Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Wewe unaona Libya iko sawa kama ilivyokuwa zamani. Kuna maswali mengine sio ya kuulizaLakini imevurugwa kwa kiwango gani.. Unaweza kutoa takwimu za hivi karibuni?
Wewe kwa nini tusikuite mchochezi?Gaddafi's Last Speech!!! .
In the name of Allah, the ...beneficent, the merciful...
For 40 years, or was it longer, I can't remember, I did all I could to give people houses, hospitals, schools, and when they were hungry, I gave them food. I even made Benghazi into farmland from the desert, I stood up to attacks from that cowboy Ronald Reagan, when he killed my adopted orphaned daughter, he was trying to kill me, instead he killed that poor innocent child. Then I helped my brothers and sisters from Africa with money for the African Union.
I did all I could to help people Understand the concept of real democracy, where people's committees ran our country. But that was never enough, as some told me, even people who had 10 room homes, new suits and furniture, were never satisfied, as selfish as they were they wanted more. They told Americans and other visitors, that they needed "democracy" and "freedom" never realizing it was a cut throat system, where the biggest dog eats the rest, but they were enchanted with those words, never realizing that in America, there was no free medicine, no free hospitals, no free housing, no free education and no free food, except when people had to beg or go to long lines to get soup.
No, no matter what I did, it was never enough for some, but for others, they knew I was the son of Gamal Abdel Nasser, the only true Arab and Muslim leader we've had since Salah-al-Deen, when he claimed the Suez Canal for his people, as I claimed Libya, for my people, it was his footsteps I tried to follow, to keep my people free from colonial domination - from thieves who would steal from us.
Now, I am under attack by the biggest force in military history, my little African son, Obama wants to kill me, to take away the freedom of our country, to take away our free housing, our free medicine, our free education, our free food, and replace it with American style thievery, called "capitalism" ,but all of us in the Third World know what that means, it means corporations run the countries, run the world, and the people suffer.
So, there is no alternative for me, I must make my stand, and if Allah wishes, I shall die by following His path, the path that has made our country rich with farmland, with food and health, and even allowed us to help our African and Arab brothers and sisters.
I do not wish to die, but if it comes to that, to save this land, my people, all the thousands who are all my children, then so be it.
Let this testament be my voice to the world, that I stood up to crusader attacks of NATO, stood up to cruelty, stoop up to betrayal, stood up to the West and its colonialist ambitions, and that I stood with my African brothers, my true Arab and Muslim brothers, as a beacon of light.
When others were building castles, I lived in a modest house, and in a tent. I never forgot my youth in Sirte, I did not spend our national treasury foolishly, and like Salah-al-Deen, our great Muslim leader, who rescued Jerusalem for Islam, I took little for myself...
In the West, some have called me "mad", "crazy", but they know the truth yet continue to lie, they know that our land is independent and free, not in the colonial grip, that my vision, my path, is, and has been clear and for my people and that I will fight to my last breath to keep us free, may Allah almighty help us to remain faithful and free.
Rais amezungumzia mazuri ya Ghadafi.. Hayo mabaya yake muyazungumze nyinyi..
Yes, hao ndio huwarejea kila mara kama role models wake...na sisi tunapiga makofi kwa kutumia 'masaburi" kumshangilia
kweli wengine wanaoufinyu wa maono kugeuzana nyuma si ni matukio ya dunia nzima kwani Libya hakukuwa na wanaogeuzwa nyuma Saudi Arabia Egypt hili ni tatizo kisayansi linatafirisika kidini ni haramu usijitie uchizi utawala wa sharia ni muhimu sana kuliko kuendesha nchi kimagumashi utakwama kwa sababu utakuwa kwenye defensive side kujitetea kila wakati kutisha na kuropoka kama tunayoyaoona hapa TanzaniaBinadamu sisi ni waajabu na wanafiki tusioridhika hata kidogo. Imagine bila aibu watu wanaolilia demokrasia ndio hao hao wanaogeuzana nyuma! Uhuru wanaoudai ndoo huo huo unaowapelekea hata kubadilisha matumizi ya miili yao. Kila kitu lazima kiwekewe sheria na zuio. Hauwezi kufanya chochote ukiulizwa demokrasia. Watu wa Libya watasumbuka sana tena sana. Hawana shukrani. Ss hiyo demokrasia waliyoililia ndiyo wana enjoy
Maana yake gadaf ndiye role modal wake, hajui kuwa kwa hulka ya binadamu ni bora ule pumba ukiwa na uhuru wako kamili kuliko ule pilau ukiwa jela nzuri ya vitanda na tvNi mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Maisha ya kupewa bure tu sio maisha.Pamoja na mapungufu yake, maisha yalikuwa nafuu sana kipindi cha Gadafi kulilo ilivyo sasa, hilo wala si jambo la kujadiliana. Hata hao waliovamia wanapata wakati mgumu maana hawakujua hali ingekuwa kama ilivyo sasa. Better the devil you know...
Sasa hivi Tanzania mtu kioa hapewi nyumba wala gari wala Pesa yoyote ya kuanzia Maisha kama alivyokuwa anafanya Gadafi.Kuna watu wanakakariri na kutumia mifano ambayo haiendani na mazingira yetu hapa afrika. Ndio maana hawaishi kuropoka, demokrasia demokrasia... .
Mfano wa model iliyofanikiwa hapa afrika ni wa libya. Lakini ni ukweli kuwa sisi magufuli hakufanya mapinduzi na wala si mwanajeshi na sisi tuna mfumo wa vyama vingi