Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Rais Magufuli na Lowassa ni nani anakubalika?

Hapa sasa tuangalie historia za hawa wawili , Magufuli wetu na fisadi lowasa yupi ni smarter?
Lowasa ni failure kila mahali, analijiandaa Uraisi kwa zaidi ya miaka 20 tena baada ya kuwa Waziri Mkuu ambapo pia aliprove failure kwani aliondolewa kwa shinikizo la Bunge ndani ya miaka 3 tu, akajaribu kuwania Uraisi kupitia CCM pmj na nguvu kubwa fedha kupitia Mafisadi waliokuwa nyuma yake bado akashindwa akahamia chadema na mwishowe akashindwa Uraisi!

Sasa njoo kwa Pombe Magufuli (PhD) ni mafanikio tu mwanzo mwisho, leo hii ndiyo Raisi wa JMTZ with less effort akili tu, bado Mafisadi mpaka leo hawaamini kwamba Pombe Magufuli (PhD) ndiyo Big Boss nchi hii, lkn ndiyo hivyo wao Mafisadi wana fedha Pombe Magufuli (PhD) ana intelligence!
Na anakwenda kuleta mabadiliko makubwa kiuchumi kwa kujenga Uchumi imara na madhubuti siajabu kuwahi kutokea nchi hii!
Hao muwaitao mafisadi si muwafungulie mashtaka! mnaogopa nini wakati mahakama mshaianzisha.
 
Magufuli asingeteuliwa na CCM angeweza kwenda upinzani na kugombea?

Magufuli angekuwa smart angeteua watu very smart kuendesha uchumi
sio kuishia kulia eti watu wameficha hela
ohh mara ntachapa zingine....wakati kuchapa zingine ni kuharibu uchumi...

Watu smart huwa hawatoi threats....wanabadili mambo bila hata we kuona kuwa washabadili...
watu smart huwa hawakasiriki wala kuonesha hasira
wana move tu quietly na nyinyi mnaona hali imebadilika...

Tafuta sehemu Bill Clinton akihutubia kwa hasira au jazba...
lakini ndo best ever president kiuchumi kwa USA
Asante mkuu
 
Sasa PHD unakuwa smart kivipi mana hana tofauti na mtu mwenye degree,nch hi elimu ipo kwenye makaratasi na siyo kichwani mfano mzuri kwa maprofesa kama Lipumba,na wale wa uchumi katika serikali hi kuna kipya gani wanachokifanya..mi nasema uongozi hu una ma dokta na maprofesa wenye Vyeti vizuri ila utakuwa mbovu kuliko ule wa Kikwete ambao ulikuwa na watu wa kuanzia form IV..usitegemee elimu ya kwenye Vyeti ila jiulize wana deliver kitu gani kwa wananchi
 
Hapa nabaki kimya wadhamini watatu na million 9 naziheshimu sana....Mzee Lowassa ni Intelligent on top of his wisdom....Hiyo part iliyobakia sitaki kesi ya uchochezi!!!
 
Wewe Barbarosa unalinganisha mbingu na dunia! Angalia hapa chini:

1. Uuzaji wa nyumba za serikali
2. Samaki wa wachina
3. MV Bagamoyo

Unaikumbuka kampuni ya City Water? Unajua kilichowapata hadi wakaenda mahakamni?

Umesahau kutukumbusha Kilichowapata Richmond
Tukumbushe Harambee za Nchi nzima alizokuwa anajitolea Mtu Fulani

Hata kama JPM hafai haitomaanisha Nchi hii yenye Watu Million 50 basi wote tulazimishwe Tukabidhi Nchi Kwa Mwizi wa Mali za Umma
 
Hapa sasa tuangalie historia za hawa wawili , Magufuli wetu na fisadi lowasa yupi ni smarter?
Lowasa ni failure kila mahali, analijiandaa Uraisi kwa zaidi ya miaka 20 tena baada ya kuwa Waziri Mkuu ambapo pia aliprove failure kwani aliondolewa kwa shinikizo la Bunge ndani ya miaka 3 tu, akajaribu kuwania Uraisi kupitia CCM pmj na nguvu kubwa fedha kupitia Mafisadi waliokuwa nyuma yake bado akashindwa akahamia chadema na mwishowe akashindwa Uraisi!

Sasa njoo kwa Pombe Magufuli (PhD) ni mafanikio tu mwanzo mwisho, leo hii ndiyo Raisi wa JMTZ with less effort akili tu, bado Mafisadi mpaka leo hawaamini kwamba Pombe Magufuli (PhD) ndiyo Big Boss nchi hii, lkn ndiyo hivyo wao Mafisadi wana fedha Pombe Magufuli (PhD) ana intelligence!
Na anakwenda kuleta mabadiliko makubwa kiuchumi kwa kujenga Uchumi imara na madhubuti siajabu kuwahi kutokea nchi hii!
Umeandika nini hiki?
 
Acheni utani,kumfananisha Rais wetu na jitu liliojiuzulu kwa kashfa ya ufisadi
Elimu elimu elimu,,,,, wa tz bhana yani hujui hata maana yakujiuzulu,,,,, nyie ndomitaji ya ccm kujipatia kula
 
Hata kama ni njaa hii sasa imezidi mleta mada.
 
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Kujaza watu ni sawa na ball possession kwenye mpira. Kinachocount at last ni timu iliyofanikiwa kuingiza mpira langoni kwa adui mara nyingi zaidi kuliko timu pinzani na refarii akakubaliana na magoli hayo. Kwa upande wa politics ni vilevile, baada ya dakika tisini (uchaguzi) kinachobaki huwa ni ndoto zisizoweza kuleta matokeo tofauti yoyote na kwa wakati wowote.
 
P
Tuwe wakweli tu kati ya hawa viongozi wawili ni yupi anaekubali kwa wananchi?

Miezi 9 ya Magufuli madarakani imemuongezea mashabiki kuliko Lowassa alieko uraini au ni Lowassa alieko uraini ndio amejiongezea mashabiki kuliko Magufuli alieko madarakani?

Ukitokea uchaguzi mdogo leo hii kati ya Magufuli na Lowassa, ni nani anaweza kumnadi mgombea wa chama chake na kuzua hamasa kwa wapiga kura?

Kati ya Magufuli na Lowassa ni nani leo hii anaweza kujaza watu ikitokea tukawa na uchaguzi mdogo?
Post ya kijinga iliyojaa mahaba na unazi uchwara! Huyo MTU hata ukimtangaza namna gani Urais asahau Kabisa. Labda awaongoze UKAWA wenyewe sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataaa!!
 
Back
Top Bottom