Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Hata personality inaongea zaidi ya maneno. Angalia nguvu nyingi zinavyotumika kuzuiana kuongea na wananchi. Ona mmoja anaona muujiza kushika mkono wa mwingine. Alipomshika tu akajazwa na Roho mtakatifu. Judge for yourselves
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
How does this affect the price of sugar in the market [emoji41]
 
Umedandia jambo lisilokuhusu. Unajua kuwa kuanzisha thread ni bure? Unaonaje nawe ukianzisha thread juu ya Kbosho, Lowassa, Wachagga n.k. By the way, nimeweka Lowassa hapo kama satire. Ndiyo maana nikamuuliza mleta mada kuwa hii inamsaidiaje yeye na familia yake. Wewe nawe na uKibosho wako mbio mbio kudandia treni kwa mbele kisa tu umeona Lowassa katajwa katika muktadha ambao hukuuelewa.

Na inavyoonekana thread hii umeivalia njuga kweli kweli kwa sababu unajibu kila mtu...
Duh povu jingi kweli
Mnajisumbuuuuua kunadi na visivyonadika.

Unauliza mara ngapi hata mwaka bado

Lowassa anakubalika zaidi. Hii inakusaidiaje wewe na familia yako?

Sio kosa.....anaweza akafanya hivyo kila mwezi........
 
Jamani mimi nimwana ssm.
Lakini nampenda sana tena sana kutoka moyoni.
bwana white hair.
Ninachonishangaza mimi namkubali sana bwana [emoji357] [emoji356] [emoji481]
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Wewe Barbarosa unalinganisha mbingu na dunia! Angalia hapa chini:

1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Samaki wa wachina
3. MV Bagamoyo

Unaikumbuka kampuni ya City Water? Unajua kilichowapata hadi wakaenda mahakamni?
 
Back
Top Bottom