u are exellentKwanza mkubwa huo ni ubaguzi mkubwa wa dini na katika nchi yetu hauna nafasi kabisa sifa ya dini sio kigezo cha kuteuliwa katika au kupatanafasi ya kazi katika serikali.
Pia kama wewe ni mchambuzi mzuri na mbaguzi mzuri wa dini kwanza inabidi ujiulize kati ya wakristo na waislamu i dini hipi ina idadi kubwa ya wasomi? ili uweze kutafuta ubaguzi wako unaoutaka. cha msingi wapelekeni watoto wenu shule nzuri na katika shule zenu wekeni mazingira mazuri ya watoto kusoma vizuri kisha njoo na hoja yako mufilisi ya ubaguzi wa dini. Tanzania yetu hatutaki kusikia ubaguzi wa dini ukitaka nenda nchi yingine zenye chembe ya ubaguzi.
Sa hivi ni zamu ya vatican + ziwaNa ukatoliki wako ndio kigezo kikubwa
We umeandika pumba hata historia ya nchi kuhusu elimu huijui, utakuwa umesoma ila umekariri, hukuelewaKwanza mkubwa huo ni ubaguzi mkubwa wa dini na katika nchi yetu hauna nafasi kabisa sifa ya dini sio kigezo cha kuteuliwa katika au kupatanafasi ya kazi katika serikali.
Pia kama wewe ni mchambuzi mzuri na mbaguzi mzuri wa dini kwanza inabidi ujiulize kati ya wakristo na waislamu i dini hipi ina idadi kubwa ya wasomi? ili uweze kutafuta ubaguzi wako unaoutaka. cha msingi wapelekeni watoto wenu shule nzuri na katika shule zenu wekeni mazingira mazuri ya watoto kusoma vizuri kisha njoo na hoja yako mufilisi ya ubaguzi wa dini. Tanzania yetu hatutaki kusikia ubaguzi wa dini ukitaka nenda nchi yingine zenye chembe ya ubaguzi.
Mlikuwa mnalalamikia kuwa JK je kipindi hicho mlipungua na sasa mmeongezeka?Kwanza mkubwa huo ni ubaguzi mkubwa wa dini na katika nchi yetu hauna nafasi kabisa sifa ya dini sio kigezo cha kuteuliwa katika au kupatanafasi ya kazi katika serikali.
Pia kama wewe ni mchambuzi mzuri na mbaguzi mzuri wa dini kwanza inabidi ujiulize kati ya wakristo na waislamu i dini hipi ina idadi kubwa ya wasomi? ili uweze kutafuta ubaguzi wako unaoutaka. cha msingi wapelekeni watoto wenu shule nzuri na katika shule zenu wekeni mazingira mazuri ya watoto kusoma vizuri kisha njoo na hoja yako mufilisi ya ubaguzi wa dini.
Tanzania yetu hatutaki kusikia ubaguzi wa
dini ukitaka nenda nchi yingine zenye
chembe ya ubaguzi.
Aliyekuambia PM ni muislam nani, hilo ni jina tu, kabla ya kuandika fuatilia kwanzaIngekuwa Ukatoliki ndio kigezo Kasim Majaliwa MWISLAMU asingekuwa waziri mkuu wala Samia Suluhu ambaye ni mwislamu asingekuwa makamu wa Raisi.
Hapa kazi tu haiangaliwi dini ya mtu
Aliyekuambia PM ni muislam nani, hilo ni jina tu, kabla ya kuandika fuatilia kwanza
mbona wakuu wa wilaya waisilamu wapo wengi? anyway hata wangekuwa wachache kinachoangaliwa ni competency
jamani hizi siasa za kugawa watu sio nzuri, mimi Magufuli nampinga sana ila sio kwa kugawa watu hivi
Hujaelewa wapi usaidiweembu fupisha kwanza habari hii afu uje tena coz hata hueleweki unachotaka ni nn zaid