Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Magufuli asingeteuliwa na CCM angeweza kwenda upinzani na kugombea?

Magufuli angekuwa smart angeteua watu very smart kuendesha uchumi
sio kuishia kulia eti watu wameficha hela
ohh mara ntachapa zingine....wakati kuchapa zingine ni kuharibu uchumi...

Watu smart huwa hawatoi threats....wanabadili mambo bila hata we kuona kuwa washabadili...
watu smart huwa hawakasiriki wala kuonesha hasira
wana move tu quietly na nyinyi mnaona hali imebadilika...

Tafuta sehemu Bill Clinton akihutubia kwa hasira au jazba...
lakini ndo best ever president kiuchumi kwa USA
 
Phd Asiejua kiigereza.
Phd anaehusudu mipasho.
Phd anaeamini ni yeyetu ndio yupo sahihi (malaika)
Phd mtoa matamko ambayo hayajaleta tija?

Phd huyu kama ni kweli alichaguliwa na watanzania nadhani kwa sasa wanajilaumu sana.
 
Phd Asiejua kiigereza.
Phd anaehusudu mipasho.
Phd anaeamini ni yeyetu ndio yupo sahihi (malaika)
Phd mtoa matamko ambayo hayajaleta tija?

Phd huyu kama ni kweli alichaguliwa na watanzania nadhani kwa sasa wanajilaumu sana.


Lkn Who is the Boss?
 
Mnapoanzisha mada muwe matafakari na matokeo tarajiwa ya mjadala vinginevyo mtaishia kudhalilisha watu na wakati mwingi ni wale USIOWATARAJIA unless uwe unafanya MAKUSUDI kwa nia OVU.
 
unakumbusha utotoni, unakuwa na kiburi cha kuwachokoza wenzako kwa sababu unajua kaka yupo atapigana kwa niaba yako. Hakuna rasilimali za kutosha msimu huu kukupa ufafanuzi huru wa unachohitaji.
 
Mmhh..... huo uchonganishi sasa..??.....mambo ya kuputa mchanga na kulipiziana ng'ombe......
 
Back
Top Bottom