Mbona hukujiuzulu wewe kajiuzulu Lowassa,nipe sababu,watu mnapelekwa pelekwa tuElimu elimu elimu,,,,, wa tz bhana yani hujui hata maana yakujiuzulu,,,,, nyie ndomitaji ya ccm kujipatia kula
Salary Slip subiri udeki tu barabara kwa mara nyinginee..Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?
Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?
Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?
Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Malizia uone!afu ww usimfananishe jembe langu lowasa na
Ungeacha kuwaambia waendelee kujitutumua. Kura za mitandao nyingi kura za kalatasi hapati.Magufuli
Acha kulinganisha mlima na kichuguu..Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?
Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?
Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?
Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Umesahau kutukumbusha Kilichowapata Richmond
Tukumbushe Harambee za Nchi nzima alizokuwa anajitolea Mtu Fulani
Hata kama JPM hafai haitomaanisha Nchi hii yenye Watu Million 50 basi wote tulazimishwe Tukabidhi Nchi Kwa Mwizi wa Mali za Umma