Rais Magufuli na maana ya neno 'catalyst'

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,154
Reaction score
137,162
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.

Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.

Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.

Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.

Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...

Kinda embarrassing....

Kiranga
 
Twende class kidogo...

Catalyst is proactive in defining the sectors they participate in finding hidden sectors of Gold and not simply following others in the space they strike a great balance between being founder, friendly and also looking after their limited partners at every step of the journey.
 
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.

Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.

Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.

Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.

Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...

Kinda embarrassing....

Kiranga

Great thinkers discusses issues but less minded people always think about a single word and not ideas. Grow tobecome great thinker
 
Ni katika dakika ya 7:53 anaanza kuongelea catalyst...mkemia, my foot! Kwa mwendo huu tunatakiwa tuzidi kuiombea nchi yetu kwa vile ni kama tupo gizani hatujui tunaelekea wapi!
 
Akiondoka huko, nisikilizie Stand Up Comedians wa Kikenya watakavyokuja na mpya ..............!!
Kuna komediani mmoja alimchana Alikiba akiwa mkalimani wa mwanamuziki mmoja Maarufu aliyetembelea nchi hiyo...ingawa ilinikera ila nililazimika kucheka!
======
Nikirudi kwenye mada. Hao waache walivyo, kikubwa sisi tuendelee na mipango yetu ya kuhakikisha Tanzania ya Viwanda vya ukweli inapatikana.
 
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.

Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.

Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.

Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.

Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...

Kinda embarrassing....

Kiranga

Kakosea wapi kwa kujifananisha na catalyst? Au nini ... sijakusoma ...
 
Ni katika dakika ya 7:53 anaanza kuongelea catalyst...mkemia, my foot! Kwa mwendo huu tunatakiwa tuzidi kuiombea nchi yetu kwa vile ni kama tupo gizani hatujui tunaelekea wapi!
kwa hiyo angepatia hiyo catalyst ndio tungekuwa tunaelekea uelekeo sahihi!? kati ya wagombea wa mwaka jana yeye ndio alikuwa bora, hivyo kabla ya kutulaumu sie wapiga kura jiraumuni nyinyi wenyewe kwa kutuletea mgombea " Mtunguo"
 
Great thinkers discusses issues but less minded people always think about a single word and not ideas. Grow tobecome great thinker
For your information all great ideas started with one simple word; the single word but with a simple symbolic picture. One single word can change the entire history of mankind.
 
..When you have a big bull's-eye, everyone will want to take a shot.
 
Anapenda kuonyesha kua chemistry imekaa kichwani, sio catalyst tu, mpe kuongea nusu saa ataanza kuongelea na boiling point of copper. Hehehe! ofcoz ni mambo ya kawaida sana, ila tumuache ajidai kidogo, I do agree though! its kinda embarrassing considering anavyoongea ni kama mtu aliyekariri "substance that speeds up a chemical reaction" hehe hiyo definition imeandikwa hivyo hivyo kwenye kitabu.
 
Who said there was...?
Then, where on earth, the embarrassing is coming from!?

I know you are good at diving deep into 'UK queen's language jargons'; but spare our president on this, he is best in amalgamating the chemistry terminologies and political tunes for hitting his point into audience home.
 
Back
Top Bottom