Rais Magufuli na mfumo Kristo

Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
mbona wakuu wa wilaya waisilamu wapo wengi? anyway hata wangekuwa wachache kinachoangaliwa ni competency
jamani hizi siasa za kugawa watu sio nzuri, mimi Magufuli nampinga sana ila sio kwa kugawa watu hivi
Wangapi?
 
Umewahi kusoma majina ya wakuu wa wilaya wanaomaliza muda wao?
 
  • Thanks
Reactions: 365
HAWA WATU WANA MIHEMUKO YA KISHENZI SANA.
TUANGALIE MFANO HUU HALISI
SASA MAELFU KWA MAELFU YA WAISLAM WAARABU WA SYRIA NA IRAK WANAUAWA KATIKA VITA YA MAGAIDI WALAU WATU 100 KILA WIKI.LAKINI HUWEZI SIKIA MAANDAMANO WALA WALE WAISLAM WANAOSWALI PALE KKO IKIFIKA IJUMAA HAWAANDAMANI BAADA YA SWALA.
NGOJA HAMAS WAWATIBUE MAYAHUDI,NAO WAJIBU WAUE WATU 20 TU,HAO UTAONA WANAMWAGIKA BARABARANI WANAFUNGA BARABARA KULE KKO ETI SOLIDARITY NA WAISLAMU WA PALESTINA.PTUUUUUUUU
Nimesoma pale MUHAS (MUHIMBILI UNIVERSITY)yaani ni kero hawa watanzania wenzetu hawataki ushirikiano discussion zao MSIKITINI mkitaka kuwajongea muwe karibu wanawaita MAKAFIR HARAAAM mkifanya maamuzi yenye kuathiri watu wengi pasipo wao wanawaita RELIGIOUS RACIST aisee tumechoka na haya malalamishi.tufanye kazi kama rais wetu mheshimiwa MAGUFULI anavyotueleza
 
dalili hizi za udini hazina afya kwa taifa letu. ni vizuri kila mwenye akili aepushe na ajiepushe na udini!
Hatuwezi kutenga dini katika maisha ya mwanadamu kwenye taifa.. la msingi nikuchunga kauli za kuudhi tu.. soma katiba.
 
Ndugu, umeandika mambo mengi kwa kutumia mihemko tu.

Udini ni mind - set ya mtu.

Je! Kiongozi akiwa mkristo au muislamu, inakuzuia nini wewe kupata mkate wako wa kila siku?!

Imefikia wakati sasa naomba tuachane na upuuzi huu!

Fanya kazi halali ili upate kipato halali.

#ACHA KUTEGEMEA MBELEKO ZA DINI AU KABILA#
Mkuu nakubalina nawewe kabisa lakini ajabu nikuwa upande mwingine ulikua ukilalamika wakati jk akifanya uteuzi sijui hii kitu udini utaisha lini
 
pitia majina kaka, nimeona majina mengi ya kiislamu pale,
why are we even debating on this?
competency ndio inaangaliwa sio dini, hata wakiwa Islam tupu au Christians tupu kama wapo competent sioni tatizo
Hawazidi 30 kati ya 139
 
pitia majina kaka, nimeona majina mengi ya kiislamu pale,
why are we even debating on this?
competency ndio inaangaliwa sio dini, hata wakiwa Islam tupu au Christians tupu kama wapo competent sioni tatizo
Nakubalina nawewe Mimi pia huo Ndio mtazamo wangu lakini ukiwa upande wapili pia hulalamika muhimu tuache hii mambo tuangalie sifa
 
Hawazidi 30 kati ya 139
tuangalie uwezo wao kaka, dini yenu inasema m demand kupewa vyeo vya kisiasa? maana yetu imesema tuwe wavumilivu na kupenda wanaotudharau na kutubagua kwani kuna maisha mengine zaidi ya haya ya dunia
 
Mimi binsfsi nisingependa kuona jamii moja inanungunikia hizo teuzi, usawa uwepo ndio jamii bora ukizingatia kuwa kazi wanayoenda kufanya na waupande mwingine wanauwezo nayo, haipendezi hata kidogo kuacha jamii flan inalalamika na ukaipuuza.
 
Unataka maji, umeme, barabara au unataka mchungaji/sheikh? Hao viongozi wameteuliwa kuongoza ibada? Na kwanini tunaingelea dini mbili tu (wakristu na waislam) na kuacha Watanzania wa dini nyingine mfano, bohora, dini za asili n.k.?

Na mwisho, Wahindi hawalalamiki kabisa licha ya baraza zima la mawaziri kutokuwa na mhindi hata mmoja. Na hata kutumbuliwa wahindi wanatafuta namna ya kupambana na maisha. Hivi sisi Watanzania weusi tuna kasoro gani? Tumelelewa vibaya? Kwanini umaskini, udini tunaulilia sisi wakati wahindi waliozaliwa hapa hapa wanapiga hatua licha ya kuwa wachache kwenye nafasi ya uongozi?

kweli kabisa udini ni utumwa, ndiyo maana wachina hawataki kusikia! mwamini mungu wako kadiri ya imani yako, siyo ubaguzi! jaribisha hiyo utakuwa na amani ndani yako! ubarikiwe my friend!
 
Mimi binsfsi nisingependa kuona jamii moja inanungunikia hizo teuzi, usawa uwepo ndio jamii bora ukizingatia kuwa kazi wanayoenda kufanya na waupande wa pili wanauwezo nayo, haipendezi hata kidogo kuacha jamii flan inalalamika na ukaipuuza.
 
Nimesoma pale MUHAS (MUHIMBILI UNIVERSITY)yaani ni kero hawa watanzania wenzetu hawataki ushirikiano discussion zao MSIKITINI mkitaka kuwajongea muwe karibu wanawaita MAKAFIR HARAAAM mkifanya maamuzi yenye kuathiri watu wengi pasipo wao wanawaita RELIGIOUS RACIST aisee tumechoka na haya malalamishi.tufanye kazi kama rais wetu mheshimiwa MAGUFULI anavyotueleza
kama umechoka si mrudi kwenuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom