na wa tija. Lolote linaloweza kumkuta hata kiwete atashiriki kuokoa maisha yake.. TUMUOMBEE ILI TUIRUDISHE TZ YETU.
 
eeh mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu rais magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee bwana wa mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!

amen !
 
Acha porojo mkuu!
Ikitokea ukawa naye Rais msafara mmoja kwenye mataa ya ubungo na "akadunguliwa" kutokana na uzembe wa kiulinzi, wewe utasaidia nini pengine hapo kama sio kujificha kwenye stelingi ya hicho kijipasso chako!!??
Rais asidharau ulinzi coz waliozoea kuitafuna Nchi hawafurahishwi na harakati zake!
Inawezekana unayo "Point" mkuu.
 
Naanza kuelewa kwanini kila hotuba yake anasisitiza "...naomba mniombee na Mungu anisaidie"

Mungu asipo mlinda nani ataweza kumlinda? Ndio maana anaomba Mungu amlinde ametambua hilo. Pia mtu akimgusa Magufuli na mwendo wake wa Barcelona Fc kumshambulia adui tutakufa naye.
 
Basi tuwe walinzi wa rais wetu kama anavyolindwa rais wa Uruguay.

Mkuu kweli tuna haja ya kumlinda raisi wetu kwani ulinzi ni jukumu letu wote
RAISI WETU JPM UDUMU KWA AMANI KULIONGOZA TAIFA LETU WOTE TUSEME AMINA.
 
Sifa za kijinga asije kututia hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya muda husika. Plz mwambieni asichezee maisha na hizi harakati za kutumbua majipu ya mafisiem wenzie ni hatari.
 
Sifa za kijinga asije kututia hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya muda husika. Plz mwambieni asichezee maisha na hizi harakati za kutumbua majipu ya mafisiem wenzie ni hatari.

Sifa za kijinga unazo wewe kwa mawazo ya kijinga kucheza na maisha ya watz
 
Nipo hapa seaview, upanga. Ni saa 1:20. Rais wetu anapita akiwa na pikipiki 2,za polisi na magari manne tu. Halafu hakuna kufunga barabara. Jamani, haya ni maajabu. Tumempata kiongozi.

Tabia ya ufujaji kwa misafara mirefu ya rais ilianza wakati wa utawala wa Mkapa. Nyerere na Mwinyi walikuwa na misafara midogo kama huu wa JPM. Na ikumbukwe misafara mirefu siyo suala la usalama bali ni makeke (show off), ufahari (extravagance) na kiburi (arrogance) vya kijinga vya watawala wengi wa Kiafrika.
 
Sifa za kijinga asije kututia hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya muda husika. Plz mwambieni asichezee maisha na hizi harakati za kutumbua majipu ya mafisiem wenzie ni hatari.

Mbona kuna tetesi kuwa ili kubana zaidi matumizi ataanza kutumia usafiri huu akiwa ndani ya jiji la Dar?
ImageUploadedByJamiiForums1448647290.471998.jpg
 
Hili sio jambo la kushangilia wala kuendekeza!
Mwambieni yupo vitani kuikomboa Nchi dhidi ya mafisadi!
Ulinzi kwake ni mhimu kuliko maono aliyonayo juu ya Tanzania yake.
Mimi pia nimewaza kwamba abane matumizi lkn aimarishe ulinzi wake,vita anayopigana si ndogo,mafisadi hawatachelewa kumuangamiza
 
Back
Top Bottom