Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais akutanishwe na kibaraka wa mabeberu ili iweje? Acheni kumtafutia promo za kitoto hapa. Amekimbia, amejipanga kuichafua nchi yetu kwa kutumiwa na mabeberu wanotaka kuja kuchuma. Hana uzalendo wowote kwa nchi yetu. Yeye aishi huko huko, hatumhitaji.
Tutaijenga upya chadema aliyoibomoa. Let him go to hell
Wewe unaota daymare, CCM imekushinda kuijenga utaiweza CHADEMA?
 
Mkuu, umenena vyema.

Kuna watu wana mtindo wa mbuni wa kuzika vichwa kwenye mchanga na kudai hakuna shida yoyote, lkn kweli ni kuwa shida ipo.

Huyo anayedaiwa hafai, anaweza kuwa na wafuasi wengi na ndo sabb uchaguzi haukuachwa kuwa huru na haki.

Mmoja anaweza kuwa na mamlaka yote lkn akakosa wingi wa watu.. Mwingine akawa na watu wengi bila mamlaka.

Hekima kubwa inahitajika kutatua huo mkwamo
Kama anakosa wingi wa watu ameshindaje Uchaguzi!
 
Usijae kibuli na dharau ndugu. Unafaidika nini na mpasuko huu?

Mpasuko gani wewe unaouongelea? Huyo aliyepata kura milioni 2 ndiyo wa kuleta mpasuko ? I mean, CHADEMA imepeta
13% vs > 85% ya CCM, sasa kuna mpasuko gani hapo ? Huo mpasuko upo vichwani mwenu tu labda na akina Tundu.
 
Back
Top Bottom